nondo

Nondo is a commune in the Gounghin Department of Kouritenga Province in the Centre-Est region of Burkina Faso. It had a population of 394 in 2006.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdul Nondo amjibu Mwanasheria Garatwa kuhusu suala la Luhaga Joelson Mpina

    ABDUL NONDO AMJIBU MWANASHERIA GARATWA KUHUSU SUALA LA MH.LUHAGA JOELSON MPINA. Salaam, ndugu Mwanasheria Garatwa. Nimeona andiko lako na uchambuzi wako juu ya suala la kuenguliwa mgombea wetu wa kiti cha Urais ,Mh.Luhaga Joelson Mpina huku ukielekeza lawama kwa chama chetu kufuatia kinachoitwa...
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

    Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani . MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana . Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nondo kati ya alie fanya Masters au aliesoma vitabu vingi kwenye eneo husika?

    Kwa mfano mtu alie fanya Masters in Psychology vs mtu alie soma let's say vitabu elfu moja about psychology. Nani anakuwa nondo zaidi katika kwenye eneo husika la kitaaluma kwenye nyanja hiyo ya Psychology.
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wasomaji wa vitabu: Yupi nondo zaidi kati ya aliesoma vitabu vya somo moja mia tano au aliesoma vitabu mia tano vya mada mia tano tofauti?

    Katika hili, mimi hurejea hekima ya Bruce Lee. Aliwahi kusema " I don't fear a man who has practised 5000 kicks, but I fear a man who has practised 1 kick 5000 times" Bruce Lee is making a lot of sense kwa sababu huyu alie practice 5000 kicks anaweza kuwa " Master of None " Ila huyu alie...
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wachokonozi tv wana nondo sana

    Kwakua wakubwa hawataki watu wenye akili hawa jamaa wanaweza wakakutwa na kitu kizito.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi wa nondo aina ya bs500(hardwares na construction companies)

    Habari wanajamii, Natafuta kampuni au hardware wanaoweza kununua nondo kutoka kwenye kiwanda chetu kipya kilichopo kibaha kwa sasa tunazalisha Bs 500 kuanzia size 8mm-32m,karibuni sana tufanye biashara kwa bei nzuri sana za nondo tuwasiliane na maelezo mengine kupitia namba 0794669628 watu wa...
  7. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Nondo za Godbless Lema akiwa Bariadi Simiyu

    https://youtu.be/Um8sc9LW6bs?si=YZuMeOBmA6cRHtUj
  8. Area 56

    JamiiForums Tanzania Afande akifurahia hotuba ya Tundu Lissu kuhusu No Reforms No Elecetion

    Askari wa Jeshi la Polisi, akifurahia hotuba ya Lissu kuhusu No Reforms No Election ambapo Lissu amegusia pia namna maaskari na watumishi wengine wa umma wanavyokutana na kikotoo baada ya kustaafu. Kila mmoja atafikiwa tu na Lissu kwa namna yake. Lissu ndio habari ya nchi kwa sasa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Interview za TRA zinakaribia soon naomba msaada jamani nondo za tax management officer

    Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
  10. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Chalamila hoyeee. Namuona ITV malumbano ya hoja anashusha nondo

    Tangu mwaka kuanza nadhani hiki ni kipindi cha kwanza bora itv kuhusiana na kuendesha biashara Kariakoo kwa saa 24. Chalamila leo katulia. Anajenga hoja. Inaonekana alijiandaa ilivyo kwa kipindi hiki. Sio yule Chalamila mropokaji na mbwatukaji. Amekua kiasi. Namsikia akiongea kwa data na...
  11. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Hakuna siku Serikali itaacha kukopa kwani hata Marekani na China nao wanakopa zaidi ya Tanzania

    === Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania, Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Odelo mgombea Uenyekiti CHADEMA ni mtu Nondo kweli kweli

    Binafsi sikutegemea kama bwana Odelo angekuwa na hoja nzuri namna hii Ameshusha Nondo nikasema kweli, ana hekima sana Nimempima Kwa mambo yafuatayo 1 Kutofautisha Maandamano na matembezi Kwamba CHADEMA walihimiza matembezi siyo maandano. Maandano yanapaswa yainyime serikali amani na itoe...
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania John Pambalu ni mchungaji au mwanasiasa? Abarikiwe sana ana nondo sijapata kuona? Sion wa kumfananisha naye bongo

    Amani iwe nanyi waungwana Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa? Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye Kijana ana nondo ni balaa Kamchana chana Mbowe kama karatasi Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Aliyoyasema Abdul Nondo akiwa kwenye mkutano wa Baraza La Vijana la CHADEMA (BAVICHA)

    Wakuu, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, Nondo wakati akitoa salamu za ngome hiyo katika mkutano wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) unaoendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 13, 2025 amesema: “Sisi vijana wa vyama...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Nilikatazwa nisizungumze lakini siwezi kuwatii Watekaji

    Wakuu, Leo kupitia Crown Media Abdul Nondo amefunguka kuhusu sakata lake la Utekaji. Amesema hawezi kuwatii Watekaji ambao walimwambia akizungumza Watamuua. Amesema kuwa Hata kama watamteka tena basi Wacha maandiko yatimie lakini hawezi kuacha kuzungumza. Msikilize mwenyewe hapo chini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha veta cha mkoa upi kinafundisha short course ya STEEL FIXING/USUKAJI WA NONDO?

    Wakuu chuo gani Cha veta hapa Tanzania wanafundisha kozi fupi ya steel fixing/USUKAJI WA nondo na ada yake ni kiasi gani? NB:Kama Kuna sehemu wanafundisha hata kama sio veta naomba mnielekeze wakuu nitalipia gharama za mafunzo.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Garatwa: Nondo (6) za Tundu Lissu Mgombea Uenyekiti CHADEMA Taifa 2024-2029

    NONDO (6) SITA ZA LISSU AKIWA LIVE CLUBHOUSE LEO USIKU 1. SUALA LA MGAO WA RUZUKU "Suala la mgao wa Ruzuku ya chama kwenda kwenye ngazi za Wilaya na Mikoa hata kama ni kupeleka kidogo cha kadri lilishakuwa changamoto kubwa sana ndani ya chama chetu licha ya kelele nyingi tunazopiga"...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Abdul Nondo amekutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini

    Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo baada ya madakatri wanaomuuguza katika hospitali ya Aga Khan kubaini uwepo wa mivunjiko midogomodogo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kumbe Nondo alitekwa na Red brigade ya CHADEMA

    Nmeona hizi taarifa je zina uhalisisa wowote?
Back
Top Bottom