nifanye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niwe tajiri number 1 duniani?

    Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Habarini wakuu Katika Harakati za hapa na pale nimepata milion 3 nifanye biashara gani?ili niweze kupata Kwa siku faida ata 30k.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji 70m biashara yangu ya duka la vyakula imeshuka sana nifanye biashara ipi

    Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
  4. JamiiForums Tanzania Nina million 1 nifanye mishe Gani mpaka mwezi wa 6 iwe imefik1 5m wakuu naombeni mnisaidie wazo

    Naombeni mnisaidie wazo la biashara yeyote Nina million 1 nataka mpaka mwezi wa 6 iwe imefika 5m ndio Lengo langu Kuna kitu nataka nifanyie
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Bakery mzuri nifanye naye kazi.

    hello ladies and Gentlemen. nahitaji bakery mzuri wa kuniuzia mikate na andazi, nipo mikoa ya kusini, hivyo preferable awe maeneo ya mbagala ili kurahisisha usafirishaji. tuwasiliane inbox.
  6. JamiiForums Tanzania Mtaji wa laki Tano nifanye Biashara gani

    Salam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini. Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni maskini yaani familia nzima naweza kusema kama umaskini ni baraka basi tumebarikiwa na kama ni laana...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mdada nafanya naye kazi ofisi moja, nampenda lakini naogopa kumwambia — nifanye nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa. Kwa mwanzo...
  8. JamiiForums Tanzania Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

    Habari wana Jamii forums Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz...
  9. JamiiForums Tanzania Manara: Watoto wazuri wanazaliwa kila siku, Nitaoa ila lazima nifanye upembuzi yakinifu,

    Wakuu naona Manara hajakatia tamaa bado suala la ndoa, amedai watoto wazuri wanazaliwa kila siku anaachaje kuoa kwa mfano
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

    Habari? Niende moja kwa moja kwenye point... Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk... Kwa upande wa location nipo...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu nifanye hatua zipi kufikisha magoli matano?

    Au najidanganya tu wakuu tu wakuu.
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini katika hili?

    Kwema wakuu, naombeni ushauri ili nipite kwa amani. Mimi ni kijana wa miaka 25, nina familia na mtoto mmoja. Mwaka huu mwezi wa 6 nilirudi, mzazi mwenzangu akaomba aende kwao, nikakubali. Nilipokuwa nyumbani nikaanza kutembelea marafiki. Rafiki yangu mmoja ambaye tunafanya kazi pamoja tukaamua...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Million 8 nifanye biashara ya nafaka kwa njia ipi? Njia ninayowaza ni hii

    Wakuu, nipo Kigoma town, changamoto iliyopo hapa ni purchasing power ni ndogo, watu ni wachache kwahiyo mzunguko sio mzuri sana, Mimi ni mtumishi wa umma. Idea nilikua nayo kama 3. 1.phone accecories Huku charge wanauza 8000, protector 5000, n.k bei zipo juu kweli kweli, niliwaza kufanya hii...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini niepuke kivuli cha ex husband asiyekubali kuachana?

    Salaam WanaJF, Miaka ya nyuma niliwahi kuleta hapa tatizo kubwa lililokuwa linanikabili. Kwanza kabisa, naomba niwapongeze sana — mliniinua. Nilikuwa nimekata tamaa ya kuishi, nilihisi sina tena thamani. Lakini kupitia uzi mmoja tu nilioweka hapa, maisha yangu yalibadilika kabisa. Niliweza...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Nina million Moja. Nifanye biashara ghani

    Nina fedha taslim million Moja. Nifanye biashara ghani
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kupata access ya mtandao wa X?

    Tangu mtandao wa X kufungiwa, imekuwa ni shida sana kupata habari za muhimu kutoka Duniani. Msaada kwa anayejua namna ya kupata access ya mtandao huo kwa sasa. Ahsante.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nimesajili Trademark Imekataliwa Nifanye Nini?

    Sio mara zote unaposajili trademark utakubaliwa, Kuna circumstances zinaweza Fanya msajili wa Alama za biashara kukataa usajili wako. Lakini hizi hapa ni remedies au mambo ya kufanya tuseme ikiwa trademark yako itakataliwa. 1. Kuomba Review/Appeal Ikiwa unaamini sababu zilizofanya usajili wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

    Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
  19. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Ahsanteni
  20. JamiiForums Tanzania Nifanye nini biashara yangu ikue?

    Nimejiuliza sana juu ya kulinda na kukuza mtaji lakin siona mwanga mbele yangu tafadhali naombeni mnisaidie.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…