nina swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    Mchengerwa anamjibu Mamba Dudubaya kuhusu mashine ya MRI

    https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi Naona Dudubaya kachangiwa
  2. O

    Ni kampuni zipi naweza KUWA reseller na Zenye unafuu vile vile Nina swali Kwa kampuni ya ICT, uendeshajibwake ukoje

    Ndio wadau kampuni ya ICT works inaendeshwa vipi na upatikanaji WA tende ni vitu gani muhimu hasa KWENYE kuoperatr. Kwa Sasa tunafanya heavy printing but tunataka kujua upande huo pia
  3. Brayan_Jk

    Nina swali kwa Wafugaji wa Kuku

    Wakuu, Habari za Leo, Wafugaji wa Kuku naomba kuuliza , mnajuaje huyu Kuku inabidi mumuuze kwa bei flani (mfano 7,000)? Kwa kutumia Fuga App itakusaidia kujua kila shilingi inapokwenda na kukupa uhakika wa kufanya maamuzi sahihi Pakua Fuga App Playstore Leo,Uongezee faida yako na kupunguza...
  4. Bueno

    Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

    Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?. Naomba hili swali nijibiwe na...
  5. W

    Nina swali kwenu wadau

    Habari za mda huu wadau Hivi mwanamke anaweza kusoma chuo miaka mitatu vijana wa hovyo wasipite nae hili ni swali kutoka kwa mtu wangu wa karibu mwisho wa kunukuu
  6. Nomadiq

    Kuna ukweli wowote wa haya mambo kuhusu radi?

    Kwema wakuu. 1. WAPO WATU wanaodai radi ni jogoo, na mtabishana sana ukipinga kwamba sio jogoo. Wanadai mvua ikinyesha jogoo yuko nje, kuna uwezekano mkubwa wa radi kupiga eneo hilo. Je ni kweli radi ni jogoo? 2. Ukivaa nguo nyekundu kuna uwezekano mkubwa wa kupigwa radi. Kuna ukweli katika...
Back
Top Bottom