Kwa nini hatuanzi, na tukitaka kuanza tunaghairi? Moja ni ‘laana’ ya kuwa na uwezo. Unajua unaweza, ukitulia siku moja tu kazi ya mwezi mzima utaifanya ndani ya siku mbili na hakuna tatizo. Kwa nini uanze mapema kama unaweza kuanza siku moja kabla? Unaahirisha upumzike kwanza.
Pili, imani kuwa...