note

  1. Nauza simu Samsung Note 10+

    Samsung Note 10+ inauzwa bei rahisi RAM 12 ROM 256GB @450,000/= [negotiable] ☎️ +255676721372 Dar es Salaam 📍
  2. Flutter Programming: MpesaApp UI (Note: The UI will not be 100% identical to the original).

    Kwa wapenzi wa programing. Twende sawa kwa framework ya flutter. Any comments and suggestions is allowed, Day one Pic 1 Pic 2 Source code:
  3. Kwa wahitaji wa kuandaliwa Research topic, concept note, proposal, report, research paper, an article n.k

    Kwa huduma tajwa hapo juu. Usisite kuuliza ni bure pia kupatiwa huduma at an affordable price kupitia namba ya simu +255755194070; barua pepe: mon.eycafeconsultancy@gmail.com Karibuni sana.
  4. Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  5. Phone4Sale Simu aina ya Note 9 Samsung inauzwa

    Jipatie simu Samsung note 9 kwa bei ya kutupa laki 350,000 Storage GB 128 Ram gb 6 Haina cracks. Used but in good conditions Free charger Free cover Free protector
  6. Natafuta mke makini haswa

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31, mkazi wa Dar es Saalam, Mkristo, nnaejishughulisha. Elimu niliyonayo ni kubwa, urefu wangu ni 6'1 mrefu fulani hivi, maji ya kunde, sina mtoto wala sijawai kuoa. Natafuta mke wa kuoa, mwenye sifa zifuatazo; ~ Umri miaka 25 kushuka chini ~ Mweupe ~ Elimu yoyote...
  7. M

    Natafuta screen replacement ya ULEFONE NOTE 11P

    Wasalaam wadau, Natafuta, screen replacement ya ULEFONE Note 11p ( Ulefone Note 11P - Full phone specifications) , hii ni baada ya kioo kilicopo kuacha kufanya kazi baada ya simu kuanguka. Naomba msaada kama kuna mtu mwye hiki kioo au anafahamu kwa uhakika mahali ambapo naweza kupata kwa...
  8. Phone4Sale Samsung Note 20 Ultra

    Ninauza simu yangu Samsung Note 20 Ultra Plus Imetumika miezi mitano. Bei : 900k Location : Mafinga Simu : 0612332310 Karibuni.
  9. N

    Delivery note, invoice, receipt voucher, local purchase order , issue voucher, form namba 2 na fomu ya uhakiki wa vifaa; mwenye uelewa wa hizi nyaraka

    Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na ya haraka. Sasa unaenda kwa mkaguzi wa ndani (preauditor) anagoma kupitisha ikiwa moja ya nyaraka...
  10. Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  11. Xiaome redme note ten pro

    Habarini? Jamani nimepoteza charger ya Xiaome redme note ten pro(fast charger) Kwa yeyote aliyenayo naomba anicheck, nahitaji Kwa haraka, maana charger za kawaida zinasumbua.
  12. Trafiki ni mradi wa mapato Serikalini na wakubwa fulani

    Comrade Kinana amepasua jipu. Hili lilikuwa halisemwi na viongozi wengi maana Polisi ni chombo nyeti cha Ulinzi na Usalama. Lakini vitendo vya Askari wetu wa Traffic vimekithiri kwa fines zinazoingizia serikali mapato na vile vile hela ya pembeni wanayopata askari. Ni jambo la kawaida sasa...
  13. 'On a Serious Note' Haji Manara asaidiwe upesi 'Kisaikolojia' kwani anaanza 'Kuwehuka' na Kujidhalilisha hadi Kuwadhalilisha Waliomuajiri

    Jana katika tabia yake Ile ile ya Kujipendekeza kwa Serikali ( hasa Watawala ) na kutafuta Huruma ili ifanye Ushawishi na awe Huru kafanya Jambo la Kujichoresha zaidi na linaloonyesha kuwa huenda Majibu ya Mabaya aliyowafanyia Watu sasa Laana zao zinaanza Kumpata. Ni kwamba Mfungwa na Mdaiwa...
  14. USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

    Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu, Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
  15. Misaada: jinsi ya ku update software ya simu (redmi note ten)

    Nimejaribu kwa muda mrefu lakini imebaki kwenye 0% Mwanzo inataka nitumie WiFi
  16. Phone4Sale Redmi Note 9s inauzwa bei nzuri

    ..
  17. Dear Controller and Auditor General (CAG), take note on this

    Naomba nitupie hii kwa CAG kama ilivyo wadau Hello CAG It is my hope that you are doing fine, and I am also terrific. It is a great honour for us and our nation to have you in that office. CAG I am very much patriotic with our nation and national resources, in fact, I underline the concept of...
  18. Note 20 ultra screen black out

    Nimenunua hii simu mwaka jana mwezi wa tisa Mwaka huu mwezi wa pili simu imezima tu screen ghafla, haijadondoka,haijakwaruzika hata screen Imetumwa samsung Dar wanasema ni FAULT which means sina mchango kwenye kuharibika kwa hiyo screen Kikombe kiko kwa wakala wao niliponunua Arusha (mhindi...
  19. INAUZWA Water Pump,Printer,samsung Note 9, Bati Alaf na washing Machine

    Water pump Leo =300k Printer canon na Hp=200k Canon: inahitaji toner Hp: printhead imekufa Samsung note 9=400k Washing machine( von hotpoint 10kg) = 50k Washing machine: upande wa ku spin haufany kazi Bati alaf la kigae gage 28 zipo 15pcs= 800k Mazungumzo yapo..
  20. Phone4Sale Redmi Note 10

    Grab this Offer Now! Xiaomi Redmi Note 10 (Global Version) Rom: 128 GB ( store more videos, photos,etc) Ram : 4 GB Condition: Used for 3 Months Battery: 5000Mah- 12 hrs + Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ OFFER: 400,000 TZs (Negotiable) DM is Open for interested Buyers.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…