ngorongoro

  1. J

    Waziri Mkuu apokea orodha ya majina 453 ya wananchi wa Ngorongoro waliokubali kuhama kwa hiyari yao

    Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori. Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka kuishi sehemu yoyote watakayoichagua wao wenyewe. Source: ITV habari! ===== Waziri Mkuu Kassim...
  2. S

    Wamasai wa Ngorongoro wanatumika na mabeberu kumchafua Rais Samia?

    Kwa namna mama anavyo lishughulikia suala la wamasai wa Ngorongoro hakika anastahili pongezi. Ni kwa njia shirikisho na jumuishi. Sasa hawa Wamasai wanachopigia kelele mpaka kwenye vyombo vya kimataifa kama Al Jazeera ni kipi? Na Al Jazeera kinachowafanya waendeshe mjadala hiyo jana wa upande...
  3. PendoLyimo

    Mchungaji Msigwa: Hatuwezi kuwa na wachoyo wachache wanaoona ng'ombe wao na biashara zao muhimu kuliko Ngorongoro yenye maslahi ya Taifa

    Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa zamani wa Iringa mjini na waziri kivuli wa maliasili na utalii ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa amesema kuwa pamoja na Tofauti zao za kisiasa na kupishana kwa mambo kadhaa ya hapa na pale, jambo moja...
  4. M

    Rais Samia pamoja na ziara yako nzuri huko UAE, Suala la Ngorongoro liwe nje ya ajenda

    Mheshimiwa Rais, Umefanya ziara ya kikazi huko UAE, hilo ni jambo zuri tunalifurahia Lakini wakati ukifanya Ziara hiyo, Watanzania hatujasahau kuwa Kampuni ya waarabu wa UAE iitwayo OBC imekuwa ikimezea mate ardhi ya wananchi inayokaliwa na wamasai huko Ngorongoro. Tuna historia nzuri namna...
  5. ShyaRuwa

    Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

    By Laurel Sutherland on 18 February 2022 - In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans to lease the land to a UAE-based company to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite...
  6. The Genius

    Wanaoshadadia kufukuzwa Wamasai Ngorongoro wamepewa nini na Waarabu?

    Huko kaskazini mwa Tanzania, zaidi ya wakazi 70,000 wa jamii za Kimasai wanakabiliwa tena na kufukuzwa kutoka kwenye ardhi ya mababu zao baada ya serikali kuweka wazi mipango ya kukodisha ardhi hiyo kwa kampuni kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - UAE, ili kuunda ukanda wa wanyamapori kwa ajili ya...
  7. Analogia Malenga

    Waziri Mkuu: Kama Mtu anataka kuhama Ngorongoro, Serikali itamuhudumia

    Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema suala la idadi ya watu ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro ni kubwa, hivyo kama kuna watu watakaotaka kuhama kwa hiyari serikali itawahudumia. Pia amewataka wakazi wa Ngorongoro wasiwalazimishe watu watu kubaki kwa kuwa...
  8. John Haramba

    Fredrick Lowassa afunguka mgogoro wa Ngorongoro, asema “Wamasai wana haki”

    Picha: Fredrick Lowassa Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa kupitia mtandao wake wa Instagram, ameandika kuwa jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro ni Watanzania na wana haki sawa Kama Watanzania wengine. “Wamasai wa Ngorongoro ni Watanzania na wana HAKI sawa kama Watanzania wengine...
  9. figganigga

    UNESCO: Wenyeji wa Ngorongoro Wahame. Wafanyakazi wa NCAA na Mahoteli waishi nje ya Hifadhi

    UNESCO: Wenyeji wa Ngorongoro Wahame. Wafanyakazi wa NCAA na Mahoteli waishi nje ya Hifadhi Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro si eneo ambalo ni Hifadhi ya Taifa na vile eneo hili la Ngorongoro halipo chini ya shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na badala yake ni shirika huru kama jinsi ilivyo...
  10. Lycaon pictus

    Ipi idadi ya wafugaji inatakiwa Ngorongoro?

    Kuna watu wanakazana kuwa wafugaji waachwe Ngorongoro sababu wameishi na wanyama miaka na miaka. Mmojawapo Shivji. Lakini kwa makusudi wanashindwa kusema kuwa kuna idadi fulani ya watu ikifika ecosystem inacollapse. Haiwezi kuwa hivyohivyo kila siku. Sasa, kama kuna tafiti. Hifadhi ya...
  11. K

    Serikali mkiweka siasa Ngorongoro hamtapata suluhisho

    Nawashauri Serikali wakiweka Siasa kwenye swala hili la Ngorongoro hii mbuga baada ya miaka itakuwa tatizo. Kuwahamisha wamassai kule ni lazima kama wana nia njema. Waziri mkuu ameweka siasa zaidi. Tunaongelea watu pekee wakati tatizo kubwa ni mifugo karibu 1M. Waandishi wa habari wametenda haki...
  12. ACT Wazalendo

    Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Ivunjwe

    TAARIFA JUU YA SUALA LA KUHAMISHA WAFUGAJI WA JAMII YA MAASAI KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO UTANGULIZI Ndugu Wanahabari, Ngorongoro ni eneo la shughuli mtambuka. Kiutawala ni Tarafa mojawapo ya wilaya ya Ngorongoro yenye vijiji 25 na Kata 11. Kiuhifadhi, eneo hili linasimamiwa na Mamlaka ya...
  13. J

    Ole Ngurumwa: Wilaya ya Ngorongoro ni kubwa sana; nchi ya Zanzibar inaingia mara 7 na DSM inaingia mara 10. Wamasai waachwe wilayani humo

    Mwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro. Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina eneo la mita za mraba za kutosha kabisa kuishi wamasai wote kwani nchi ya Zanzibar inaingia mara 7...
  14. T

    Maandamano makubwa ya kunusuru Hifadhi ya Ngorongoro

    Rasmi naomba kutoa kusudio langu la kuitisha maandamano makubwa ya kunusuru hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. Nimeanza mchakato wa kuomba kibali polisi na mamlaka zingine husika ili kuitisha maandamano makubwa yatakayofanyika hivi karibuni ili kuishinikiza serikali iwaondoe binadamu wote waliomo...
  15. T

    Mgogoro wa ardhi Ngorongoro usiposhughulikiwa vizuri waweza kuwa kitisho cha usalama kwa Taifa

    Mgogoro wa ardhi ya wamasai kule ngorongoro usiposhughulikiwa kwa hekima na busara basi waweza geuka kuwa kitisho kikubwa cha usalama wa Taifa kwa sababu kama nilivyowahi sema hapo zamani kwenye makala yangu jinsi idara zetu za usalama zimejikita na siasa kiasi mataifa yakigeni yanatengeneza...
  16. B

    Mgogoro Ngorongoro: Gazeti la The Guardian, mmelipwa au ni kujitoa ufahamu?

    Inasikitisha sana tunakoelekea, jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea kata ya Loliondo mkoani Arusha na kwenye hoja za msingi alizoongelea tena kwa urefu na kuwapa wakazi wa eneo lile fursa ya kuchangia ni kuhusu pori tengefu la Loliondo. Tena kama haitoshi alisisitiza kabisa kwamba...
  17. John Haramba

    Waziri Mkuu Majaliwa: Hakuna tatizo Wamasai kuishi na wanyama Ngorongoro

    Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa “Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi...
  18. S

    Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

    Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
  19. B

    Deusdedit Balile adai Ngorongoro hakuna makaburi hivyo Wamasai waondolewe Ngorongoro kuwaepusha kuendelea kuliwa na Wanyama

    Baada ya Maulid Kitenge kufanya tour na timu yake Ngorongoro watu walijitokeza nakusema alivyolipwa na kwamba ana tekeleza matakwa ya watu flani na siyo utashi wake. Siku chache Balile kawaitisha vyombo vya habari na wanahabari kuwashawishi au kupiga kampeni kuwaondoa Wamasai Ngorongoro...
  20. Lord Denning

    Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

    Amani iwe nanyi Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama...
Back
Top Bottom