nifanye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mtaji 70m biashara yangu ya duka la vyakula imeshuka sana nifanye biashara ipi

    Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
  2. Scared

    Nina million 1 nifanye mishe Gani mpaka mwezi wa 6 iwe imefik1 5m wakuu naombeni mnisaidie wazo

    Naombeni mnisaidie wazo la biashara yeyote Nina million 1 nataka mpaka mwezi wa 6 iwe imefika 5m ndio Lengo langu Kuna kitu nataka nifanyie
  3. Ethan3

    Natafuta Bakery mzuri nifanye naye kazi.

    hello ladies and Gentlemen. nahitaji bakery mzuri wa kuniuzia mikate na andazi, nipo mikoa ya kusini, hivyo preferable awe maeneo ya mbagala ili kurahisisha usafirishaji. tuwasiliane inbox.
  4. Godoro la kioo

    Mtaji wa laki Tano nifanye Biashara gani

    Salam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini. Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni maskini yaani familia nzima naweza kusema kama umaskini ni baraka basi tumebarikiwa na kama ni laana...
  5. ChekoFagia

    Kuna mdada nafanya naye kazi ofisi moja, nampenda lakini naogopa kumwambia — nifanye nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa. Kwa mwanzo...
  6. Ethan3

    Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

    Habari wana Jamii forums Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz...
  7. tonicimmobility

    Manara: Watoto wazuri wanazaliwa kila siku, Nitaoa ila lazima nifanye upembuzi yakinifu,

    Wakuu naona Manara hajakatia tamaa bado suala la ndoa, amedai watoto wazuri wanazaliwa kila siku anaachaje kuoa kwa mfano
  8. ivanmark714

    Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

    Habari? Niende moja kwa moja kwenye point... Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk... Kwa upande wa location nipo...
  9. Stability

    Wakuu nifanye hatua zipi kufikisha magoli matano?

    Au najidanganya tu wakuu tu wakuu.
  10. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Kwema wakuu, naombeni ushauri ili nipite kwa amani. Mimi ni kijana wa miaka 25, nina familia na mtoto mmoja. Mwaka huu mwezi wa 6 nilirudi, mzazi mwenzangu akaomba aende kwao, nikakubali. Nilipokuwa nyumbani nikaanza kutembelea marafiki. Rafiki yangu mmoja ambaye tunafanya kazi pamoja tukaamua...
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwa Million 8 nifanye biashara ya nafaka kwa njia ipi? Njia ninayowaza ni hii

    Wakuu, nipo Kigoma town, changamoto iliyopo hapa ni purchasing power ni ndogo, watu ni wachache kwahiyo mzunguko sio mzuri sana, Mimi ni mtumishi wa umma. Idea nilikua nayo kama 3. 1.phone accecories Huku charge wanauza 8000, protector 5000, n.k bei zipo juu kweli kweli, niliwaza kufanya hii...
  12. Lagertha

    Nifanye nini niepuke kivuli cha ex husband asiyekubali kuachana?

    Salaam WanaJF, Miaka ya nyuma niliwahi kuleta hapa tatizo kubwa lililokuwa linanikabili. Kwanza kabisa, naomba niwapongeze sana — mliniinua. Nilikuwa nimekata tamaa ya kuishi, nilihisi sina tena thamani. Lakini kupitia uzi mmoja tu nilioweka hapa, maisha yangu yalibadilika kabisa. Niliweza...
  13. Z

    Nina million Moja. Nifanye biashara ghani

    Nina fedha taslim million Moja. Nifanye biashara ghani
  14. M

    Nifanye nini kupata access ya mtandao wa X?

    Tangu mtandao wa X kufungiwa, imekuwa ni shida sana kupata habari za muhimu kutoka Duniani. Msaada kwa anayejua namna ya kupata access ya mtandao huo kwa sasa. Ahsante.
  15. L

    Nimesajili Trademark Imekataliwa Nifanye Nini?

    Sio mara zote unaposajili trademark utakubaliwa, Kuna circumstances zinaweza Fanya msajili wa Alama za biashara kukataa usajili wako. Lakini hizi hapa ni remedies au mambo ya kufanya tuseme ikiwa trademark yako itakataliwa. 1. Kuomba Review/Appeal Ikiwa unaamini sababu zilizofanya usajili wa...
  16. M

    Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

    Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
  17. N

    Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Ahsanteni
  18. JAJ FASHIONS

    Nifanye nini biashara yangu ikue?

    Nimejiuliza sana juu ya kulinda na kukuza mtaji lakin siona mwanga mbele yangu tafadhali naombeni mnisaidie.
  19. P

    Msaada wa Kitaalamu

    Habari! DVD yangu moja imegoma kusoma/haisomi. Nifanye nini kuisoma tena?
  20. Sheffer95

    Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

    Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka. Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa. Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha watatu ya "kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa wewe unakonda". Wife...
Back
Top Bottom