nguvu

  1. Khan younis yaendelea kupigwa kwa nguvu zote na majeshi ya Israel

    Majeshi ya Israel yaendelea kuisawazisha Khan younis katika vita vyake na magaidi w Hamas!!!
  2. C

    Kama Mangungu alijua hana nguvu yoyote Simba,kwa nini alitoa ahadi ya kuwafunga yanga?

    Ninaona baadhi ya waandishi nadhani waliolipwa kuchochea moto pale Simba wakitumia nguvu kubwa kumtetea mangungu. Wakati Mangungu akiahidi kuifunga yanga,hakuna aliyeleta uchambuzi kumsuta mtoa ahadi kwa kujaribu kuwarubuni wanachama huku akijua wazi kwamba hana hizo nguvu za kuamua Simba...
  3. CHADEMA Mungu akiwapa Nguvu na Ufufuo basi fikirieni hii Kauli Mbiu iwe ni Nuru ya Uzima kisiasa "Hasta La Victoria Siimpre"

    Kwa uchache niseme siasa zenye ushindani ni Nuru ya Uzima wa afya na akili kwa Taifa na jamii yeyote hapa Duniani. Sidhani kama ni afya chama Dola kukosa siasa za upinzani, basi ikawe neema yake Mungu pamoja na kwamba mimi si mwana CHADEMA, bado nina haki ya kuwa na utashi na akili ya kuelewa...
  4. D

    Hivi fangasi inapunguza nguvu za kiume?!!

    Naomba kujuzwa wadau. Maungaunga Yale na, wakati mwingine, ngozi inachunika mpaka majimaji yenye harufu mbaya yanatoka kwenye makutano ya mapaja vina athari gani kiafya ya uzazi?!! Karibuni.
  5. CCM mbona wanahangaika sana! Propaganda za kipuuzi kama, haziwezi kuimaliza nguvu CHADEMA ya Lissu labda angekuwa Mbowe

    Lissu anakubalika kama shujaa na mkombozi wa kweli acheni siasa za kiduanzi 👇
  6. N

    Hii mada ni kwa Wanaume miaka 50 na kuendelea: Uhusiano kati ya Kuongezeka kwa Tezi Dume na Ukosefu wa Nguvu za Kiume kwa wenye umri zaidi ya 50

    Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:- i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi; ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume. Utangulizi: Nilihamasika kuanzisha...
  7. M

    Muda wa kuchukua fomu ya urais ACT bado unaendelea? Nguvu kutoka ndani inaendelea kunisukuma

    Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP. Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
  8. Ndani ya CHADEMA tupo Waumini wa Ufufuo na Uzima, Naomba Chama kitie nguvu kwenye Ibada zetu Kila Jumapili, kama ni mabomu tupigwe pamoja!!

    Niwaalike wanachadema wote Kwa ujumla,na watanzania wote na Wakristo, Kila Jumapili tuwepo , tuungane, tutie nguvu , Tupige kelele, tupaze sauti, Wacha wao watulige mabaomu, watuue, sisi tukusanyike, tufanye Ibada za Amani, tudai haki yetu ya kuabudu, TUIAMBIE DUNIA kua Tanzania Kwa Sasa Kuna...
  9. Ukipanda Mimea au miti inazuiaje nguvu za Giza na uchawi.

    Nitakueleza kwa kina na kwa lugha rahisi jinsi mimea na miti hii inafanya kazi kuzuia nguvu za Giza: --- 🌿 1. Jinsi mimea inavyofanya kazi kuzuia nguvu za Giza ✅ (a) KIMWILI (Physical effect) 1. Harufu kali (aromatic compounds) Mimea kama uvumba, manemane, mkaratusi (eucalyptus), mikusu...
  10. T

    Ili tule pesa ya Shabiby kura ya maoni Gairo ni kumshindanisha na Prof. Joel Mmasa mgombe mwenye nguvu. Tutamchangia pesa ya fomu Profesa.

    Pesa ya mwarabu ni ngumu kutoka hasa amapokuwa na wagombea dhaifu anaowaandaa mwenyewe. Kipindi kilichopita tulinemeka wajumbe kwa sababu Dr. Mmasa wa Udom kuwa tishio kwake hasa kwa usomi wake na umaarufu wa baba yake. Japo hatoi pesa inayoweza kushindana na pesa ya Shabiby. Kijana huyu msomi...
  11. GE2025 Mafuriko ya uchukuaji fomu ni kipimo cha nguvu ya CCM

    Nimepitia mitandao ya kijamii leo, na habari zilizotamalaki ni makada wa CCM kuchukua fomu. Ni wazi sasa wimbo wa "Tunazima zote, tunawasha kijani" leo umepata maana halisi. Mwitikio huu mkubwa unatoa uthibitisho wa ukweli wa takwimu kuwa hiki ndicho chama chenye wanachama wengi zaidi nchini...
  12. Nguvu za giza: Jinsi zinavyofanya kazi na kupenya kudhuru mtu au vitu

    Nguvu za giza (dark forces / evil spiritual forces) zinajumuisha roho chafu, mapepo, wachawi, mizimu ya giza, na mitandao ya kiroho inayotumika kwa madhara. Hapa chini naeleza mfumo wao wa kazi, mbinu, na upenyaji: --- 1. Asili yao ni nini? Ni nguvu za kiroho zilizo kinyume na Nuru ya Mungu...
  13. B

    Mbona kama upepo umebadilika tena? Oktoba Tunatiki kama wameshinda vile. NRNE kama imepoteza nguvu vile.

    Sasa hivi naona kama vile NRNE imepooza vile. Ni kama vile CCM wame vuka kigingi cha NRNE at least kwa mwaka huu... Tundu Lissu wafuasi wake wamemtelekeza. Na Mambo mengine yanaendelea kama kawaida. Let's wait and see
  14. Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi

    Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi. Hakuna uchaguzi bila mabadiliko bali maigizo.
  15. Kwa yanayoendelea Mashariki ya kati, bado unaamini kuwa Yaweh (Israel) na Allah (Muslim) wana nguvu???

    1) Yahweh name for the God of the Israelites, representing the biblical pronunciation of “YHWH,” https://www.britannica.com/topic/Yahweh Iran missiles cause multiple casualties after strikes in Israel https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t Israeli hospital hit by Iranian missile strike...
  16. Iran, ametangaza: Hakuna tena mazungumzo ya amani na Marekani au Israeli - mazungumzo sasa yanafanyika kupitia nguvu

    Wanaukumbi. 🚨🇮🇷 MAKOMBORA YANAPOSONGA 🚨 Picha zinazosambaa sasa zinaonyesha Iran ikituma makombora makubwa ya balestiki chini ya usindikizaji mzito. Tehran ametangaza: "Hakuna tena mazungumzo ya amani na Merika au Israeli - mazungumzo sasa yanafanyika kupitia nguvu." 📢 NI ISHARA GANI HII: ⚠️...
  17. C

    Kama Israel ana nguvu kubwa kwanini US kaingia vitani?

    Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za...
  18. Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu

    Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki. Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
  19. J

    Namna ya kuitambua nguvu yako ya ndani

    Nguvu ya ndani ni mali ya thamani sana inayomuwezesha mtu kuhimili changamoto za maisha, kufanikisha malengo, na kuishi kwa furaha na amani. Hata hivyo, watu wengi hawajui jinsi ya kuitambua na kuitumia nguvu hii iliyopo ndani yao. Somo hili linakusudia kukuongoza hatua kwa hatua jinsi ya...
  20. Je hawa magwajimanization ni kundi lenye nguvu ndani ya chama?

    Tumeona toka kwa ndugai kusema wazi hadi kushinikizwa kujiuzulu, tumeona kwa gwajima mwenyewe kukemea wazi utekaji , tumeshuhudi ya kanda ya ziwa kwa Mpina? Wanakosoa kwa kujenga taifa au kwa kumuangusha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…