n.k

  1. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majiji na watu walioyashikilia kiuchumi,

    DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k. MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara. ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana Mbeya - Watu wa Njombe Dodoma na Tanga sijajua
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Default settings za mwafrika ni wizi, akipata cheo, lori likianguka, n.k. anachowaza ni kuiba

    Hata kama wizi upo kote ila kwa waafrika ni default settings Lori likipiga mzinga default settings za waafrika huwa ni Baraka imeshuka, watu wanajsevia hawajali hasara wanayotengeneza Mwajiriwa anaelipwa kwa kodi za wananchi bado anahitaji mlungula au ya soda ili afanye kazi yake, bila hivyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kusimamia group la facebook kabla sijalitelekeza, Nimechoka kufuta post za biashara, waganga, n.k.

    Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k. Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watz tunazidi kupiga hatua, kuna software maarufu ya kudownload videos za youtube na mitandao ya kijamii. imetengenezwa na mtu anajiita Muhogo Mchungu

    https://github.com/mhogomchungu/media-downloader Siku ya jana nilikuwa natafuta software nzuri ya kushusha videos Baada ya kutafuta hapa na pale nikakuta kwenye majukwaa ya eknolojia ya kimataifa watu wanaishauri Media Downloader Niliishusha na kuitumia, ni software nzuri ambayo inaweza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Bunda wameandamana kupinga utekaji, kudai tume huru n.k

    Huko Bunda? Mkoani Mara; wananchi hawakuwa nyuma.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi hii miradi kama SGR pamoja na Mv Mwanza ni mali ya CCM?

    Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii. Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania. Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi? Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende...
  9. JamiiForums Tanzania Upi ni mstari wako pendwa katika kitabu cha biblia unaokupa nguvu, faraja, amani, tumaini, silaha/ushindi katika vita vya kiroho?

    1)Zab 68:20 Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana. 2)Yohane 14:13 Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. 3)Zab 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume limbukeni atamruhusu mke wake kuvaa hovyo lakini anachukia akiona wanaume wengi wakimtongoza, kumuangalia maumbile, kumpigia miluzi, n.k.

    Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja. unaporuhu avae hivyo tafadhali usichukie unapoona anatongozwa sana, watu kugeuza shingo zao kumdadisi au...
  11. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUWA SUPER AGENT au AGGREGATOR ( MPESA, TIGOPESA, Airtel Money n.k)

    Wakuu habarini hapa Jamvini? Weekend ya leo naomba mwenye uelewa mtoe ujuzi wa namna ya kuwa au kuifhinishwa kuwa Super Agent au AGGREGATOR wa mitandao mbali mbali ya simu haya TZ kwa huduma za e-money like TIGOPESA, M-Pesa, Airtel Money, Halo Pesa na zingine ... NB: Kwenye maduka yao hawatoi...
  12. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k)

    Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k) nicheki 0756704145
  13. JamiiForums Tanzania Mnaona wakuu, tukaanza kuwa tunamtumia Polepole hela ya kumsapoti kama ambavyo tumekuwa tukimsapoti Lissu n.k ili kumtia Moyo !?

    Wakuu ili Ku-push agenda ya NRNE n.k Mnaonaje tukamsapoti Pole Pole Kama ambavyo tumekuwa tukowasapoti wadau wengine Kama TAL n.k. Kwakuwa huyu jamaa anatutoa gizani.
  14. JamiiForums Tanzania Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k

    Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k. Kuna mifumo miwili mmoja wa kompyuta unawekewa unatunza kumbukumbu humo humo na kuna mfumo mwingine unatunza taarifa kwenye seva ambapo taarifa unaweza weka kwa njia ya mtandao yaani simu au kompyuta na kuzipata taarifa popote...
  15. JamiiForums Tanzania Programu ya kompyuta ya kutunza kumbukumbu za wateja, bidhaa na n.k.

    Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  16. JamiiForums Tanzania Programu ya kutunza kumbukumbu kama wateja, bidhaa na n.k

    Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nasimamia miradi na ujenzi wa nyumba, Majengo na n.k, mkoa wa dar es salaam

    Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji vipodozi jumla (mafuta,pafyumu,losheni, n.k)

    Kama unahitaji vipodozi vya jumla (mafuta,pafyumu,losheni, n.k) nicheki 0756704145, napatikana Mkoa wa Dar es salaam, eneo la kazi kariakoo
  20. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kutunza kumbukumbu za Kifamilia na kuziweka katika maandishi kuwa documented n.k

    Wakati nasoma historia ya ukoo wetu kuanzia mwaka 1890s mpaka 2025. Nimepata mambo yafuatayo Kila MTU aliyejaribu kuvuta Bangi alichanganikiwa na kupoteza mwelekeo. Hii ni historia ambayo nimeifanyia research . Nimeandaa Family Tree kwa kuangalia mambo mengi kuhusu Changamoto za ukoo Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…