nicki minaj

  1. Waufukweni

    Nicki Minaj afunguliwa Mashtaka anadaiwa Tsh. Milioni 714.2

    Rapa Nicki Minaj na kampuni yake, Pink Friday Productions, wamefunguliwa mashtaka wakidaiwa zaidi ya dola 275K (takriban Tsh. Milioni 714.2) na kampuni ya 24/7 Productions kutokana na gharama za maandalizi ya matamasha ambazo hazijalipwa. Kampuni hiyo inadai kuwa ilitoa gharama za awali kwa...
  2. Waufukweni

    Trump apagawa na Nicki Minaj adai anampenda, ngozi yake nzuri; Nicki, wewe ni mzuri sana!

    Soma pia: Nicki Minaj akiwa UN: Nigeria Wakristo wanashambuliwa, wanafukuzwa majumbani mwao na kuuawa “I love Nicki Minaj,” President Trump told guests at the White House Black History Month reception, referring to the rapper who recently proclaimed herself the president’s “No. 1 fan.” “She’s...
  3. Pakome

    Kwa miaka mingi sana Walimwengu tulimweshimu sana Nicki Minaj lakini hatukujua kama ni mwehu, shutuma za kumwita Jay Z mchawi zitamgharimu

    Nicki Minaj anaonekana kama ana ajitambua lakini bado ana tatizo kubwa sana la kukosa akili Hivi majuzi amemuita Jay Z mchawi na hii ni kwasababu ya utajiri alio nao Jay Z Watu wasiokuwa na uelewa kila wanapowaona matajiri huwa wanawatupia kashafa chafu hakuna siku watawapongeza wala kuwasifia...
  4. ChekoFagia

    Nicki Minaj apoteza followers milioni 10 kwa kuongelea siasa

    Nicki Minaj amejiondoa kwenye mtandao wa Instagram, baada ya kurudi, ndani ya muda mfupi baada ya kukumbwa na upinzani mkali mtandaoni. Tukio hilo linahusishwa na ushiriki wake katika mkutano wa kisiasa wa Turning Point USA (AmericaFest) uliofanyika Phoenix, Arizona. Kwenye mkutano huo, Nicki...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Nicki Minaj anatarajiwa kuhutubia Umoja wa Mataifa kwa niaba ya utawala wa Trump

    Huu ni ushirikiano ambao hakuna aliyewahi kutarajia … Nicki Minaj anashirikiana na Utawala wa Trump kuhutubia Umoja wa Mataifa. Msanii wa “Anaconda” anaripotiwa kuungana na Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Mike Waltz, kutoa hotuba Jumanne jijini New York, ikilenga kuangazia ukatili...
  6. BARD AI

    Nicki Minaj akamatwa uwanja wa ndege wa Uholanzi, Begi lake limekutwa na Bangi

    Nyota wa muziki Nicki Minaj amekamatwa kwenye uwanja wa ndege nchini Uholanzi saa chache kabla ya kutumbuiza katika ukumbi wa Co-op Live jijini Manchester. Rapa huyo wa Marekani, 41, alizuiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Amsterdam wa Schiphol kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya. Katika...
  7. H

    Female Artist With The Most Songs With Over 100 Million On Spotify

    Female artist with the most songs with over 100 million on Spotify
  8. BARD AI

    Tyga amtaja Nicki Minaj kuwa Rapa Bora wa Kike wa Muda Wote!

    Siku chache baada ya kuwataja #LilWayne na #Eminem kuwa ndio 'Rappers' wakali wa muda wote (GOAT), Tyga ameamua kumpa Nicki Maua yake na kueleza kuwa hakuna Rapa mwingine wa kike anayemkaribia. #Tyga ambaye amewahi kuwa chini ya Label Young Money pamoja na Nicki, amesema rapa huyo anajua...
  9. BARD AI

    Nicki Minaj aanzisha Record Label yake, amsaini msanii kutoka Ghana

    Siku chache baada ya kuachia ngoma mpya ya “Red Ruby Da Sleeze”, Rapa huyo kutoka Marekani ameweka wazi ujio wa Label kupitia #QueenRadio inayoruka kupitia Amazon Amp. Amesema Lable hiyo itakuwa chini ya #RepublicRecords na tayari amewasaini wasanii chipukizi ambao ni London Hill, Tate Kobang...
  10. J

    Aliyekataa chanjo Marekani aitwa Ikulu kuelimishwa umuhimu wa chanjo lakini Tanzania askofu Gwajima aliitwa Tume ya Maadili kukemewa

    Kuna tofauti kubwa kati ya dunia ya kwanza na hii yetu ya third. Wakati askofu Gwajima akiitwa kwenye tume za maadili za bunge na CCM na kuadhibiwa kwa kuhoji umadhubuti wa chanjo wenzetu kule Marekani ni tofauti kabisa. Mwanamuziki Minaj baada ya kugomea chanjo kutokana na ushuhuda wa ndugu...
  11. MTAZAMO

    Nicki Minaj Azua Sokomoko juu ya chanjo za Uviko19

    Nicki Minaj alizua dhoruba ya media ya kijamii Jumatatu usiku baada ya yeye kutuma twiti juu ya kusita kwa binamu yake kupata chanjo dhidi ya coronavirus, akitoa maoni kadhaa kwamba alikuwa akieneza habari potofu ya coronavirus. Minaj alituma twiti kuwa binamu yake huko Trinidad, ambapo...
Back
Top Bottom