Nimejiandikisha nida toka 2022 kama sikosei, nilipata Namba ndani ya mwezi ila sasa hivi ni miaka mitatu sina kitambulisho
Ukiangalia online unakuta kipo kimeshachapwa tayari, walipeleka serikali za mitaa (Moya ya uamuzi wa hovyo zaidi) sababu nilienda mara ya kwanza wakasema sio vyote...