njia rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
  2. Brayan_Jk

    Kuku Wako Wanakula Mayai na kudonoana? Hii Njia Rahisi Inazuia Hasara Kubwa (De-beaking)

    De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers) De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku. Kwa nini hufanywa? ✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja na kula mayai. ✔ Kupunguza kudonoana (cannibalism) - kuku hushambulia wenzao wakipata msongamano...
  3. DR HAYA LAND

    Njia rahisi ya kumjua mtu mwenye IQ ndogo katika uwanja wa siasa ni pale anapopost Clip za polepole kipindi akiwa mwenezi wa CCM

    Wataalamu wa mambo na wenye weledi huwa wanazingatia wakati uliopo wa MTU na mahitaji yake na ya waliomzunguka . Katika Mabadiliko ya binadamu yanautegemea wakati ulipo na ujao na kuutumia wakati uliopita Kama uzoefu na kujifunza . Nimeona watu badala wachambue hoja za polepole na sehemu...
  4. Samia atosha tukutane2030

    Njia rahisi ya kutoka kwenye utumwa na laana. Simplest

    Utumwa ni kuwa chini ya mtu au kitu fulani kwa 100% . Sasa utumwa wa kiroho mara nyingi hubase kwenye jambo moja mahsusi. Mtumwa wa kiroho anaweza kujua kuwa yuko kwenye kifungo au akahisi tu kuwa ana kifungo lakini asijue wapi hasa kagungwa . Dalili za mtu aliyefungwa kiroho; 1. Kufanya kazi...
  5. Hustler_

    Jinsi Nilivyogundua Njia Rahisi ya Kuongeza Followers na Traffic kwenye mitandao ya kijamii

    Ndugu zangu wa Jamii Forums, Nimekuwa nikisoma mengi humu, na leo nimeona ni vizuri nami nichangie kitu ambacho kimenisaidia sana — na naamini pia kinaweza kuwasaidia mkiamua kuchukua hatua. Nilikuwa napambana kupata followers Instagram, Twitter, YouTube subscribers, lakini ilikuwa ngumu —...
  6. kavulata

    Namna bora ya kujenga uzalendo kwa njia rahisi.

    Mbwa anafundishwa akiwa mdogo, samaki anakunywa angali mbichi na udongo unapatwa ukiwa na umajimaji. Uzalendo hauna mbadala kwenye kila taifa. Kama kwenye gari uzalendo ni kama usukari(stearing). Hata mtoto mdongo anaijua usukani ndio unaoelekeza gari liielekee wapi, Hata bila gari mtoto...
  7. K

    Njia rahisi ya kuthaminiwa na kupata cheo ndani ya cha cha CCM serikali

    Kama wewe uko ndani ya CCM na unategemea kupata vyeo au kuwa mkubwa huko mbeleni eti kwa kuwasifia Viongozi wako na kuwatukana Viongozi wa upinzani,basi sahau,maana utakuwa kama Lucas Mwamshamba, Njia rahisi wewe nenda upinzani,hasa Chama Cha Chadema,vumilia kule hata miaka mitano halafu anzisha...
  8. Setfree

    Manabii wa "Mchongo" - Njia rahisi ya kuwatambua na kujiepusha nao

    Nyakati hizi kuna watu wengi wanaoitwa manabii. Nabii ni mtu anayepokea ufunuo au maono kutoka kwa Mungu na kuyatangaza kwa watu. Kwa maneno mengine Nabii ni mtu anayeongea kwa niaba ya Mungu. Je, kila anayejiita Nabii ni nabii wa kweli? Biblia inatufundisha kwamba siku za mwisho, manabii wengi...
  9. R

    Nimeunda File Server kwa Shilingi Laki 2, Njia Rahisi ya Kuhifadhi na Kuhamisha Mafaili

    1. Nimepata hard disk 6 TB kwa shilingi 150,000 used (used ila disc health safi ) 2. Nimenunua cpu used kwa elfu 50 ikiwa na hard disk ya GB 80 (Hp Optiplex SFF) Kwanini ninunua cpu wakati ningeweza kununua waya wa usb wa hard disk ? Hard disk iliyounganishwa ndani kwa cable zake maalum za...
  10. T

    Mwenzetu kagundua njia rahisi ya kuwatofautisha Pacha wake

  11. G

    Njia rahisi ya kumtambua mwanamke mwenye UTI wakati wa kufanya tendo la ndoa.

    Wakuu habari. Leo nawelatea njia ya kutufanya tusiwe watumiaji wa AZUMA. Kabla ya kufanya mapenzi mkiwa kwenye maandaandalizi pitisha kidole kwenye uke then kinuse. Ukikuta kinatoa harufu kali hio manzi usipige au tumia kondom. Binafsi natumia hii njia Sasa hivi nimesahau habari za UTI...
  12. haszu

    Nimeijua siri na njia rahisi ya kua na hela hapa Tanzania

    Nimekua nikiwaza sana hali ya kiuchumi, sasa nimeijua siri ya kuapata hela kirahisi kwa mazingira ya TZ 1. Kufanya biashara/kazi na serikali, ujenzi wa majengo, kusambaza vifaa, vyakula nk. Malipo yao ni kufuru sana ila uwe tayari kula na wenye mamlaka 2. Kua na mamlaka serikalini, unaweza...
  13. Mama Ametufikia

    Msiache kuiomba mizimu yenu, ndio njia rahisi ya kufanikisha mambo

    Msiache kuomba mizimu. Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana. Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana. Dini za magharibi ziliundwa kwa ajili yao ndo maana wao wanatukuza mizimu yao. Sasa wewe unamuacha Babu yako unaenda kumuomba Maria...
  14. fakhbros

    Njia rahisi za kuyapima mahusiano yako

    Kila mtu anataka kuwa katika upendo, lakini si kila mtu yuko tayari kujitolea kweli. Hapa kuna njia rahisi za kujaribu ikiwa ni upendo wa kweli: Mtihani wa Ukweli: Mapenzi ya kweli ni ya uaminifu. Ikiwa unaficha mambo kutoka kwa mpenzi wako, inaonyesha kuwa huna upendo wa dhati. Kuwa...
  15. T

    Njia rahisi ya kuangalia AzamTV Max kwenye Android/Google TV

    Hii ni kwa ajili ya TV na device zinazotumia Android/GoogleTV tu hii haisupport app ya Azam bila shida nyingi za sideloading. Mfano ni Chromecast, Mi TV stick/box, baadhi ya TV za Sony, Hisense, TCL, Nvidia Shield etc. Hii haihusu TV za Samsung (Tizen), AppleTV, LG (WebOS), VIDAA OS, na TV Box...
  16. T

    Njia rahisi ya kupata nafasi (cheo) ndani ya CCM au Serikalini kupitia siasa.

    Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
  17. TODAYS

    Kutoka Uganda: Nadhani hii ndiyo njia rahisi ya kufikisha ujumbe kwa walioshika mpini

    Nimesoma mahali wananchi waishio kule Gom's maeneo ya Kivule, Chuo cha Biblia, Air wing, relini kuendelea huko mbele. Lakini hata wale wanaotoka Mbeya au Mwanza kupitia ile njia ya Chunya hata kwingine huko ulipo, hii hapa tumia kufikisha ujumbe. Mkipanda mimea mtavuna chakula. ... au...
  18. Manjagata

    Nitumie njia gani rahisi kupata Chumba cha Kupanga Dar

    Mwenye kujua njia rahisi anielekeze hapo. Je, madalali wa Dar wanasomeka? Maeneo ya Sinza, Mwenge karibu na Kanisa la RC au Magomeni karibu na Kanisa la RC
  19. M

    Njia rahisi ya kutoka ni kuanzisha Kanisa au Chama cha siasa

    Wakuu, Kwa utafiti niliofanya kidogo tu ni kwamba ukitaka kutoka kimaisha kwa njia rahisi na nyepesi nikuanzisha chama cha siasa au kanisa la kuondoa mapepo. Imekuwa ni rahisi sana kukusanya michango kwenye makongamano ya kiroho (fukuza pepo) au makangamano ya kisiasa kama wenzetu wa...
  20. Mto Songwe

    Njia rahisi ya Serikali kutoa elimu ya katiba ni kufanya katiba kuwa "COMPULSORY STUDY/BOOK" level zote za elimu kuanzia primary to University

    Kwa kuzingatia kichwa cha uzi. - Kama kweli serikali ya Tanzania ina nia ya kutoa elimu ya katiba na kufanya Watanzania karibia wote wa nchi hii kuijua katiba yao vizuri. Serikali haina budi kuchukua uamuzi mara moja wa kutoa elimu ya katiba kuanzia ngazi mbalimbali za elimu yetu kwa kuanza...
Back
Top Bottom