Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia.
Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki.
Ukizingatia mbegu, upandaji,
Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri?
Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution
fanya hivi
1. Kama bebe 😍 wako anapenda kukagua simu na ww huwezi kuwa na mtu mmoja ushazoea kutangatanga
2. Piga hii code *33*0000# hii code inaitwa code ya call bairing ukipiga hiyo itazuia message na calls zozote kuingia kweny lain yako...
Wanaume ambao ni malaya wanaosumbua wanawake zao ni wanavibamia .
1. Huwapiga wake zao
2. Huwa wanavurugu sana
3. Huwa wanajiona wanajua
4. Wanawake wengi mno kila mtu yeye .
5. Huwa hawana amani hawajiamini na hawajipendi yaani afya zao haziridhishi.
WAnaoa sana kama ni waislam .
Jipya hakuna
Dar nilipaona pazuri sana.
Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.
Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.
Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.
Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota...
Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..
sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
Hiki Kiswahili cha BM3 🫰🏽
Mchezaji nyota Bernard Morrison kwenye mahojiano na Azam TV asema amekuja Bongo kujitafuta sio kupata hela, kwani ametoka kupona majeraha sio rahisi kurudi moja kwa moja kwenye timu zenye presha (kubwa) – Muhimu ni kuipambania KenGold kuibakisha Ligi Kuu ya NBC.
Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Mpembenwe ameongozana na Diwani wa Kata ya Kibiti, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kibiti na Sekretarieti ya CCM kufanya mkutano na kutatua changamoto za Wananchi wa Kata ya Kibiti.
"Nilifanya Ziara ya Kusikiliza Kero na Changamoto za Wananchi...
Wakati tunaanza chuo mwaka 2002 the guy alikuwa smart mpaka tunamaliza 2005. Nlikuwa naona ni moja ya watu ambao watakuja kufanya makubwa sana nchini.
Nimekuja kutana naye mwaka jana...kwanza nlishtuka. Amevaa tshirt ya chama na kofia. Nikamuuliza xxxx ni wewe au naota. Akaniambia ni mimi xxxx...
Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada.
Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
Habari zenu gentlemen & ladies, ikiwa unafurahia kupokea wageni wapya hapa jamiiforums basi naomba unikaribishe kwa kunipa like na nasaha zako, nimekuja kuongeza maarifa hapa.
Wadau mambo ni gani aseee?
Nimehitimu chuo mwaka 2020, BSC education chemistry and biology from SUA.
Historia ya safari yangu katika elimu from primary mpka chuo ipo hivi...
Kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, usifikirie kwamba nimekuja kujigamba au kujionesha hapana nasema ukweli ili...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea
Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu...
Kama kichwa kinavyojieleza.
Nimetoka kote arusha ili nije kula iddi dar .
Ila tanesco wamezingua luku hazinunuliki kabisa,kwanini siku ya sikuku ndo mnafanyia watu hivi??
Ngoja nikapige bia zangu kitambaa cheupe,kama kuna mtu anataka bia za bure anakaribishwa..
Muwe 50 hata 100 mnakunywq mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.