Katika miaka ya karibuni, tumeona mwelekeo mpya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo watu wanaonekana kupata nafasi, madaraka, au ulinzi wa kisiasa kwa kupitia uchawa—yaani kumtumikia au kumsifia kiongozi bila kuhoji, hata pale panapohitaji hoja. Je, huu ni mkakati wa kudhibiti mfumo wa...