nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mfanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kulalamikia kuhusu Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi, kuwa anawaondoa watu kazini kwa lazima kwa njia ya likizo na kuwa haingizi malipo ya NSSF, ufafanuzi umetolewa na Mkandarasi...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) anawaondoa Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima, pia hajaingiza malipo ya NSSF

    Sisi Watumishi wa SGR ambao tupo chini ya Mkandarasi Mkuu wa mradi huo, Yapi Merkezi tunasikitishwa na kitendo cha Muajiri wetu kupunguza Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima. Uongozi wa SGR Lot One inayoanzia Dar es Salaam kwanza ulitutaka kwenda likizo ya miezi minne, wengine...
  3. Tanki

    JamiiForums Tanzania NSSF walikataa kunipa mafao yangu hadi niwapelekee cheti Cha kuzaliwa.

    Hiyo ilitokana na utofauti wa tarehe ya kuzaliwa iliyopo kwenye nyaraka zangu za NSSF na nyaraka zangu uraia. Utofauti huo ulikuwa ni tarehe tu ila mwezi na mwaka vilikuwa sawa. Ok, nilifungua madai ya kulipwa mafao yangu. Nikakamilisha Kila kitu. Nikapewa na tarehe ya kuingiziwa hayo mafao...
  4. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Je, Utaratibu wa NSSF wa Death Grant ni wa Haki? Na je, una mazuri na mapungufU gani? Mjadala Wazi

    Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeweka utaratibu wa kutoa "Death Grant" kwa warithi wa wastaafu waliofariki. Kulingana na sheria iliyopo, malipo haya yanatolewa kwa mke/mume wa marehemu pamoja na watoto walio chini ya umri wa miaka 18 au wale walio chini ya miaka 21 wakiwa kwenye...
  5. K

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF wametoa application yao kwenye App store

    Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo. Kulikoni, kwa nini itolewe, ilkua inaleta transparency kwa wanachama.
  6. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    Habarini wakuu, niko hapa kuomba msaada kwa yoyote ambaye ana mtu anamfahamu anafanya kazi NSSF anaweza kuniunganisha naye. Nina maswali mengi nataka kufahamu kabla sijaanza kufuatilia pesa zangu, yeye atakuwa ananisaidia kwenye kila hatua hadi mwisho. Nawasilisha
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania NSSF mmetupiga kitu kizito hapa Watanzania

    Masha Mshomba Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), amebainisha mbele ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, changamoto kubwa iliyopelekea kuchelewa kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota tano iliyopo jijini Mwanza eneo la Capripoint inayomilikiwa na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inachukua muda gani kulipwa NSSF tangu kufungua madai?

    Wadau mimi nilifungua madai ya NSSF kijitonyama mnano the 1 June 2024, nikaambiwa nisubiri mwezi mmoja nitakuwa nimeingiziwa fedha baada ya ajira yangu kukoma mweI January 2024, sasa tunaelekea siku 60 bila kitu. Je, kwa uzoefu wenu inachukua siku ngapi kupata malipo?
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF Kutoka ESWATINI Wafurahia Mafanikio NSSF

    MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA PSPF KUTOKA ESWATINI WAFURAHIA MAFANIKIO NSSF Mhe. Patrobas Katambi asema NSSF inazidi kuimarika, unaweza kulipa mafao bila kutetereka Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Aipa Hongera NSSF

    RAIS DKT. SAMIA AIPA HONGERA NSSF Na MWANDISHI WETU, Katavi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi kwa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) baada ya kuelezwa mafanikio mbalimbali ambayo NSSF imeyapata katika kipindi cha miaka mitatu ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani kuhusu fomu ya mapunjo NSSF

    Habari Naomba kwa wenye uzoefu yeyote ambae kashawahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF anisaidie kunijuza kama kuna mzunguko wowote wa nenda rudi au hiyo fomu ya mapunjo haina mambo mengi Mana ile fomu ya madai kuna mambo ya kwenda mahakamani, kwa muajiri na bank kuchukua statement. Sasa nataka...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Sheria ya NSSF na PSSF ibadilishwe. Wanaposhindwa kumlipa mwanachama washtakiwe na kudaiwa fidia.

    Mashirika haya NSSF na PSSF wanadai michango kutoka kwa waajiri kwa nguvu ya sheria. Tena michango hii ni kama kodi, usipolipa kwa wakati kampuni, tena wakurugenzi wa kampuni. Hili limekaa upande mmoja maana wanachama wanapata shida mara nyingi kulipwa mafao yao. Mara kikokotoo, mara subiri...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

    SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), baada ya kuhitimisha Bunge...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya R4 itumike kutatua changamoto ya utoaji wa mafao baada ya kustaafu

    R4 itumike kutatua changamoto ya kikokotoo
  15. mjingamimi

    JamiiForums Tanzania SoC04 Usumbufu wa NSSF katika kudai mafao

    Habrini za muda huu wadai wa JamiiForums? Leo nina jambo moja nataka kuzungumzia kuhusu kero ya kufuatilia mafao yako NSSF ya kukosa kazi/ajira au kufukuzwa kazini. Hatua ya kwanza unakwenda NSSF kuangalia michango yako kama mwanachama kama haujawahi kwenda na hauna kadi. Ukishajua michango...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa awatia mbaroni matapeli wa ardhi inayomilikiwa na NSSF Tuangoma Manispaa ya Temeke, waliwekewa mtego wa wateja

    Waziri wa Ardhi Jerry Slaa amewatia mbaroni watu watatu wakidaiwa kuwa ni matapeli sugu wa Ardhi Wilayani Temeke ambao wamekuwa wakiuza maeneo kadhaa yanayo milikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kufanikiwa kujipatia Mamilioni ya fedha. Jerry Silaa amefanikiwa kuwakamata...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson aagiza Kamati iwaite Wakurugenzi wa NSSF na PSSSF Bungeni kueleza kuhusu michango ya Wanufaika

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi wa Jamii kuwaita na kuwahoji wakurugenzi wa mifuko ya hifadhi za jamii nchini kuhusu madai ya kuwataka wanufaika, kutakiwa kulipa fedha za michango ambazo waajiri wao hawakuilipa mifuko hiyo, ili waweze kupatiwa mafao...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa SGR (Lot 3,4,5,6) tumerudishwa nyumbani na hawajaingiza michango ya NSSF kwa Miezi 14

    Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Fedha za HESLB kuunganisha na mfumo wa NSSF

    Jambo hili huweza kusaidia Kwa namba moja au nyingine katika kujikwamua kimaisha mara baada ya masomo hivyo Kwa Tanzania tuitakayo Kwa kipindi Cha miaka 5 Hadi 25 jambo hili linaweza kuwa chachu ya mabadiliko miongoni mwa wanamabadiliko.
  20. Nyamori

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu michango ya NSSF

    Hivi inawezekanaje muajiri amekwisha peleka mishango NSSF alafu ukienda kuangalia salio ukakuta kuna michango kadhaa imechomolewa wakati kabla ilikua inasoma. Hii kitu imewatokea wanachama kadhaa, naomba ufafanuzi Kwa mwenye ufahamu.
Back
Top Bottom