Wakuu habariii,
Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa naomba msaada kwa wamliokuwa nje ya dar naombeni mnisaidie kuniunganisha na ma binti wale waliokuwa...