nje ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika historia: Sherehe za muungano zafanyika Rais akiwa nje ya nchi

    Kwa mara yakwanza katika historia, tarehe 26/04/2022 Tanzania ina adhimisha miaka 58 ya muungano huku mkuu wa nchi akiwa nchini Marekani. Haijawahi kutokea kabla, mama anaandika historia nyingine. Uzi huu hauhusiani na nyuzi nyingine, huu ni uzi wa kumbukumbu ya kihistoria.
  2. JamiiForums Tanzania Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

    Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais. Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau. Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu! Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona. Sasa sijui...
  3. JamiiForums Tanzania Nani ameleta wazo la kununua nguzo za umeme nje ya nchi? Ni January Makamba?

    Naona Wabunge wa CcM hasa wanaotoka maeneo yanayozalisha nguzo za umeme hasa Mkoa wa Iringa wanapiga kelele juu ya hii ishu. Nani kaleta hili dili linalopigiwa kelele ambalo litasabaisha wananchi kutoaka maeneo haya kukosa kipato? ... Nguzo za hapa nchini hazina ubora?
  4. JamiiForums Tanzania Uliwahi kufanya biashara ya Ngozi ya Ng'ombe Nje ya Nchi?

    Nimeleta ombi lengu huku kwenye Jukwaa hili najua huku kuna watu wengi zaidi, hebu kama umewahi kufanya hii biashara au kama una watu unawafahamu wanafanya hii kitu tafadhali naomba details, 1. Upatikanaji 2. Bei 3. Vibali Shukrani
  5. JamiiForums Tanzania Biashara ya ngozi mbichi ya Ng'ombe nje ya nchi

    Habari za kazi, hivi mu akitaka kufanya biashara ya ngozi ya ng'ombe mbichi kwa Tanzania kwenda nje ya nchi inawezakana? Upatikanaji wake na bei zake zikoje? Natanguliza shukrani sana. Naomba kujua taarifa zifuatazo 1. Upatikanaji wa Ngozi mbichi ya Ng'ombe 2. Bei yake kwa ngozi 3. Vibali 4...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ratiba ya Rais ndani ya nchi ni Ratiba ya wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama? Kwanini akiwa nje ya nchi yupo mwenyewe?

    Tunaweza kubadilika nakuokoa fedha na rasilimali wakati pale tutakapokubali kwamba upo umihimu wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Mhe. Rais akiwa popote nchini anakuwa na wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama ambao naamini Kila mmoja anakwenda na timu ya Watu wasiopungua kumi. Watu Hawa...
  7. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kupata nyaraka za TBS ili kutuma mzigo nje ya nchi upoje?

    Nina vitu nataka nitume kwenda mamtoni kwa ndugu yangu mmoja ila sasa nimeshangazwa na story za yule mtu wa posta kuniambia natakiwa niwe na document za TBS kwa baadhi ya vitu. Kwa mtu mzoefu je, huu utaratibu upogo kweli au ndio mtumishi anataka kula kwa urefu wa kamba yake kupitia mimi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Ni bendera zipi wanafunzi wanaosoma nje ya nchi, hutakiwa kuwa nazo?

    Naomba kufahamishwa bendera wanazotakiwa kuwa nazo wanafunzi wanaosoma nje ya nchi? Je, ni zile kubwa za kuwekwa kwenye mlingoti au vile vidogo vya kushika mkononi?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata ufadhili wa masomo nje ya nchi

    Wakuu hivi fursa unafanyaje kuzipata? Una-apply moja kwa moja kwenye chuo husika au kupitia serikalini? Au kwa yeyote mwenye ufahami
  11. L

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa bidhaa za photovoltaic za China nje ya nchi wapanda kwa asilimia 60 mwaka 2021

    China imeshuhudia uuzaji mwingi wa bidhaa zake za photovoltaic (PV) nje ya nchi mwaka jana wakati dunia inaongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na TEHAMA, mwaka 2021 uuzaji nje wa bidhaa za PV za China ulipita dola za kimarekani bilioni 28.4...
  12. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

    Hangaya leo karudi toka huko Ulaya alikokuwa. โ€˜Wenyeweโ€™ wamefurahi sana. Wanadai anaupiga mwingi. Sasa hebu tuliangalie tena suala la ulinzi wake, kwa kiasi na kiwango ambacho tunaweza kukijadili kutokana na kile tunachokiona. Akiwa huko nje ya nchi, ulinzi wake huwa ni wa kawaida sana. Hawa...
  13. JamiiForums Tanzania Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

    Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo? ================================ Update: 15/02/2022...
  14. JamiiForums Tanzania Sisi wenye GPA chini ya < 2.8 tunatumia njia gani kupata scholarships za nje ya nchi

    Habarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je nawezaje kupata scholarships niweze kusoma Postgraduate degree (Masters). KARIBUNI KWA MSAADA
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo na Uvuvi wekeni utaratibu rahisi katika kutoa vibali vya kusafilisha vitu nje ya nchi

    Baada ya kurejea nchini, matumaini yangu na nguvu ya kuitumikia Tanzania yalikua makubwa kweli, Nilijaribu tafuta ajira kwa kipindi cha mwaka mmoja bila mafanikio, nikaamua kuanza kujiongeza kwa kutumia uzoefu wangu wa nje hasa katika e-commerce huku nikilenga kushirikiana na wajasiliamali wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuwaunganisha Watanzania na ajira nje ya nchi warejeshwa

    Jamaa nchi inazidi kufunguliwa hukuu. Fursa hiyoo kwa watafutaji. Wale mawakala wa dubei, Qatar n.k na wale watafuta kazi nje ya nchi mambo yamenoga huku. Mimi nataka nikafanye zangu kazi dubei, nimechoka kupambana na wachina na wahindi wa Bongo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Habari Kamili ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ ======== SERIKALI...
  17. JamiiForums Tanzania Mauzo ya Bidhaa nje ya nchi (export)yameshuka kwa dola milioni mia sita sawa na trilioni moja.

    Kulingana na data za world Bank. Ukilinganisha na mwaka 2020 muda kama huu mauzo ya bidhaa nje ya nchi yameshuka kwa dola milioni miasita sawa na trilioni moja za kitanzania. Hii ukiachana na uhalisia kwamba chanjo imepatikana na biashara zimeanza kurejea katika hali yake. Nini chanzo cha...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnapoenda nje ya nchi, huwa mnaweza kutalii na kufanya shopping tu? Kwaninii hamjifunzi haya na kuyaleta nyumbani?

    Tweets hizi za Zitto zimenifanya nikumbuke hilo swali ambalo kila wakati huwa linanijia kichwani hasa ninaposoma au kusikia habari kama hizi. By Zitto kupitia twitter: "Wengi wakisikia UAE na maendeleo yake makubwa wanadhani ni sababu ya Mafuta na Gesi Asilia. Lakini ukitazama Mauzo Nje ya...
  19. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kupima Coronavirus kwa wanaosafiri nje ya Nchi

    Kufuatia ongezeko la visa vipya vya maambukizi, nchi zimeweka taratibu mbalimbali kwa wasafiri kuingia na kutoka ili kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19 "Taratibu hizi ni pamoja na kuweka sharti la kupima COVID-19 ili kupunguza au kuzuia kuingia kwa ugonjwa huu katika nchi hizo"...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ijitafakari, mawazo ya kuuza umeme nje ya nchi wakati hali ni mbaya ndani hayakubaliki

    Thread was deleted
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ