nmb

NMB Bank Nepal is a commercial bank in Nepal with headquarters in Kathmandu. The bank is licensed by central bank of Nepal, the Nepal Rastra Bank and has 163 branches across the nation providing retail and commercial banking services.
Recently, it acquired Om Development Bank.
The bank's shares are publicly traded in the Nepal Stock Exchange. The Bank has a joint venture agreement with Netherlands Development Finance Company (FMO) a Dutch development bank which holds 17% of the bank's shares and is the largest shareholder of the Bank.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Jana NMB wamenitumia Trion 10 Kwa makosa

    NMB plz msiniingize majalibuni na Sina tamaa Kwa pesa ambayo siyo haki yangu na jasho langu,kuweni makini mtakuja kukosea Kwa vishoka hatimae kiwe kilio kwenu. Jana mmenitumia TZS 10,024,061,002,406 = Shilingi trilioni 10.024 (takribani) na sikutoa hata mia ndani ya dakika 45 hivi ndo...
  2. JamiiForums Tanzania Kero sugu ya shida ya mtandao NMB fanyeni marekebisho

    Wakuu habari za jioni hii Huduma za kifedha za NMB hazipatikani kwasababu ya shida ya mtandao, hii ni kero sana haswa kwa sisi wajasiriamali ambao tunadeposit pesa kila siku kwaajili ya biashara.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hizi kero ambazo NMB bank inawapa wateja wake?, ni nani anapaswa kuwajibika?

    Habari, Inaenda wiki sasa huduma za miamala bado hazijatengamaa kwenye swala la kutuma na kupokea hela, unaeza ukatuma hela ikaishia hewani, unaeza ukatumiwa hela ikaishia hewani. Wengine ATM zina shida, mwingine hawezi lipia control number, wafanyabiashara wengine wanashindwa lipa suppliers...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa NMB leo umenikatili vibaya sana sina hamu kabisa

    Hawa jamaa leo wameniathiri vibaya kwa kukoso huduma fulani katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down. Nimepoteza hela na nimeopoteza fursa. Inakera sana!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hivi NMB Jumatatu itakuwa lini

    Wana JF nani anajua Jumatatu ya hawa jamaa wa NMB itakuwa lini? Kwenye calender ya Gregoly, waliyotwambia ndiyo leo kakini mambo ndiyo bado magumu kabisa hata hizo sijui POS nazo hakuna kitu asubuhi hata ATM zao zililinuna kabisa duuuhhh.
  6. JamiiForums Tanzania NMB wakwamisha Mpango wa Tonetone ya CHADEMA. Bado Vodacom

    Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wiki nzima NMB, Atm na Nmb mkononi hazifanyi kazi.

    Nmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao. Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako. Nmb mnafeli wapi?
  8. JamiiForums Tanzania Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

    Binafsi taarifa yao nimeiona jana baada ya kushindwa kukamilisha miamala. Kwa ukubwa wao haya ni mateso kwa wateja. Leo huduma na kazi nyingi zinazohusisha malipo NMB zimekwama. Kwanini hayo matengenezo wasingeyafanya siku moja au wangefanya usiku? Washaifanya wikiendi iwe chungu
  9. R

    JamiiForums Tanzania NMB App iko down tangu jana hadi Muda huu

    Wana JF nani anjua kinacho wasibu NMB maana wanasababisha tudhalilike kwa kushindwa kutumia hela zetu. Ushauri nihamie bank gani ambayo app yake iko online 24x7 naona NMB wanaweza wakapotezwa hata mtaji wangu.
  10. JamiiForums Tanzania NMB kwa msaada wa IFC wameuza hatifungani ya kwanza huko London. Wafanyabiashara Wadogo Tanzania Ndio Walengwa

    Hii ni bondi (hati fungani) ya kwanza kabisa ya Shilingi ya Tanzania kutolewa kwenye soko la hisa la kimataifa. Lakini hii si bondi ya kwanza ya IFC (IFC ni miongoni mwa taasisi za kifedha zilizo chini ya benki ya dunia (World Bank) ya sarafu ya ndani. Haya ndiyo unayopaswa kujua kuhusu hili; 1...
  11. JamiiForums Tanzania Vipi NMB, mbona App yenu inazingua?

    Tokea siku ya juzi kuna changamoto kwenye app yenu ya NMB mkononi, kutoa pesa ni shida na nimekuta nimeandikiwa deni ndani ya account yangu yaani (-Kisha kiasi ninachodaiwa) jambo ambalo sijawahi kuliona hapo kabla. Nimetuma pesa juzi na imerudishwa jana ila nikitaka kununua umeme pia...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Benki ya NMB Tawi la Chamwino wanatumia Mhudumu (TELLER) mmoja tu wakati madirisha yapo mawili?

    Kwa muda mrefu sasa benki ya NMB tawi la Chamwino dirisha linalotumika kutoa huduma ni moja tu wakati kuna madirisha mawili ila moja halina mhudumu kwa muda mrefu sasa. Hali hii inasababisha usumbufu kwa wateja na kutumia muda mrefu kupata huduma muda ambao tunaweza kutumia kufanya shughuli...
  13. JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Habari, NMB ni mojawapo ya bank Bora Tanzania. Ni bank inayofanya vizuri sokoni...... Nilikuwa na Malengo ya kununua tokea kitambo ila bei ilikuwa un-affordable kwa pesa kidogokidogo kwa hisa moja ilifika 10,000+. Sasa nimepewa mkopo kazini wenye riba ya 2% p.a kwa 5years ambayo ni ml 50...
  14. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Magawio DSE 2026: NMB, Twiga Cement, DSE, Swissport na Mkombozi Bank

    Unawekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE? Hii hapa ndiyo ratiba ya magawio yanayotarajiwa kulipwa kwa wanahisa wa kampuni zilizoorodheshwa DSE. 24 Juni 2026 • NMB Bank: TZS 610.15 kwa kila hisa 30 Juni 2026 • Twiga Cement: TZS 300 kwa kila hisa • DSE: TZS 69 kwa kila hisa, gawio la...
  15. JamiiForums Tanzania Kama ulisikia kuwa NMB wanatoa mkono wa pole kwa mteja akifariki basi ulidanganywa!

    Nadhani hizi stori sio ngeni kwetu! Mbaya zaidi hata baadhi ya staff wa NMB hawajui uhalisia wa jambo hili!! Hebu angalia hiki kisa changu! Mwaka huu mwezi wa pili nilifiwa na baba Yangu mzazi.. Na huyu mzee alikuwa mteja wa NMB tuseme kuanzia anaajiriwa akiwa kijana hadi akastaafu zaidi ya...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Unakopa milioni 10 unarudisha milioni 40! NMB Mungu anawaona

    Nilikua naangalia mkopo wa nyumba hapa wa miaka 25.Nimeshtuka hiki kiasi cha 16% ambacho ni milion 30. Nimeishiwa pozi kabisa
  17. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kupata mkopo wa biashara kwenye benki kubwa NMB, CRDB & NBC

    Habari wananzengo, Naomba kuuliza Je ni Muda gani Mtu anapewa mkopo kama amekidhi vigezo vyote vya kukopesheka, ie ana dhamana, ana biashara iliosajiliwa, Bank statement zake ziko vizuri ?? Naomba kujua
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO NMB, kwanini mtumie saa 24 kushughulikia muamala ambao HAUJAKAMILIKA?

    Nilikuwa natoa hela bila card (PESA FASTA) kwenye ATM ya NMB DODOMA leo, baada ya kumaliza kutoa kwenye simu nikawa nasubiria meseji ya namba ya siri ili iniwezeshe kutoa kwa kwenye ATM lakini nilisubiria kwa zaidi ya dakika 15 lakini sikupata Meseji. Nikawapigia huduma kwa wateja wakaniambia...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kwaheri NMB

    Bank gani kila mara changamoto? Leo NMB mobile siku nzima hakuna mtandao. Na si mara ya kwanza. Mimi binafsi ninechoka, nitahamisha mshahara wangu bank inayojielewa, maafisa utumisha watake wasitake. Haiwezekani hii bank iwe na inconvenience kila mara. Huduma kwanza hovyoo. Back to NBC. Very...
  20. JamiiForums Tanzania Je inawezekana kubadilisha namba niliyounganisha na NMB Acc. Ilhali hiyo laini nilishaipoteza na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo?

    Habari za muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza Je! Naweza kuunganisha namba mpya ninayoitumia kwenye NMB kwa sababu namba ya simu niliyounganisha mwanzoni wakati nafungua Account haipo yaani ilishapotea na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…