nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuzuiwa Lema kutoka nje ya nchi ni dalili viongozi wa Chadema wapo kifungoni.

    Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
  2. JamiiForums Tanzania Kama unataka taa za nje ziwe zina jiwasha zenyewe giza likiingia tumia hiki kifaa haya wale wa smart house hii inakuhusu

    Kifaa kinachowasha taa pindi jua linapozama au giza kuingia kinajulikana kama Photocell Sensor au Light Sensor Switch. 🔹 Jinsi Kinavyofanya Kazi: ✅ Hugundua mwanga wa jua – Kifaa hiki kina sensor inayotambua kiwango cha mwanga wa mazingira. ✅ Huzima taa wakati wa mchana – Ikiwa kuna mwanga wa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vyeo / kazi nje ya siasa lakini maisha yake ni kama peponi Tanzania

    Makamishna wa TRA Wakurugenzi wa miradi ya wafadhili (donor-funded projects) Wakuu wa vyuo vikuu vya umma Maafisa wa ubalozi (diplomats) Wakurugenzi wakuu wa manunuzi (chief procurement officers) Wakuu wa idara ya uhamiaji, polisi, magereza Wakurugenzi wa bodi za mikopo au elimu wafanyakazi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye TATHIMINI ya Kodi za TRA Kwa magari yanayoagizwa Toka nje ya nchi

    Habari Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo maalum la kufanya TATHIMINI Kwa pamoja ktk magari used yanayotoka nje ya nchi katika Kodi za TRA pekee, Bei halisi za magari nitazitoa katika official website ya beforwad na Kisha kufanya evaluation au TATHIMINI Kwa kiswahili Karibuni Asante 8686153806
  5. JamiiForums Tanzania Kabla hamjayafungia hayo makanisa tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie

    Bashungwa Bashungwa Bashungwa Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo. Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole. Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Be forward special thread karibu uagize magari Toka nje ya nchi

    Habari Baada ya kuiona changamoto ambayo watu WENGI huipata wakiwa na uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani hususani kuhusu Bei za magari Kodi zake za tra na gharama zingine, nimeamua kuandaa Uzi huu makusud ili kuweza kusaidia wale wote WENYE...
  7. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hesabu za kimedani zimemtupa nje Gwajima katika ramani ya urais, kuendelea kumjadili ni kupoteza muda

    🕵🏾‍♂️ CONFIDENTIAL DOSSIER | OPERATION: SHADOW VOTE “Politics is war without bloodshed, while war is politics with bloodshed” – Mao Zedong 📍 INTELLIGENCE BRIEFING Kumekuwa na movement ya chini chini inayomweka “The Preacher General” kama the next big thing kwa kiti cha juu kabisa cha nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Njia za kuwezesha kupokea pesa globally nje ya binance na skrill

    Kama inavyojieleza hapo juu, naombeni msaada wa mawazo yenu wakuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi

    Habari Nimeandaa Uzi huu katika jukwaa hili Kwa lengo kuu Moja kutoa msaada na huduma Kwa wale wote ambayo watakuwa wanahitaji kuagiza magari nje ya nchi Mosi watapewa ushauribwa kitaalamu na kuweza kuchukua uamuzi WA busara lkn pia watapewa Elimu ya Kodi ili kujua kipi wafanye kabla ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini type za ama Gwajima muyaache nje. Haki gani hiyo ??

    Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ? Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje. Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti. Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa. Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Mume watoto watatu nje mke mmoja

    Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na mwanae mmoja au Bora aolewe akapambane na WA nne? Uchumi WA jamaa ni WA Kati na yeye mwanae analea...
  12. JamiiForums Tanzania Maslahi ya nje ya mikataba ya kazi yanalipa sana kuliko mshahara

    Nimesikiliza leo Crown Fm na hoja ya wachambuzi kuhusu timu 6 kuandika barua kudai haki kutokana na unyonywaji na marefa. Nimeshangaa sana badala wachambuzi kushikilia msimamo na haki kuokoa soka letu, lakini hoja zilizokua zimejaa ni “mbona mwaka ule Yanga alifanya hivi, Mbona mwaka ule Simba...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume umeshajua we ni mnene kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika?

    Mwanaume umeshajua we ni mnene, bonge, kiriba tumbo na upo irregular. Sasa,kwanini una-watia aibu wanaume wenzio kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini? Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu. Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au...
  14. JamiiForums Tanzania Salamu kwa Wakenya wote waliomo humu na nje.

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/fyatu-mfyatuzi-waki-nyaa-mkome-kutaka-kutovuka-na-kutuvurugia--5059584
  15. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  17. JamiiForums Tanzania Basila Mwanukuzi anafaa kuwa Waziri Mambo ya Nje

    1. Mwanasiasa Mkongwe nchini. Anafaa kuteketeza Sera mpya ya Mambo ya Nje iliyozinduliwa hivi karibuni. 2. Haya yatawezekana tu akimng'oa Archbishop Dr Rashid Josephat Gwajima (PhD) Jimbo la Kawe.
  18. JamiiForums Tanzania Barani Africa: msimu huu makombe yote yatachukuliwa ugenini, mmoja kupigwa nje ndani

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani SAYUNI BOY
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: "na kama wanataka kuchukua nje wachukue lakini kwanza tufaidike ndani ya nchi" Nani kaelewa hii kauli?

  20. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua

    24 May 2025 Mahmoud T. Kombo Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua.. https://m.youtube.com/watch?v=wJscmF_-oEw Waziri Kombo alikuwa akizungumza leo Mei 24, 2025, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…