Regina - Nguvu ya Brand

Regina - Nguvu ya Brand

Amba Samedi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2024
Posts
203
Reaction score
335
Hello wana JF,
kama unakaa Moro, kuna brand ya karanga ya Regina. Kila sehemu amepenya. Kuna waliojaribu kuiga wakashindwa. Karanga zake zinatoka kwa oda.

Siri yake ni ipi?
1747926929918283712363429179054.jpg
 
Regina inaonekana hata SI mtamu ww ,ila labda karanga zako nionjeee😋
 
Sijui hata nacheka nn?
😆😆😆😆🐸
 
Back
Top Bottom