Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki.
Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
Nguvu ya ndani ni mali ya thamani sana inayomuwezesha mtu kuhimili changamoto za maisha, kufanikisha malengo, na kuishi kwa furaha na amani. Hata hivyo, watu wengi hawajui jinsi ya kuitambua na kuitumia nguvu hii iliyopo ndani yao. Somo hili linakusudia kukuongoza hatua kwa hatua jinsi ya...
Tumeona toka kwa ndugai kusema wazi hadi kushinikizwa kujiuzulu, tumeona kwa gwajima mwenyewe kukemea wazi utekaji , tumeshuhudi ya kanda ya ziwa kwa Mpina? Wanakosoa kwa kujenga taifa au kwa kumuangusha?
Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia...
Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika, kama Ujuzi ambao zamani ulionekana ukiwa wa muhimu na pekee (yani ajira nje nje) kwa sasa zote...
Leo ni siku ya kina baba duniani, mojawapo ya kitu nimeskliza kwenye ibada ya leo ni umuhimu sana wa sisi akina baba kuwa makini sana na kinachotoka midomoni mwetu, maneno hukata kuliko hata mabomu au upanga.
Ikumbukwe kuna rais wa Iran aliyewahi kusema anatamani kuona Israel inafutwa kwenye...
Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa.
Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
Ukitaka mtu aropoke yote aliyofanya kwa siku hiyo wakati yuko usingizini basi akisha lala, chukua glass yoyote,itie maji ujazo kiasi kwamba kidole cha shahada kikiingizwa kitaenea ndani yamaji. Weka ndimu ya Unga nusu kijiko.
Kisha akiwa amelala usingizi mzito chukua kidole chake kisha weka...
TANZANIA NA CHINA KUONGEZA NGUVU KATIKA DIPLOMASIA YA UCHUMI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi pembezoni mwa Mkutano wa Jukwaa la...
Mariam Saidi Mfaume amekaza ngumi kwenye mkono wake mdogo, akashusha pumzi ndefu na kufyatua teke juu lililopita kwenye hewa yenye ukungu. Matone ya mvua yalidondoka kwa upole kwenye majani yaliyo juu, lakini hakuna kilichoweza kumzuia mtoto huyo mwenye miaka sita kufuata ndoto zake za kung fu...
Mzuka Wana Jamvi..
Huu ni mwendelezo wa spana kwa Keyboard Warriors na wanaharakati uchwara wote Jf ndani na nje ya nchi.
Naanza kuflow sasa ; naona Kuna watu wameanza kujipa matumani baada ya kuona mitandaoni sasa Insta na kwengineko kwenye comments session #NoReformNoElection inatamba sana...
Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe
Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi
Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo...
Hii Kasi ya movement ya no reform no election ni movement hatari sana. Naifananisha na movement ya MAGA, kipindi Trump anashuka kwenye escalator pale Trump tower New York,na kutangaza movement ya MAGA. Aisee viongozi wote wa Republican na Democrats waliidharau hiyo movement, ila kilichotokea...
Katika dunia ya leo, ambapo wenye mamlaka hupuuza kanuni na kupata wanachotaka, mtu anaweza kujiuliza. Je, falsafa na maadili yana maana yoyote? Ikiwa ukweli haubadilishi matokeo, kwa nini basi kuushikilia?. Dhana ya “mwenye nguvu ana haki” ni moja ya kauli zinazopingwa mapema kabisa katika...
Mwanasiasa James Mbatia amesema hakukuwa na haja ya Jeshi la Polisi kutumika kwenda kuzingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kwa kuwa walitakiwa kumuita Askofu huyo badala ya kutumia nguvu.
Ameongeza kuwa amekutana na viongozi kadhaa wa Dini ngazi ya Askofu...
Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
Ningekuwa Rais, muda huu ningekuwa nimeshamla kichwa Waziri wa Mambo ya Ndani (Bashungwa) kwani button aliyogusa ni nyeti mnoo na huwa haiguswi ovyo ovyo.
Bila Dini, hakuna siasa. Kumbuka watu wako tayari kufia dini lakini siyo chama cha siasa. Waumini wanawaamini viongozi wao wa dini zaidi ya...
Leo nimemsikiliza Fr kitima anasema Mungu lazima ajibu na at the same time Gwajima naye anasema Mungu hawezi kunyamazishwa.
It is as if kuna vita ya kidini ukiangalia kwa macho makaliwith 3D na kwa critical thinkers pekee.
Sasa ngoja tuone kati ya Mungu wa wislam na Mungu wa wakristo ni Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.