njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza :KANISA linakibali kuiambia Dunia, Mateso na Video haifai Tena, watafute Njia nyingine, Kanisa linapofanya hivo haliingilii Siasa.

    Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna. Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
  2. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa vijana tuliozaliwa mwaka 1995 tu , karibu tujadili njia za kuingia Ikulu pamoja kuteketeza mifumo yote ya kitapeli na unyonyaji.

    Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 . Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth" Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania . Kisiasa . Kijamii Kiuchumi Ikiwa wewe haujazaliwa mwaka 1995 Ila unataka kushiriki kutoa mawazo yako unakaribishwa.
  3. JamiiForums Tanzania YAVUZ YAKUZ......

    Mapenzi yamekua changamoto sana kipindi hiki... Ila haya ni maneno mawili ambayo yatafanya upate mpenzi ambaye atakutii na wewe utamtii yaani kiufupi mtatiana... Maneno haya ni mawili tuu YAKUZ NA YAVUZI.. Kaa ndani peke yako hakikisha kama wa kike ujafanya mapenzi week moja kabla na kama...
  4. JamiiForums Tanzania Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

    Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho... Hutaki kazi ngumu na kazi huna.... Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki.. Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood.. Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu...
  5. JamiiForums Tanzania Njia zilizotumika kulinda ubakaji karne ya 19

    Katika kipindi cha enzi za kati (Medieval), “mikanda ya usafi wa mwili” (chastity belts) mara nyingi huchukuliwa kuwa njia ya kudhibiti uaminifu wa wanawake. Hata hivyo, baadhi ya wanahistoria wanaamini kuwa lengo lake kuu lilikuwa ni kuwalinda wanawake dhidi ya ubakaji wakati wa vita na katika...
  6. JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  7. JamiiForums Tanzania NUNUA VITABU VYA AVIATION NA VYA PHYSICS KWA NJIA HII

    Hello 👋 I have compiled an essential list of Physics and Aviation books that you need to explore. You can easily search for these topics using this chat bot 👉Karabo | Vitabu Dhahabu. Don’t hesitate to reach out about any of these genres available in our inventory.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Asilimia 75 Ya Wafanyabiashara Wanatumia Njia Hizi Kupata Mitaji Ya Kampuni Zao

    Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa. Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao? Kwenye Thread hii nimekuorodheshea baadhi ya njia hizo; 1. Hisa Wafanyabiashara wanaofungus Kampuni LLC huuza hisa za Kampuni husika...
  9. JamiiForums Tanzania Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati

    Wakuu wa uwekezaji. Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati
  10. JamiiForums Tanzania Hizi ndio njia tano pekee za kuwa tajiri hapa duniani tajiri yoyote atapitia au amepitia njia moja wapo kati ya hizi.

    Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli: 1. Kurithi Mali Kama ulizaliwa kwenye familia yenye pesa aubkwenu kuna ukwasi wa kutosha basi maisha yako yanaanzia juu. Urithi...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

    Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu. Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG. Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite. Nasubiria majibu yenu hapa chini.
  12. JamiiForums Tanzania Nitazishtaki shule za miaka hii ya 90 kwa Unyanyasaji huu mkubwa waliotufanyia

    Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa. Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
  13. JamiiForums Tanzania Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
  14. JamiiForums Tanzania Njia za kutumia kupata wazo bora la biashara

    IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA 1. TUMIA UJUZI ULIO NAO Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa...
  15. JamiiForums Tanzania Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako

    Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako: 👉Kwa wafanyabiashara wa Online 👉Freelancers 👉Service provider 👉Wanaouza products za afya 👉Wanaouza digital products 👉Wenye ofisi / kampuni Hizi ni njia za marketing zinazoleta matokeo kwa watu wengi Thread 👇👇 1. Target watu wengi kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama unatafuta pesa kwa njia za analojia umaskini uko mlangoni kwako.Pesa ziko mtandaoni.

    Kama unataka utumie nguvu zako au jasho lako kupata utajiri sahau. Kama kazi yako kusafiri na mizigo kutoa hapa kwenda kule sahau utajiri. Kama unataka ukalime mpunga sahau utajiri. Pesa ziko online. Waache walime wewe tumia mitandao kuuza hayo mazao yao . Usihangahike na mikorokoro, . USIKAE na...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona Rais wa Uturuki anaitamani sana Syria, Benjamin Netanyahu aizibia njia Uturuki

    Netanyahu kama alivyo mwenzake Donald Trump akili zao si za kawaida.Wanajiamini kuwachokoza na kutaka kupigana na kila mtu duniani kwa kujiamini kwa hali ya juu. Hiyo ni kwa vile Israel kwa sasa imeridhika kuwa waarabu wote ni kama maboya tu.Sasa hivi wamejiamini kuichokonoa Uturuki ambapo hapo...
  18. JamiiForums Tanzania Udaktari ni wito kama umesoma ili utajirike umepotea njia

    Eti wakulungwa udaktari ni wito kama uwalimu !?
  19. JamiiForums Tanzania Eti wakuu hapa ungetumia njia gani ili unusuru hii mali

    #RudiniMashambaniKuoa
  20. JamiiForums Tanzania Wenye malengo ya kukwea mamtoni kwa njia ya UFADHILI wa masomo njooni hapa kwanza tuone tunafanyaje maana tukisubiri CONNECTION tutaisha

    HAKIKISHA una PASSPORT Kama huna sema uelekezwe kwa kuipata Niaje wakuu Lengo la group letu ni kupeana taarifa na mbinu pia scholarship na fursa zote zitazakazotupeleka NJE YA AFRICA. GROUP hili linahusu kutafuta SCHOLARSHIPS ikiwa lengo sio kwenda kusoma but lengo ni kukwea pipa Ila kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…