no reforms

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. CHADEMA hawakusoma alama za nyakati wakati wa kuliandaa jambo lao

    Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana...
  2. Ni ipi sera ya CHADEMA kwa sasa baada ya No Reforms, No Election (NRNE)?

    Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara? Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
  3. Oktoba tunatiki au No reforms No election Nani waliibuka washindi?

    Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi. Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
  4. M

    GE2025 Bwege: Nimeamini maneno ya CHADEMA 'No Reforms, No Election' baada ya mgombea Urais kupitia chama changu ACT Wazalendo kuenguliwa

    Selemani Said Bungara 'Bwege' amesema alikuwa anashiriki katika uchaguzi na kukiuza chama chake cha ACT Wazalendo, lakini tokea Mgombea wa Urais kupitia Chama chake, Luhaga Mpina aenguliwe ameona ni kama wagombea wote wa udiwani na ubunge kupitia chama ACT Wazalendo wameenguliwa kwasababu...
  5. W

    SI KWELI CHADEMA imesitisha kampeni ya No reforms kutokana na kesi zinazowakabili

    Wakuu vipi hili limakaaje huko?
  6. R

    ACT sawa yawapate, Chadema ikisema NO REFORMS NO ELECTION mnakuja na TUTALINDA KURA badala ya kuunganisha nguvu za NRNE

    Kukiwa na reforms wanazozipigania CHADEMA, haya yote yasingelikuwepo! Badala ya kuunganisha nguvu, mnaleta mzaha wa ujinga wa tutalinda kura. ngoja kiwapate, safi kabisa. AU mnacheza mchezo huu na wadau wenu kuhalalisha Samia kutokuwa na mpinzania!
  7. Kigwangala My Brother Njoo tuwaze wote Nje ya Box; maana kwa sasa na wewe slogan yako kubwa ni No Reforms No Election,Usiende kule ili mtu apate ajali

    Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena. Niende kwenye Mada kwa ufupi, Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM katika Bunge lijalo kwa uchache;- Baba Levo- Kigoma Mjini JOSHUA NASSARI- Arumeru Mashariki Kuna...
  8. POTOSHI Sugu asema Lissu ni Mhaini, wana CHADEMA kanda ya Nyasa wanaikataa na hawaitaki 'No reforms, No election'

  9. GE2025 Sugu: No Reforms haikuanza na CHADEMA. No Reforms walianza nayo wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita

    Wakuu, Akizungumza leo, Sugu amesema kuwa agenda ya No Reforms No Elections haikuanzishwa na CHADEMA bali wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita. Sugu amesema kuwa kwenye Chaguzi zilizopita Wananchi walikataa tamaa kwenye Uchaguzi kwani walianza kukataa kujitokeza kupiga kura Msikilizeni hapa
  10. GE2025 No reforms no election itatekelezwaje, raia tujiandaeje?

    Usalama kwanza Tusilichukulie poa neno hili la no reforms no election. Watanzania tuna haki ya kujua kama siku hiyo tutarajie kuona, kusikia au kupatwa na kitu gani kutokana na harakati za kuzuia uchaguzi kama hizo reforms hazitatekelezwa ili tujiandae mapema. Kuna wakati nilitaka kuamini kuwa...
  11. S

    Nitakinukisha, NItakinukisha, Nitakinukisha, Nitafanya Uasi, No Reforms No Elections, Kiko Wapi?

    Mtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi ningeshangaa sana, unapita Kila Wilaya mwenyewe unajiua unapendwa, unachonganisha watu na serikali, Leo...
  12. GE2025 No Reforms, No Election imekufa rasmi leo tarehe12 August 2025 baada ya harambee ya CCM

    Wanaukumbi. No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM. Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia. Rais Samia anachangiwa na kila...
  13. Kama unaishabikia NO REFORMS NO ELECTION kidenzi pita hapa

    Kaulimbiu ya "No reforms, no election" (Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi) ni ujumbe wa kisiasa unaotumiwa na vyama vya siasa au makundi ya kijamii kudai mabadiliko ya kimsingi katika mfumo wa uchaguzi au uendeshaji wa serikali kabla ya kuruhusu au kushiriki katika uchaguzi mkuu. Lengo lake...
  14. Tumewakataa na Mabaiskeli yenu No reforms no elections ni humu tu.

    GT Hali ndo kama mnavyoiona. Hapo Lisu bado hajatoka kudadadeki maCCM Mmekataliwa duniani na binguni. Endeleeni kulazimisha ila karma haijawahi kukosea njia
  15. No Reforms No Election(NRNE) wa Mynanmar kufungwa hadi miaka 10

    Utawala wa kidikteta wa Mynanmar umeptisha sheria kali kwa watakaopinga uchaguzi ww nchi hiyo mwishoni mwa mwaka huku ukiweka sheria mbalimbali za vifungo kuanzia miaka mitatu hadi kumi kwa makosa mbalimbali ya kupinga uchaguzi kuanzia kuhamasisha watu kutoshiriki, kufanya maandamano kupinga...
  16. GE2025 Kamanda Muliro: Haiwezekani kwa CHADEMA kutekeleza agenda yao ya “No Reforms No Election”

    Wakuu, Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba https://www.youtube.com/watch?v=caUT4k_qHjs
  17. GE2025 Kigaila awajia juu wanaosema 'no reforms no election' asema walikuwa wabunge kwa sheria hizi hizi

    "Sheria hizihizi zimetupeleka bungeni, wote wanaosema 'no reforms no election' wamekuwa wabunge miaka 10, miaka mitano na sheria hizihizi, zilitufanya tukiwa CHADEMA tukafika wabunge 72, na madiwani 1108 sheria hizihizi. Kinachotakiwa, kuwe na sheria mbaya, kuwe na sheria nzuri, kushinda...
  18. GE2025 Maoni na ushauri binafsi wa Bishop Gwajima kuhusu Nonsense ya CHADEMA ya 'No Reforms No Election' upuuzwe

    Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika. Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili...
  19. GE2025 Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA

    Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo...
  20. No Reforms No Election haizuiliki wala kushikika: Wananchi sasa wanasema wazi hawatopiga kura Oktoba 2025

    Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria. Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe. Watanzania tujipongeze sana. Lazima CCM watambue sisi sio mafala tena. No Reform No Election ✊️ ✌️
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…