nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mataragio: Tunaimarisha mazingira ya uwekezaji na miundombinu ya nishati ili kufikisha huduma kwa wote

    Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali inaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji na miundombinu ya Sekta ya Nishati nchini ili kuwezesha wananchi kufikiwa na huduma stahiki bila kujali umbali na vipato vyao. Dkt. Mataragio ameyaeleza hayo jijini Dar...
  2. FYATU

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la nishati safi ya kupikia hebu tuache blah blah

    Nikiwasikiliza viongozi wetu ni kama wanalalamika na kutupa lawama kwa Wananchi kwamba hatupendi kutumia gesi dhidi ya kuni na mkaa. Ukweli mbona mnaujua, hakuna Mwananchi atakayehangaika na kuni au mkaa kama gesi itapatikana kwa urahisi. Muda na nguvu inayotumika kuhubiri nishati safi iende...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Mwanaidi Khamis: Tuondokane na matumizi ya nishati isiyo safi kulinda afya zetu

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya nishati zisizo safi ili kulinda afya zao. Khamis ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akihamasisha wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi na kuanza...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Mwijage: Wananchi Bukombe tumieni Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya na kutunza mazingira

    Wananchi kote Nchini wametakiwa kuendelea kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya zao sambamba na kutunza mazingira. Wito huo umetolewa Oktoba 10, 2024 Wilayani Bukombe Mkoani Geita na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aipongeza DAWASA kuchagiza matumizi ya nishati safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaaam (DAWASA) kwa kuchagiza agenda ya matumizi ya Nishati safi ya kupikia kupitia utekelezaji wa Mradi wa uchakataji topetaka (Fecal Sludge Treatment Plant)...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania TBC; walimu Arusha hawatumii nishati chafu bali ni kumuunga mkono Rais Samia. Mtutake radhi.

  8. Logikos

    JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia (PPP tunayohitaji Kuingia)

    Private Public Partnership inafaa pale tu ambapo kuna mtu binafsi ana kitu ambacho serikali haiwezi kufanya, au anaweza kukifanya kwa ubora; Win Win Situation. Sasa katika Suala la Nishati Safi ya Kupikia kuna majiko ya kisasa ya Induction Cooker ambayo yana ufanisi wa percent 90; Yana Ufanisi...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kisa nishati safi, Tulia Ackson aweka Uspika pembeni. Aingia jikoni kupika

    Huko mitandaoni, Mbunge wa Mbeya Mjini, kuna video inamuonesha Tulia Acskon akiwa jikoni anapika ambapo alikuwa anatumia nishati safi aina ya mtungi wa gesi. Tulia anaonekana akiwa kwenye nyumba chakavu anapika huku akiwa anasiia namna ambavyo nishati safi inarahisisha shughuli yake ya kupika...
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia (Ushauri kwa Watunga Sera)

    Kama Mwananchi nimeamua kufanya my Civic Duty..., Tumepata bahati sana wakati huu Dunia nzima imejikita kwenye Nishati Safi, hivyo kuna Pesa za Kumwaga ambazo either tutazitumia vizuri na kuwanufaisha wananchi na vizazi vijavyo kwa kujenga / kuanzisha kitu ambacho kitatusaidia milele na milele...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Gwau Ahimiza Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Wilaya ya Mkalama, Singida

    MBUNGE MARTHA GWAU AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WILAYA YA MKALAMA, SINGIDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Marha Nehemia Gwau amefanya ziara Wilaya ya Mkalama na kupokelewa kwa shangwe na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wa Wilaya ya Mkalama Mhe...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia

    Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia.
  13. HYDROVENTURE

    JamiiForums Tanzania Kwa shughuli za kiufundi karibu Hydroventure Technical Services tunapatikana mkoani Mwanza

  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Dodoma Jiji Wagawiwa Majiko ya Gesi 1,000 Kuunga Mkono Nishati Safi

    WANANCHI DODOMA JIJI WAGAWIWA MAJIKO YA GESI 1000 KUUNGA MKONO NISHATI SAFI -RC Senyamule ampongeza Mbunge Mavunde kwa ufadhili wa majiko -Vituo vya Afya,Shule,Vituo vya kulea watoto na Mama/Baba Lishe wanufaika -Mbunge Mavunde amuunga mkono Rais Samia kwenye kampeni ya Nishati safi Dodoma📍...
  15. Logikos

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kufanikisha Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) Jumla Kuu 4,554,015,000,000

    Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
  16. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Nishati: Mafuta yashuka Bei bandari za Dar, Tanga na Mtwara

    Bei ya Bidhaa za Mafuta imepungua kwa Mwezi Septemba 2024 ambapo Bei ya Petroli imepungua kwa Tsh. 91, Tanga kwa Tsh. 88 na Mtwara imepungua Tsh. 162 kwa kila Lita Dar Petroli itauzwa kwa Tsh. 3,140, Dizeli Tsh. 3,011 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,121. Tanga Petroli Tsh. 3,141, Dizeli Tsh. 3,020...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga: Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa (International Energy Companies - IEC’s) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi asilia kuwa Kimiminika – LNG na yakikamilika Serikali itaupeleka kwenye...
  18. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ITUPIE JICHO WIZARA TATU:-KILIMO, MADINI NA NISHATI ROSTAM AZIZ YUMO.

    Umakini unahitajika wizara Tatu, upigaji wa Rostam Aziz na kutumia picha alizopiga na Rais kutisha wawekezaji wazawa. (1). Wizara ya Kilimo, wizara hii sitashangaa na sikushangaa sakata la sukari na makarate ya kugawa vibali vya kuagiza Sukari na kampuni za simu, stationery nk Waziri wa kilimo...
  20. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Dkt. Doto 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika Kizimkazi-Zanzibar

    DKT. BITEKO ASHIRIKI KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ZANZIBAR Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar. Kabla ya kushiriki Kongamano hilo, Dkt.Biteko...
Back
Top Bottom