nokia

  1. Nokia imebadili mwonekano wa logo yake

    Kampuni ya Nokia imefanya mabadiliko ya mwonekano wa logo yake. Design ya logo ambayo imekuwa ikitumika tangu mwaka 1966, japo ilikuwa inabadilika kodogo (mwaka 1992, 2006 na 2011); kampuni ya Logo imeamua kuweka logo mpya kabisa ambayo ni tofauti na logo yake ya kawaida. Nokia ipo katika...
  2. R

    Kampuni ya Nokia ilikuja na toleo jipya la simu ambazo hununui kwa pesa tasilimu bali unakopeshwa na kulipa kwa miezi sita; tusidanganywe

    Kama kampuni imezindua bidhaa yake na kuweka mikakati ya mauzo ni vyema mikakati hiyo ikalindwa na serikali badala ya mikakati hiyo kutumika kuwalaghai wananchi. Hii huduma siyo ya serikali, ni huduma ya kampuni ya simu kwa lengo la kupanua masoko. Nimemsikia Waziri alkisema wanakopesha...
  3. A

    Msaada wa battery ya Nokia 2.1

    Za asubuhi wakuu Naulizia kwa hapa bongo wapi nitapata battery ya simu tajwa Naipenda huwa kanatunza chaji Sana toka 2019 mwanzoni Hadi Sasa . Week ya pili Sasa nasikia harufu Kama ya lithium battery karibu na port ya kuchajia simu na naona Kama self discharge Ni kubwa Sana ..an average of...
  4. Natafuta simu aina ya NOKIA RM-872 Model 206

    Hello bosses Natafuta hii simu ya batani nokia rm 872 model 206 Budget yangu ni ya kawaida
  5. H

    Kuna watu wanaandika kwenye simu za nokia ya tochi vitufe vinalia utafikiri panya anatafuna mahindi stoo!

    Naona muda wa kulala unakaribia na wengine bado wanapiga safari moja huanzisha nyingine. Umewahi kukaa jirani na mtu mahali mnasubiri huduma labda kwenye taasisi fulani hivi halafu huyo mtu anatumia nokia ya tochi akawa anachati an anaandika msg ukasikia jinsi zile button...
  6. Rekodi 4 za kampuni ya simu ya Nokia kuwahi kuwekwa ulimwenguni.

    1. Nyimbo zinazosikilizwa zaidi ulimwenguni Nokia Tune. Nyimbo ya Nokia ilitungwa na mtunzi Gran Vals, na mtunzi wa Kihispania Francisco Tárrega. Anssi Vanjoki, pamoja na Lauri Kivinen, walichagua kipande hicho maarufu kilichowekwa kwenye simu za Nokia mwaka 1993. Mlio huo maarufu wa kuita...
  7. Nokia G21 inauzwa ipo Mbeya GB 128, Ram 4 TSH 300,000/=

    Simu imetumika wiki Tatu Tu. Simu ni mpya na upya wake. Simu ipo kama unavyoiona kwenye picha hapo Chini. Your all welcome...........,........,.
  8. Msaada natafuta display original ya Nokia G10

    Habarini wanduguuu!! Natafuta maduka ambayo naweza kupata display original ya Nokia G10 nimeuliza hapa kariakoo aggrey Street zipo lkn najua ni makanjanja Tu.. Sijajua Kwa mitaa ya posta ni maduka gani naweza kupata display original kwasababu nipo tayari kugharamia Kwa kiasi chochote cha fedha...
  9. Nataka kununua nokia g10 zinafaa kwa matumizi ya picha

    kuna hizi simu za nokia g10 nimeona review ziko vizuri kutoka na review nilizoangalia je nyinyi watumia wa nokia g10 ni nzuri kwa picha za mchana na usiku bei nimeona around 370k za bongo
  10. CS Core Support Engineer at Nokia

    About Nokia We create the critical networks and technologies to bring together the world’s intelligence, across businesses, cities, supply chains and societies. With our commitment to innovation and technology leadership, driven by the award-winning Nokia Bell Labs, we deliver networks at the...
  11. Nokia lumia: inawezekana kutoa windows os na kuinstall android os?

    Msaada wakuu..nina kisimu cha zaman hapa nokia lumia 720 nataka nibadilishe os yake kutoka windows kwenda android, Je inawezekana?? Msaada wenu na ushauri ni muhimu wakuu.. Ninachochukia windows hawana apps nyingi nizipendazo
  12. I miss you Nokia C2-00

    Back in 2012 enzi Nokia bado imeshika hatamu.Simu yangu ya kwanza kununua kwa hela yangu 125,000 enzi za MidCom ndo wakala wa Nokia. Simu ilikia na battan smooth and soft kwa wale wanaopenda kuchati haina kelele. Software iko fasts ukitype unachek kwenye screen maneno yanavyojitype very fast...
  13. Nahitaji full body housing nokia 5.1 plus black

    Wakuu Nahitaji kupata full body housing ya nokia 5.1 plus. Anayeweza kunisaidia tuwasiliane tafadhali
  14. Ubora wa Camera ya Nokia Lumia 1020 ya zama zile na camera za simu za leo

    Nokia Lumia 1020 iliushangaza ulimwengu pale walipotoa simu Kali sana yenye MP41. Hiyo ilikuwaje Ni 2011 karibu miaka 10 iliyopita. Camera ya Nokia Lumia 1020 ilikuwa kiboko na matata Sana, na ilitumia lens moja, tofauti na leo ambapo tunaona ili simu iwe na camera Kali Basi watalundika rundo la...
  15. A

    Habari njema kwa wapenzi wa Nokia

    Kama tulivoona ujio mpya wa Nokia na Android. Mnamo mwaka 2017 walianza na Android 7 Nougat ambapo walianza na Nokia 1. Nokia 2 , Nokia 3, Nokia 5, Nokia 6 Nokia 8 nk Kisha zikatoka upgrade yake kidogo nikimaanisha Kisha mwaka 2018 zilitoka kama Nokia 2.1, 3.1,5.1 , 6.1 ,7.1 , 8.1 Baadae...
  16. Jinsi ya ku-bypass Nokia 1

    Wakuu, naomba msaada ni njia gani naweza ku by pass hii simu inaitwa Nokia 1. Nimepitia baadhi ya thread lakini naona bado hivyo naomba mwenye uelewa anisaidie ili niweze kutatua tatizo.
  17. Naomba msaada wa kutatua tatizo hili katika imu aina ya Nokia 1

    wakuu nimenunua simu nokia 1 mkoani. Sasa nimekuja kufanya factory reset then kuweka email yangu ikanambia "this phone was reset..enter the previous email" sasa email hiyo iliyokuwa inatumika siijui na aliyeniuzia simfaham naomba msaada jinsi ya kufanya ili niweze kuweka email yangu na...
  18. Simu original za Nokia zinapatikana wapi?

    Samahani Wanajamvi, naomba kuuliza ni duka gani Dar linalouza simu Original za Nokia (Smartphone) ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…