Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya kuwa ‘akazie swaum kwa kula nguruwe'. Akieleza kuwa yeye ni muislam na ulaji wa nguruwe kwa misingi...
Kwa sasa mkoa wa Mwanza unakabiliwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe. Ugonjwa huu umesababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi – mabanda mengi yamesafishwa na nguruwe kufa kwa wingi.
Kutokana na hali hiyo, sisi kama Chief Farm tumechukua tahadhari kali za kibaiolojia (biosecurity measures)...
“Nilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza — hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama 🥩 na kufuga kwa ajili ya uzalishaji 🐖📈.
Hilo limenifurahisha sana na nitaenda kulifanyia kazi mara moja.
Nilikuwa nafuga bila malengo mahsusi, lakini sasa nimepata mwanga 💡. Nina...
Waislamu tunaruhusiwa kula FISI na MIJUSI hao ni HALAL kabisa
Hadithi inayoelezea hivyo ni riwaya ya Sayyidina Jabir ibn Abdullah (RA) kuhusu uwindaji na kula fisi, na ipo katika makusanyo ya hadithi ya Kiislamu.
Muhtasari wa tukio
Sayyidina Ibn Ammar (RA) alimwuliza Jabir ibn Abdullah (RA)...
Nguruwe na kisamvu cha kopo vyote haramu ila angalau nguruwe amehalalishwa kuliwa kwa kiasi kidogo kama hapo ulipo umekosa kabisa chakula na nguruwe ndo nyama pekee iliyopo inalusiwa kula kidogo ila usishibe ila kisamvu cha kopo hakirusiwa kuliwa na umuoni mtume.
Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini.
Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi.
Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
Hiki ni kipande kidogo (teaser) cha Episode ya Kwanza ya podcast yetu mpya SHAMBA TALKS 🎙️.
Baada ya kusikiliza madai kutoka kwa wafugaji, sasa tunaingia upande wa kitaalamu—
✔️ Je, kibiashara inawezekana kweli?
✔️ Ni aina gani ya nguruwe?
✔️ Ni ufugaji wa namna gani unaofikisha thamani hiyo...
"Katika misa hii tunawaombea waliouawa. Tunasema waliuawa kwa sababu watu hawa hawakuumwa, walipigwa risasi. Tunawaombea waliojeruhi Mungu awape wepesi waweze kupona lakini pia tunaombea haki na amani katika nchi yetu"
"Wale waliolenga risasi ni nani hao? Waliouawa sisi ni ndugu zao, tunalia...
🌍 Rubaba Media – Tukiinua Ufugaji na Kilimo Tanzania 🌱🐖
Kwa muda mrefu, Rubaba Media tumekuwa tukipokea jumbe kutoka kwa watu wa aina mbalimbali – wanafunzi, wafanyakazi, wafugaji wapya na hata wale wa muda mrefu. Wengi wao wanatamani kuingia kwenye ufugaji wa nguruwe kibiashara, lakini...
Unavyoliweka zizi ndivyo mdudu ucheza!
Nguruwe ni msafi sana isipokuwa mfugaji ndo mjinga, unaweza sema ngoja niachane na nguruwe ni mchafu, kumbe uchafu wa nguruwe uko kwako
Britanicca
🌟 WAKATI NI SASA! 🌟
Upandishaji kwa Chupa (AI) kwa Ng’ombe na Nguruwe – Teknolojia ya Kisasa kwa Mafanikio ya Mifugo Yako!
🐄🐖 Unataka Ng’ombe au Nguruwe Wenye Maziwa Mengi, Uzito Mkubwa, na Uwezo Bora wa Kuzaa? Tunakuletea huduma ya kitaalamu ya AI (Artificial Insemination) kwa kutumia mbegu...
Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4)
Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni...
Jumla ya Bajeti: Tsh 10,000,000
1. Malengo ya Mradi
1. Kufuga nguruwe wa kisasa kwa ajili ya kuzalisha na kuuza nyama.
2. Kuongeza mtaji wa butcher ili kuongeza mzunguko wa mauzo.
3. Kujenga uthabiti wa kifedha wa familia kupitia kipato cha kilasiku (Butcher) na cha muda mrefu (Ufugaji).
2...
Je Nguruwe wako wamedumaa?
wamekonda?
wamedhohofika?,
vifo vya mara kwa mara?
wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara?
umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe .
Pole sana na karibu Mfugo plus group...
Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya...
Mashallah! Kiukweli Salim Kikeke ni kama baraka ya Allah kwa wananchi. Yaani Allah huwa anamtuma mtu spesho kabisa kuwasaidia watu — na kwa sisi wa Moshi vijijini, Kikeke ametokea kuwa mkombozi hasa.
Huyu jamaa atatufungulia milango ya masoko ya nguruwe kule Zanzibar ambako soko bado liko wazi...
Mtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
Soma > Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa...
Katika harakati zetu Rubaba Media kuelimisha na kushauri wakulima na wafugaji kote nchini, tukishitikiana na Koudijs safari yetu ya hivi karibuni ilitufikisha mkoani Mara — hasa maeneo ya Tarime, Nyamongo, na vitongoji vyake. Tulikutana na wafugaji wapya na waliopo tayari waliodhamiria kwa dhati...
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia rizki , kuwezesha kulipa kodi na...
Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo.
Maana katika maandiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.