Wakuu, nawaza tu, hivi nikipata mwansheria mzuri sana nikafungua kesi ya kikatiba dhidi ya EWURA kwa ubaguzi na upendeleo wa baadhi ya wananchi nitakosea?
Yaani bei ya mafuta haifanani nchi nzima wakati tuko nchi moja? Sisi wananchi tulio mbali na bandari tunakosa gani ndo tubebeshe bei ya juu...