nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. F

    Kuhusu kampeni ya nishati safi kwa wote na anayosema Polepole kuhusu vitmbulisho vya NIDA

    Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi. Watu wanahoji yafuatayo: 1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa? 2. Kwanini...
  2. CCM imetoa wapi mamlaka ya Kutumia taarifa zetu za NIDA kutengeneza vitambulisho vya chama? Je CHADEMA wanaweza pewa hii access!?

    Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!? Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho...
  3. Kwanini Taifa stars haiunganishwi kwenye mfumo wa NIDA ili ishinde Kwa Chama chetu

    Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu mfumo ili iwe inaingia uwanjani kucheza ikiwa inaongoza goli 3, na ili iende kuongeza magoli
  4. A

    DOKEZO Namba za NIDA na Taifa Gas (Kampuni ya Rostam)

    Kutokana na tuhuma alizotoa polepole jana, zimenirudisha nyuma kidogo kiasi cha wiki mbili hivi. Hawa wasambaza gas za Taifa Gas mitungi midogo ambayo wanatoa kwa bei ya offer ghafla saba wanapokupa unaacha namba ya NIDA. Sijajua lengo la NIDA number ni nini na kuna mahusiano katika ya Gas na...
  5. GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

    Kauli ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kwamba mifumo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeunganishwa na ile ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imewaibua wakuu wa taasisi hizo na kukanusha madai hayo. Wakuu hao...
  6. Kulikua na haja gani ya kuiita INEC wakati inaitegemea NIDA?

    Katiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso kurekebisha katiba. Kumbe Tume huru ya uchaguzi inavyonza mtambo wa NIDA ili kuwadanganya...
  7. J

    Ili tukubali uongo wa Polepole, CCM, INEC, NIDA jitokezeni hadharani

    Rungu la Polepole limerushwa na kuangukia CCM, NIDA na INEC. Kwamba watatu hawa ndio wapindishaji wa haki na maamuzi ya watanzania kwa viongozi wanaowataka kupitia sanduku la kura. Baada ya madai haya ya Polepole, mapema tu ukaanza mtifuano na majibizano humu. Wapo wanaopinga hoja za Polepole...
  8. Hoja ya msingi ni mgongano wa kimaslahi. NIDA ni moja tu ya mbinu kadhaa zilizopo

    Miaka nenda rudi nimekuwa nikisema kuwa hakuna maana yoyote ile kushiriki katika chaguzi nchi hii. Hiyo ni kwa sababu chaguzi zote zimekuwa ni maigizo tu. Nimekuwa nikisema kwamba, kushiriki uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ya uchaguzi ambayo imeundwa na mwenyekiti wa CCM...
  9. K

    Kura zinaibiwa vipi kupitia NIDA?

    Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge...
  10. Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

    Mwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo. Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya. Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA. Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS. Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike...
  11. N

    Mwaka jana mkoa wa mtwara masasi NIDA zilikusanywa majumbani

    Habari wakuu! Mwaka jana mwezi wa 8 kuna watu walikuwa wakipita kila nyumba kuchukua namba za NIDA , alichokisema polepole ni ukweli mtupu! Wanaccm wezangu ni muda sasa tumuunge mkono Tundu lissu mzalendo wa kweli! Hawa ccm wametutumia sana! Kuanzia sasa nipo kwenye NRE! NIMEUJUA UKWELI
  12. Bila kadi na namba ya NIDA huwezi kuuza wala kununua katika serikali ya CCM

    Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake. Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
  13. Kwa haya ya Kuunganishwakwa taarifa za NIDA Tume ya uchaguzi na CCM

    Ni ukweli kabisa usio pingika hata kwa 0.00000000000000001% hauwezi kukataa alichokisema polepole Kwa wale walio sajiliwa katika mfumo wa Kidigital wa MAFISIEMU. Ni kweli utakuta taarifa zako za NIDA mfano picha yako uliyo sajiliwa NIDA ndiyo ile ile itaenda kuwa profile picture yako ya CCM...
  14. K

    Kama ni kweli Wizi wa kura kupitia NIDA na NEC ulifanyika basi sio wanamtandao

    Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha...
  15. GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
  16. Kwenye vituo vya kupigia kura Kuna mawakala wa vyama vya siasa vyote kura zinahesabiwa kwa uwazi Je! Hizo NIDA zinatoka wapi? hojini Kama wasomi basi

    Niwashauri tu nyie watu ambao mmekesha mnamsikiliza polepole, hebu muwe hata mnajihoji wenyewe mtapata kitu badala ya kupelekeshwa na upotoshaji wa polepole, sasa NIDA inahusikaje wakati vituoni Kuna mawakala wa vyama vyote? Lengo la polepole ni kupotosha umma kwasabu anajua Hana chakuongea...
  17. Tanzania hatupigi kura kidigitali kwamba mtu akiwa na NIDA tayari kapiga kura, tunapiga kura kwenye boksi zinahesabiwa mbele ya mawakala

    Watanzania tuache kutapeliwa kirahisi rahisi. Yaani mtu anadanganya eti NIDA sijui inasaidia kuiba kura. Uongo mkubwa. Kura zinapigwa manually(kwenye kituo) zinahesabiwa hapohapo, na matokeo yanajulikana. Sasa NIDA inakujaje? Kura za udiwani huko Nkasi zinapigwa mbele ya mawakala, zinahesabiwa...
  18. Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

    Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi. Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO. NIDA mmetukosea sana Watanzania...
  19. GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda...
  20. Kuna siku nimeenda NIDA nilishangaa kuona hawa jamaa wapo na mabadiliko makubwa ya kihuduma .

    Hivi karibu nilihitaji huduma ya kuweka majina ya mdogo wangu vizuri. Mtiririko uliopo ni very advanced Sana mpaka nikasema Kongole.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…