nguvu

  1. D

    Ngoja tuone kati ya Mungu wa ukristo na Mungu wa uislam ni Mungu yupi mwenye nguvu.

    Leo nimemsikiliza Fr kitima anasema Mungu lazima ajibu na at the same time Gwajima naye anasema Mungu hawezi kunyamazishwa. It is as if kuna vita ya kidini ukiangalia kwa macho makaliwith 3D na kwa critical thinkers pekee. Sasa ngoja tuone kati ya Mungu wa wislam na Mungu wa wakristo ni Mungu...
  2. Nguvu ya dola (state)

    "Endapo wengi wakijua nguvu ya dola, hata kuitaja kwa utani wangekuwa wanavaa tai kwanza, achilia mbali kuikanyaga miguu!" 😂😂😂— Alloyce, P.R.
  3. D

    Nguvu ya watekaji sio ya kawaida wanaweza zuia dola isichunguze na kuamuru dola kufungia makanisa

    Watanganyika sasa ni wakati wa kupatwa kwa dola, dola kumbe nayo inaweza kushikwa na kuwekwa kiganjani na madogo kama abduli wauza spea kariakoo. Kweli kua uyaone
  4. W

    Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  5. Wananchi wa Gaza ni ngumu kuiona nuru kwa maana wamezungukwa na watu wenye nguvu wenye kuwataka kuwaona wakiendelea kutaabika.

    Ukiwa mwepesi wa mihemuko na mbusu pete ya msimamo wa itikadi kali jibu lako litakuwa ni USA na ISRAEL ila kiukweli maudui wakuu wa Gaza ni: Qatar Iran Yemen Jordan Maana hawa ndio wanaofadika na misaada wanayopewa palestina huku wakitaka kuonesha dunia tabu ya palestina kwa kumchokoza...
  6. M

    PreGE2025 Jinsi Project G55 ilivyofeli: Nguvu ya Umma yainusuru CHADEMA

    Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu. 1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi. Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango...
  7. Mfumo hauhitaji akili ya masikini bali unahitaji za masikini

    Wanasema mwanadamu ametokana na udongo — lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
  8. Marekani na Ulaya ,iongeze Nguvu na Jitihida kuumaliza Ujamaa na Ushawishi wa wakomonisti Afrika ! Urusi, DPRK,Uchina kua Marafiki wa CCM ni HATARI !!

    Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!. Maana yake nini ? CCM inaenda kua Chama chenye kiburi kikubwa sana kupitia hayo Mataifa, in turn Uranium itaenda Urusi kwa mikataba ya...
  9. Apigwa shoti na kupoteza nguvu akiiba Transfoma ya TANESCO Manyoni

    Vijana wameombwa kujitafutia kipato kwa njia ya halali ili kuepusha madhara yanayo tokana na wizi kama ambavyo alivyofanya Rajabu Jumanne Mkazi wa kijiji cha Njilii Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni aliyepigwa na shoti ya umeme na kupoteza nguvu ya kutembea baada ya kuiba baadhi ya vifaa...
  10. China yafanya mapinduzi katika nguvu za nyuklia kwa kutumia utafiti ulioachwa na marekani — funzo kwa taifa letu

    UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21 Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi kubwa ya kutawala mustakabali wa dunia. Hivi karibuni, China imeandika sura mpya ya mafanikio ya...
  11. Esther Matiko hivi ukiangalia hii video bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana bungeni?

    Askari polisi abakufanyia udhalilishaji hadharani na bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana. Kwa wenzetu hiyo ni kesi kubwa kama mhusika akivalia njuga na anaungwa mkono na mamlaka. Ila wewe sasa. Hii video watakuja kuiona wanao wakiwa watu wazima kisha wataangalia ulizungimza nini!
  12. Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi

    📣📣📣📣📣📣📣📣 Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi 🗣️Leo nimeona ni vyema niwaletee makala hii fupi kuhusiana na kucha na nywele zinavyo husika katika ulimwengu wa kichawi ulimwengu huu ni mpana sana, basi bila kupoteza wakati twende sawa. 👉Nywele na kucha zinaaminika kuwa na nguvu...
  13. Mafanikio nguvu ya Roho

    Naam mipango na matumizi pia nidhamu.....huwa thabiti pale unapokuwa huna kitu yaani kabla hujashika fedha. Lakini pindi fedha inapokuwa mkononi ile mipango yooote ile nidhamu yooote na ile listi ya matumizi uliyoipamga mwenyewe,,,wewe mwenyewe ndio unaibomoa... Hii ni namna ya utaalamu wako...
  14. H

    Hivi kwanini wakristo hawakuitwa "simba" kuwakilisha ushujaa wao wakaitwa "kondo" kuwakilisha ujinga wao?

    Jitu zima linaitwa kondo na linachungwa bado halistuki kuwa ni tusi kwake!! Kwanini usiitwe simba kuonesha ushujaa uitwe kondoo mtoka makamasi??
  15. Tutalinda amani, umoja na usalama wa taifa letu Tanzania kwa nguvu na gharama yoyote ile licha ya matusi ya majirani waandamaji na masufuria vichwani

    Tutakua wa mwisho kujibu matusi yenu dhidi ya Taifa letu na tutakua wa mwisho kuchukua hatua dhidi ya uchokozi wenu wa kichochezi dhidi ya amani yetu, but ni vizuri mkafahamu, Kwa vivu mkubwa na uzalendo wa kiwango cha juu sana, tutailinda amani, umoja na usalama wa Taifa letu Tanzania bila...
  16. H

    Tunaomba Dunia iongeze nguvu kuwasaidia Watanzania kupambana dhidi ya dhuluma ya Haki za msingi za binadamu

    Suala ya udhulumaji haki kwa wananchi wa Tanzania linalofanywa na watawala, lina uhalali na haki ya kupata msaada mkubwa kutoka jumuia ya kimataifa. Ni mwendawazimu pekee ndiye anaweza kutamka kuwa eti udhulumaji wa haki, ikiwa ni pamoja na utekaji na mauaji ya wakosoaji, ni suala la ndani ya...
  17. Athari za kuongozwa na Viongozi wasioelewa umuhimu wa taifa lenye wananchi wenye nguvu

    Katika muktadha wa maendeleo ya taifa lolote lile, uongozi wenye maono ni nguzo muhimu ya kujenga msingi imara wa uchumi, elimu, na ustawi wa jamii. Hata hivyo, changamoto kubwa inayolikumba taifa letu ni kuwa chini ya uongozi usioelewa faida ya kuwa na wananchi wenye nguvu, kiakili, kiuchumi...
  18. M

    Kama hakupi uhuru wa kumkosoa unapata wapi nguvu ya kumsifia?

    Wakuu hebu tujadili kitu kimoja hapa. Media na watu maarufu na machawa kutwa kucha ni kusifia tu na wakati kuna mambo kibao yanatokea ambayo siyo mazuri ambapo walipaswa kuwa wanayaongelea pia lakini wao kazi waijuayo ni kusifia. Anyways tuseme wanaogopa kukosoa kwasabab absolutely watapitia...
  19. W

    Serious Question: Kati ya Pesa na Nguvu za kiume ni kipi Mwanaume hutakiwi kukikosa kabisa ?

    Asie na Pesa nyingi lakini kwenye 6 x 6 ni full package Au Mwenye pesa nyingi ila shughuli hawezi
  20. Regina - Nguvu ya Brand

    Hello wana JF, kama unakaa Moro, kuna brand ya karanga ya Regina. Kila sehemu amepenya. Kuna waliojaribu kuiga wakashindwa. Karanga zake zinatoka kwa oda. Siri yake ni ipi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…