nondo

Nondo is a commune in the Gounghin Department of Kouritenga Province in the Centre-Est region of Burkina Faso. It had a population of 394 in 2006.

View More On Wikipedia.org
  1. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Tupeane nondo jinsi ya kupita kwenye usaili wa tume ya taifa ya uchaguzi

    Afisa mwandikishaji jimbo la tabora mjini seif. S. Seif ametoa tangazo la walioitwa kwenye usaili wa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki jimbo la tabora mjini utakaofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya manispaa ya tabora siku ya tarehe 11-12/7/2024 kuanzia saa 8:00AM...
  2. AmKATRINA

    JamiiForums Tanzania Member's mlioweka private profile zenu mnatukosesha nondo zetu...😔

    Habarini za muda huu wanajukwaa wenzangu. Nawasalimu kwa nia njema kabisa. Naomba niongee kidogo juu ya hili suala la mwana Jf KUTORUHUSU KU-VIEW PROFILE LAKE. Hili suala kwa kweli linaumiza sana,najua si kwangu tu, hata kwa mwingine na mwingine. Najua ni haki ya kila member kufanya atakalo...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
  4. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Ni Nondo juu ya nondo naimani ipo siku mtasanuka

    FUMBO MFUMBIE MJINGA LUKA 17:20-21 Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa au ule kule", kwamaana ufalme wa Mungu umo ndani yenu" "Ufalme wa Mbinguni umo ndani yenu, yeyote...
  5. Limbu Nation

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Rebar Coupler: Teknolojia mpya ya kuunganisha nondo ukiwa site ili kupunguza matumizi ya nondo

    Rebar coupler, ni aina mpya ya uunganishaji wa nondo za nguzo (column) au nondo za beam au za retaining walls wakati wa zoezi la ufungaji wa chuma (usukaji wa nondo). Aina hii hutumiwa zaidi na wachina katika shughuli ya ujenzi. Mfano katika ujenzi wa bwawa umeme la mwalimu Nyerere (JNN)...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wasenegal wameikabidhi nchi kwa vijana Faye na Sonko. Wacha tuone kama wamebutua au wameupiga mwingi

    Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye. Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi. Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia CCM. Sasa...
  7. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Msingi wa Ikulu ya Dodoma, ulitumia nondo za Tsh. Bilioni 1

    Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja. Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo alivyoshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa

    Abdul Nondo ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa kufuatia uchaguzi mkuu wa ngome hiyo uliofanyika jana, Alhamisi Februari 29, 2024 kwenye ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo makao makuu ya ACT Wazalendo (Maalim Seif House) Magomeni, Dar es...
  9. conductor

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusuka nondo kwa MCHORO

    We mteja muulize FUNDI wako akupe sababu ya kuchagua Aina aliyoichagua katika kusuka nondo ya nyumba yako . Ili ujue na madhara yake. (Technical reason ni Bora zaidi ye economic reason). Angalia michoro niliyoambatamisha. SWALI zaidi nitamjibu.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yadai uhaba wa Chuma umesababisha kupanda bei ya Misumari na Nondo

    NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema kupanda kwa bei ya nondo na misumari kumetokana na uhaba wa chuma ghafi na chakavu ambavyo ndio malighafi inayotumika kutengenezea bidhaa hizo. Kigahe alibainisha hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi aliyehoji sababu za...
  11. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania Utajiri upo katika kilimo bora cha mpunga, chukua nondo hizi

    KILIMO BORA CHA MPUNGA: A: kuandaa shamba shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow) Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti weka mifereji ya Maji vizuvizur Andaa majaruba mapema yawe level kupitika Kwa maji B: UANDAAJI WA MBEGU NA KUPANDA Kwa kilimo Cha nchi kavu...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nondo za Luhaga Mpina, ndio maana Mzalendo namba moja hayati JPM alimkubali sana

    "Tuna kiwanda cha Esther Bioscience Africa kinazalisha chanjo lakini chanjo nyingi tunaagiza nje ya nchi, tuna viwanda vya viuatilifu lakini bado viuatilifu tunaagiza nje ya nchi. Tukisema tunalinda viwanda kwa hapa tunavilindaje?" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
  13. KENZY

    JamiiForums Tanzania Serikali vijana wasio na ajira wameanza kunyanyua nondo!

    Serikali fanyeni namna watu wapate kazi watu wameanza kunyanyua nondo huku mtaani!,punde si punde wataanza kusema na shingo zetu kwenye vichochoro.. watu watabanwa mbavu watoe vya watu! Mi sisemi mengi
  14. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kiwanda cha Nondo Sayona walipukiwa na uji wa moto

    Wafanyakazi wa kiwanda cha Nondo Sayona walipukiwa na uji wa moto Wafanyakazi 18 wa kiwanda cha Nondo cha Sayona kilichopo Usagara wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, wamejeruhiwa na mlipuko wa moto uliotokea kiwandani hapo oktoba 9, 2023, baada ya kinu cha uji wa moto kulipuka ambapo waliokuwa...
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Abdul ana nondo, asema uchaguzi serikali za mtaa haupaswi kuendelea kusimamiwa na Ofisi ya Rais - TAMISEMI

    Akizungumza na Clouds Media, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema wao kama chama hawakubaliani na sheria TAMISEMI kuendelea kusimamia uchaguzi Serikali za Mitaa. Ameongeza kuwa tunapotaka Haki ya Uchaguzi, Uchaguzi wa uhuru na haki hatuwezi kuendelea endapo Ofisi ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya kimya kirefu nimeamua kumsupport Rais wangu na hizi ndizo nondo nne za kuanza nazo

    Habari jf , binafsi kama Sukuma Gang na mfuasi wa falsafa za hayati Magufuli kwa akili yangu nimeamua kumuamini Rais wangu mama Samia . Hii ni baada ya kufanya tathmini na kugundua Rais Samia ana mipango na malengo mazuri na hii nchi . Hivyo kwa kuanza namshauri haya mambo manne :- 1.Afute...
  17. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Kwa nondo zile za Lissu siioni Katiba Mpya!

    Nimemsikiliza Lissu tangu juzi akiwa kariakoo na pale Kibamba leo kwa hakika ujumbe anaotema ni mzito sana sidhani kama Samia ana kifua cha kuuhimili. Kama Magufuli aliyejiita chuma, Jiwe, Kamongo hakuweza furukuta mbele ya makombora ya Lissu nimewaza sana kuhusu Samia. Japo taarifa za ndani...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limuite Abdul Nondo na wenzake kwa mahojiano ili kujua nia yao ni nini, na mahala pa kuelekea katika maandamano ili wasivuruge amani

    Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata...
  19. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa ya Upinzani kushambulia vyama vya wafanyakazi ni mkakati au Heche na Nondo wanatumika?

    Msingi wa vyama vyote siasa Duniani umezaliwa ubavuni mwa vyama vya wafanyakazi. Kwa sababu kundi la vyama vya wafanyakazi wote wanakua wamesoma na werevu, ndio kundi la kwanza kuona ukandamizaji katika jamii, na kuanza kutoa elimu kwa jamii. Vyama vya wafanyakazi mara nyingi kazi ngumu ya...
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Bakari Nondo Mwamnyeto at his prime. Je, anastahili kuwa Man of the Match leo?

    Baada ya kusugua benchi, leo ameongoza jahazi la ulinzi wa Yanga. Kwa mimi huyu ndio Man of the Match wangu. Kuna muda alikuwa kama kapagawa au kama kavurugwa hivi maruhani yamempanda, alikuwa akiosha na kuanua na kutumia nguvu nyingi sana. Wanabodi wenzangu, ni nani alistahili hii tuzo ya man...
Back
Top Bottom