no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    CHADEMA hawakusoma alama za nyakati wakati wa kuliandaa jambo lao

    Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana...
  2. Kazanazo

    Ni ipi sera ya CHADEMA kwa sasa baada ya No Reforms, No Election (NRNE)?

    Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara? Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
  3. Allen Kilewella

    Oktoba tunatiki au No reforms No election Nani waliibuka washindi?

    Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi. Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
  4. Heparin

    PostGE2025 Ama kweli hii Serikali ni sikio la kufa. Kwanini bado mnawinda vijana usiku wa manane?

    Hali bado ni tete mtaani. Polisi wakishirikiana na wajumbe wa Serikali za Mitaa wanawinda watu, hasa vijana wa kiume, usiku wakiwa wamelala. Mbaya zaidi wanabeba kila mtu bila kujali lolote, na ole wako wakukute na jeraha lolote cha moto utakiona. Vijana hawa wakichukuliwa hawaonekani kwenye...
  5. M

    PostGE2025 No Reforms No Election yafanikiwa, Umma umeukataa uchaguzi feki

    Ni dhahiri wananchi wameukataa uchaguzi feki, wengi hawakujitokeza kwenda kupiga kura na maelfu waliingia barabarani kuandamana kupinga uchaguzi huo na kudai haki. Kilichofanyika ni kumtangaza yule mama kushinda kwa kura ambazo kimsingi hazikuwepo bali ni magumashi tu. Kwa sasa huyo mama...
  6. PAYE

    GE2025 Wenje: Wengi Kamati Kuu CHADEMA walipinga 'No Reforms No Election'

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema asilimia 80 ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hawakukubaliana na msimamo wa 'No Reforms, No Election,' ndiyo maana wengi wamekihama chama hicho.
  7. McLaren

    GE2025 Shirika la TAFEYOKO: 64% ya wanawake na 36% ya wanaume waahidi kupiga kura, kisha kurejea nyumbani siku ya Uchaguzi

    Shirika la Vijana na wanawake Tanzania (TAFEYOKO) limesema limefanya utafiti katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani ambao umeonesha asilimia 64 za wanawake na asilimia 36 za wanaume wamesema wakishamaliza kupiga kura watarejea nyumbani.
  8. McLaren

    GE2025 RC Shinyanga Mboni Mhita: Tutahakikisha siku ya Uchaguzi inapita kwa amani. Hatutamvumilia yeyote atakayevuruga amani

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita, amewatoa hofu wananchi wa mkoa huo kuhusu hali ya usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa mkoa uko salama na hauna tishio lolote la kiusalama. Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari...
  9. K

    GE2025 Tusivurugane Akili, Lengo Linabaki Lilelile: No reforms, No election

    Oktoba 29 dhumuni ni lile lile Watanzania walilo jiwekea: Bila ya Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi. Sasa kwa nini tuanze tena kutafuta visababu vya kupotezeana akili? Maandamano nchi nzima ni nyenzo muhimu ya kuzuia uchafuzi huo aliojipangia Samia na Genge lake ili abaki madarakani kwa nguvu. Kwa...
  10. Waufukweni

    GE2025 CCM waogopa hadi bendera! Mwenyekiti wa CCM aagiza bendera za CHADEMA zishushwe wakati wa ziara ya kampeni ya Samia

    Katika video inayosambaa mitandaoni ikionyesha kundi la wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika harakati za kushusha bendera za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika maeneo mbalimbali ya Musoma. Kwa mujibu wa maelezo yanayosikika kwenye video hiyo, hatua hiyo inadaiwa...
  11. McLaren

    GE2025 Wananchi ikiwemo watoto wapanda kwenye jukwaa la CCM wakisema "No Reforms No Election"

    Wakuu, Mko wapi? Mambo yameendelea kuchemka huku Yaani ni wazi kuwa watu wameamua.
  12. McLaren

    Mwingine ajitokeza kusema kuwa Jeshi litawaunga mkono wananchi kwenye maandamano. Wataalamu, huyu ni mwanajeshi kweli?

    Wanabodi, Nimekutana na clip hii ya huyu kijana akiwa amevaa nguo za JKT akisema kuwa kama Jeshi lenyewe linaunga mkono maandamano na asijitokeze yoyote kuwaumiza wananchi kwenye maandamano hayo Sasa najua kuna wajuzi humu. Huyu ni mwanajeshi kweli au ni changa la macho Kama kweli huyu...
  13. McLaren

    GE2025 CHADEMA: Kesi ya Lissu itaanza kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 6 - 24 Oktoba kisha kuendelea hadi Novemba 12

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake Tundu Lissu itaanza kusikilizwa kuanzia tarehe 6 Oktoba 2025 hadi 24 Oktoba, kisha kuendelea tena tarehe 3 hadi 12 Novemba 2025. Kwa mujibu wa chama hicho, mashahidi wa upande wa...
  14. DuaZaMama

    GE2025 Heche: Kila mtu anayo haki ya kufanya chochote ndani ya nchi hii

    Oktoba 4, 2025, Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche alizungumza na wananchi wa Kijiji cha Bukokwa kilichopo Halmashauri ya Buchosa, mkoani Mwanza, katika mkutano wa hadhara uliohusu kampeni ya “No Reforms, No Election”. Katika hotuba yake, Heche alisisitiza kuwa chama chake...
  15. Just Pray

    GE2025 Lyata: Uchaguzi umepoa, No reforms No election Imeeleweka

    Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Felix Lyata amesema uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepoa kwa sababu ajenda ya 'No Reforms no Election imeeleweka kwa wananchi huku akisisitiza kwamba ili uchaguzi uweze kuitwa uchaguzi ni lazima kuwepo na...
  16. blogger

    Hivi Ndugu zangu Watanzania mnajua huku mtaani hakuna vibe la uchaguzi . Mshaurini Rais aahirishe

    Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi. Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi. Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au...
  17. Chamoto

    GE2025 Polepole: Tarehe 29 sitaonekana kwenye kituo chochote cha kupiga kura kwa sababu hakuna Uchaguzi ni kiini macho

    Anaandika Humphrey Polepole kupitia ukurasa wake wa Instagram: "Ukiona ukiwasikiliza ndani ya moyo wako hawakupi amani ya moyo, ukiona wanatumia nguvu kubwa kukushawishi hata kwa mambo ya kawaida na bado unahisi na kuona kutokuwaamini, ukiona wakitajwa unahofia usalama wako, ukiona hauwezi...
  18. Waufukweni

    GE2025 Gombo: Hakuna kususia Uchaguzi, tukapige na kuzilinda Kura

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa ndio njia pekee itakayowezesha kumchagua kiongozi wanayemtaka. Pia mgombea urais huyo ameitaka Tume huru ya uchaguzi kutenda haki na usawa...
  19. Nipe Maji

    POTOSHI Kupitia kikao cha mtandaoni CHADEMA, Joseph Mbilinyi asema wanaikataa No reforms, No election

  20. Heparin

    GE2025 Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025

    Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025. Utetezi wa Siku ya Pili upo hapa: GE2025 - Utetezi wa Pili wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Ugaidi, Septemba 9, 2025 === Kesi imeanza Kasimama Wakili Nassoro...
Back
Top Bottom