nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. Faida ya kuwa Mtanzania ni ipi basi iwapo raia wataanza kuuziwa NIDA na Kitambulisho cha Kura?

    Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena. Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo. Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake...
  2. Msaada wakuu, kuna mtu anaweza kuniangalizia namba ya NIDA?

    Habari zenu, nimekwama nahitaji kuangalia namba ya NIDA ya binti yangu, ila nikiingia kwenye wrbsite ya NIDA naingiza taarifa vzur inagoma! Mwenye uwezo wa kunisaidia wakuu🙏
  3. Kusubiri marekebisho ya Taarifa za NIDA kwa zaidi ya miezi mitatu ni uzembe wa Mamlaka

    Watanzania tunaofanya marekebisho ya Taarifa za Kitambulisho cha NIDA kuna mlolongo mrefu na gharama kubwa lakini bado pia taarifa hazirekebishwi kwa zaidi ya miezi mitatu. Wengi tunafahamu kuwa kuwa na kitambisho cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ni jambo muhimu na linarahisisha...
  4. Msaada: Njia ya kufungua account ya forex bila ya kitambulisho cha mpiga kura

    Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw. Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu mnisaidie experience zenu katika biashara hii.
  5. Ugawaji wa Vitambulisho 35,000 vya NIDA - Ngara

    Ngara Octoba 31, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ngara,Mhe.Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuwatangazia Wananchi wote wenye namba za NIDA kuwa, Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imezalisha na kufikisha Ngara Vitambulisho 35,000 vya Uraia kwa Wananchi wa Jimbo la...
  6. Serikali wapeni nguvu Usalama wa Taifa wazuie uovu NIDA na wimbi la wahamiaji haramu

    Nchi hii hasa serikali na mamlaka zake Mungu anawaona, naandika nikiwa na hasira sio NIDA wala Uhamiaji, au Polisi kote kumeoza. Wahamiaji haramu wametapakaa sio kwenye bar, shambani, kwa house girls, vibarua wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku ambao wako nchini kwenye maeneo mbalimbali wasio na...
  7. Urgent: Ninahitaji id soft copy ya Nida, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata

    Habari ndugu zangu, Kama kichwa kielezapo juu naombeni msaada wenu yeyote mwenye kujua maana kinahitajika kesho. Natanguliza shukrani
  8. A

    DOKEZO Vibarua wa Kiwanda cha NIDA Ubungo tuna hali mbaya

    Mazingira hayako vizri yaani vibarua wanaingia saa 2 ASUBUHI na wanatoka 2 usiku Ili hali wanafnya kazi katika mazingira hatarishi. Hamna vifaa vya kujikinga na hewa chafu mule NDANI, hamna hata special boots na vifaa vitakvyomuweka salama. Mfanyakazi (vibarua) wanalipa elf 4 Hadi elf 5 kwa...
  9. Vitambulisho vya NIDA ndio vitumike kupiga kura wakati wa Uchaguzi

    Kamati ya Uchaguzi wa Taifa (NEC), inatakiwa ishirikiane na mamlaka ya utambulisho wa utaifa (NIDA) katika mchakato wa upigaji kura. NIDA wanatumia finger print sambamba, na wanachukua taarifa mbalimbali za watu. Hivyo mtu aruhusiwe kupiga kura kwa NIDA na vitambulisho vya kura vifutwe. Na kwa...
  10. Waziri Masauni: Mpaka kufikia 'March' mwakani wananchi wote mtakuwa mmepata kadi za NIDA

    Waziri wa mambo ya ndani, Hamadi Masauni amesema kabla ya kufikia mwezi wa tatu mwaka 2023 wananchi wote watakuwa wamepata kadi zao za NIDA na haitazidi hapo, Masauni kasema inaweza kuwa hata Disemba mwaka huu. Pia Masauni amesema wananchi ambao hawajapata vitambulisho lakini wana namba za...
  11. J

    Vitambulisho vya Taifa: Changamoto zinazowakabili wananchi na mwitiko wa Mamlaka (NIDA)

    Je, umewahi kukumbana na Changamoto za Kupata Kitambulisho cha Taifa? Jiunge nasi katika Mjadala kuhusu Upatikanaji wa Vitambulisho vya Taifa Nchini Alhamisi hii, Septemba 7, 2023, kupitia 'X Spaces' ya JamiiForums Tutaangazia Mchakato mzima wa Utoaji na Upatikanaji wa Vitambulisho ikiwemo...
  12. Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

    Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia. Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19)...
  13. B

    Dkt. Mpango: Vitambulisho vya Taifa (NIDA) vipatikane kwa watoto wote wanaozaliwa

    Makamu rais Dr Mpango ameshauri kuwa ni vyema sasa watoto wote wanaozaliwa wawe wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) papo hapo. Anasema hii itasaidia watoto kutatua changamoto mbalimbali za huduma za kifedha km kufungua account bank na kuomba mikopo ya elimu ya juu (HESLB). Nini maoni yako...
  14. K

    Kusaidia nchi Je Tanzania tuanzishe mfumo wa seneti?

    Je kwa hili bunge ambalo halisaidii serikali swali ni Je imefika wakati wa kuwa na bunge la seneti? Bunge hili mfumo unaweza kubadilika lakini mifumo ya wenzetu ni sawa na seneta wawili kwa kila mkoa. Hili seneti litakuwa kama thinktank na viongozi ambao hawana ushabiki badala yake ni wataalamu...
  15. Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Msaada Tutani, Naombeni kwa anayejua hii Ishu anitonye na Mimi Nipate Kitambulisho Changu cha NIDA Online Nikatoe Copy Jamani nimeteseka sana.😰🙏
  16. Msaada wa kupata copy NIDA

    Natanguliza shukrani kwa Wana JF.naombe msaada jinsi ya kupata copy Nida namba ninazo
  17. D

    NIDA wamekosea jina kisha wanataka mtu akafanye kiapo

    Habari wandugu na poleni na kazi, Mdogo wangu alifanya usajili wa NIDA na kukamilisha taratibu zote sasa namba ilivyotoka akiangalia online au kupitia mitandao ya simu anakuta limekosewa herufi moja. Alivyouliza NIDA wakamwambia apeleke nyaraka zake kama cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la...
  18. Vitambulisho vya NIDA vinaandaliwa wapi? Watanzania tumeshindwa na hili?

    Nimemsikiliza VIZURI waziri wa mambo ya Ndani wakati akitolea maelezo suala la VITAMBULISHO VYA TAIFA kuchelewa. Lakini katika maelezo yake nimebaini kwamba Kuna uwezekano hata VITAMBULISHO tuligawa tenda kwa makampuni ya nje. Sasa Je, watanzania na hili tunashindwa?
  19. M

    Naomba kujua utaratibu wa kurekebisha jina la NIDA

    Wakuu samahani, naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakati wa kujisajili NIDA badala ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti. MSAADA TAFADHALI, NI HATUA GANI ZA KUFUATA
  20. M

    Msaada kurekebisha jina NIDA

    Wakuu samahani naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakatai wa kujisajili NIDA baapa ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti. MSAADA TAFADHARI NI HATUA GANI ZA KUFUATA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…