njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Awamu ya 6 ni awamu ya 5 Kiuchumi na Kasi ya Utekelezaji Miradi

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo maarufu zaidi cha utangazaji cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema haya, Pamoja na mambo mengine mengi Kafulila anasema kama Kuna kitu Rais Samia anaweza kujivunia ni...
  2. JamiiForums Tanzania Zifahamu njia zitumikazo kutengeneza hizi dawa zinazouzwa pharmacy

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutakua na mpango wa kuzalisha dawa hapa Tanzania, je wajua njia za kutengeneza dawa??? Zifuatazo ni njia za kutengeneza dawa Kama nchi tutategeneze library kubwa itakayokuwa na chemical or compound zinazopatika kwenye nature na zinaposes unique features kama;- ENGULF...
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Foleni njia ya Moshi-Arusha

    Barabara ya Moshi-Arusha magari hayatembei kuanzia Kia mpaka Arusha Mjini. Haijulikani changamoto ni nin hasa na wale wa kutoka moshi kwenda arusha wametanua njia nzima na wale wa kutoka arusha kwenda moshi nao wamefanya hivyo hivyo. Wahusika wenye mamlaka watatue changamoto hii kwani ni zaid...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa ngumu sana kwa sisi tunaotafuta kwa njia halali

    Yani hali yetu ni tete sana labda hao wenye mirija ya ufisadi kwao mambo yao safi.Yani toka mwaka uanze jadi sasa biashara hazijachangamka mzunguko wa hela tabu tu.
  5. JamiiForums Tanzania πŸ”‹βœ¨ Honda Inachagua Njia Yake! πŸš—πŸ’¨ Na kuachana na Nissan

    πŸ”‹βœ¨ Honda Inachagua Njia Yake! πŸš—πŸ’¨ Badala ya kwenda 100% EV kama kampuni nyingine za magari, Honda imesema inawekeza zaidi kwenye magari ya Hybrid na kusitisha mpango wa EV! Honda na Nissan zilikuwa zimekubaliana kuungana na kuwa kampuni moja lakini mwanzo wa mwaka huu zilisitisha mpango huo...
  6. JamiiForums Tanzania πŸ”‹βœ¨ Honda Inachagua Njia Yake! πŸš—πŸ’¨

    πŸ”‹βœ¨ Honda Inachagua Njia Yake! πŸš—πŸ’¨ Badala ya kwenda 100% EV kama kampuni nyingine za magari, Honda imesema inawekeza zaidi kwenye magari ya Hybrid na kusitisha mpango wa EV! Honda na Nissan zilikuwa zimekubaliana kuungana na kuwa kampuni moja lakini mwanzo wa mwaka huu zilisitisha mpango huo...
  7. JamiiForums Tanzania Njia inayoingia kwenye Kanisa la Gwajima imefungwa; Polisi wanazuia kupita

    Baadhi ya waamini na Watu ambao wanaoelekea kwenye Kanisa la Askofu Gwajima au kwenye mwelekeo wa Kanisa hilo lilipo wanazuiwa na kuamriwa na askari kuondoka eneo hilo. Mpaka majira ya saa tano asubuhi yaleo Juni 3, 2025, askari wenye magari na silaha wamezunguka njia zinaoelekea kwenye Kanisa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania UPANDISHAJI KWA NGURUWE KWA NJIA YA MRIJA (ARTIFICIAL INSEMINATION)

    Habari wafugaji! Napenda kuwashukur kupata nafasi kwa muda huu .binafsi Mimi ni daktari gilliard najihusisha na masuala yote ya wanyama Yani mifugo. Leo napenda kuwaletea juu ya upandishaji kwa nguruwe kwa njia ya mrija.njia hii ni muhimu sana endapo ukitumia kwenye shamba lako la mifugo na...
  9. JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kutunza pesa

    Habarini wana jf mimi naomb wenye kujua njia ya kutunza pesa ukiachan na bank na mitanndao ya sm .....nnaingiza milioni moja kwa mwezi
  10. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kisemvule njia panda ya Kibamba Msikitini

    Nauza kiwanja changu kilichopimwa kipo Kisemvule Njia PANDA ya KIBAMBA MSIKITINI Eneo ni sqm 1700 Price; Million 6. Hakina udalali. Huduma zote za kijamii zinapatikana. Kwa mawasiliano; Njoo PM
  11. JamiiForums Tanzania Njia ya kuondoa majitaka kwa njia mbadala

    Habari wanajamvi, eti kuna njia ya kupunguza mzigo wa majitaka kwa njia mbadala. Kuna mtu kanishauri ninunue chumvi kg 5 , chlorine lita 1 na chokaa kg 5 nichanganye pamoja halafu nimwage ndani ya shimo? Je ni kweli? Nahofia nisije nikatengeneza bomu mambo yakaharibika zaidi
  12. JamiiForums Tanzania Njia za kuwezesha kupokea pesa globally nje ya binance na skrill

    Kama inavyojieleza hapo juu, naombeni msaada wa mawazo yenu wakuu
  13. JamiiForums Tanzania Njia ya ZANU-PF ya Zimbabwe ndio iliyopo kazini Tanzagiza kukiwa hakuna upinzani hata wa kuikaribia MDC, mbele ni giza tupu.

    Mwaka 2008 Zimbabwe ilifanya uchaguzi mkuu, chama cha upinzani cha MDC cha Morgan Tsavangirai kikashinda urais na viti vingi vya ubunge, kilichotokea tume ya taifa haikutangaza matokeo kwa miezi miwili baada ya uchaguzi. Hatimaye matokeo yalipotangazwa tume ikamtangaza Morgan Tsavangirai...
  14. JamiiForums Tanzania Eneo Linauzwa Njia ya Goba Kwa Robert

    Eneo hili lipo njia ya koba kutokea Mbezi Magufuli ni karibu Zaidi pia kutokea mjini Kwa njia ya goba ni Sawa pia. Mita 100 kutoka usawa wa eneo hadi barabara kuu ya Goba. Location kituo cha daladala kinaitwa Kwa Robert. Eneo Lina nyumba ambayo anaishi muuzaji wa eneo. Ukubwa wa eneo ni sqm...
  15. JamiiForums Tanzania Hitimisho: Watanzania mmejionea wenyewe, hawa ndo CCM, Kamwe msitegemee watatoka madarakani kwa njia za Kawaida au kubadilika

    Kama mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani jana bungeni haujawafungua akili Watanzania kuielewa CCM ni kina nani? Basi hakuna siku Watanzania watakuja kupata akili na kuielewa CCM hadi mwisho wa Dunia. Kama Majadiliano ya jana Bungeni hayajawafungua akili Watanzania kujua CCM...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa: Adui wa Taifa Karne ya 21 siyo lazima aje na Vifaru, huja kwa njia za Kuvuruga Amani kwa Magenge ya Wanaharakati

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kushikamana na kulinda nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje, akisisitiza kuwa adui wa Taifa katika karne ya 21 si lazima atumie vifaru bali anaweza kutumia njia nyingine zenye madhara makubwa kwa jamii. Akizungumza...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna tetesi kuwa CCM na magenge yao yanatafuta njia kuzibiti habari na video za gwajima na wengine wasisambaze.

    Wametafuta mpaka ma IT wao uchwara wajaribu ku hack account ya gwaji boy youtube na lengine wamekataza chombo chochote kisitoe habari za yaliyo ongelewa. Usijeshangaa hapa JF mkafutiwa nyuzi zenu ambazo zinahusu habari ya gwaji kuweka wazi na zikabaki za kumziaki.
  18. JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki

    Nitoe wito kwa Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki. Lazima tuwe waasi dhidi ya uovu, wizi na ufisadi ili tusonge mbele msifumbie macho suala hili kwa mchango wenu mnaweza kulisaidia...
  19. JamiiForums Tanzania Zijue njia za kutakatisha Fedha zinazofanywa na Viongozi wa Umma na Serikali ( Wahalifu wa Kisiasa)

    1. Anaweka cha juu kwenye Kandarasi ya Mradi fulani au Ununuzi wa Vifaa. Akilipwa hicho cha juu anaenda haraka kununua mali mfano Shamba au Kiwanja au nyumba au hata hisa/ bond kwenye kampuni/ shirika fulani. Kwenye hili pia anaweza kufungua akaunti kwenye bank nje ya nchi na kuweka fedha hizo...
  20. JamiiForums Tanzania TET imekosa ubunifu au ni njia ya utakatishaji wa pesa za serikali

    Mimi naweza kuonekana mkorofi ila mwisho naweza kusema hakuna anayejali elimu ya Tanzania zaidi ya mislaid binafsi. Kumekuwa na semina ambazo hazileti matokeo chanya kwa sababu zinafikia watu wachache huku posho ikiwa njia ya ufujaji wa pesa bila lengo kufikia walimu wote. Natoa rai mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…