ngao ya jamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Labani og

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi derby: First half naona Simba akipigwa mvua ya magoli mengi

    Kama umejaaliwa kipaji na ukawa na taaluma ya uchambuzi najua utakuwa umeliona hili. Baada ya Simba na Yanga kucheza mechi zao tumeona ubora na upungufu wa Kila timu according to their level mfano kwa level ya Yanga saizi ni tofauti mapungufu ya Simba kulingana na level yake. Kwa kikosi hiki...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Yanga atashinda mechi jumla ya mabao kuanzia 3 nk. Aziz Ki/Dube/ Mudathir/ Baleke kuwanyoa Simba

    Naona matokeo mapema this time Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza .Cha pili yanga wataingia na kasi ya ajabu sana sana aijawahi kutokea Kama baadhi ya wachezaji wa simba watashindwa kuvumilia hii kasi tutarajie penalty itatokea kwenye hii mechi Yanga ana 75 perc ya ushindi mpaka...
  3. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania TFF Watumie busara kuahirisha mechi ya ngao ya jamii kati ya Simba na Yanga

    Timu moja iko imara nyingine inajitafuta, naona kabisa kuna timu inaenda kudhalilishwa hiyo tar 8/08/2024, Nawashauri Tff waifute mechi hii ili ibaki mechi kati ya Azam fc na Coastal Union fc Nb. sijataja timu.
  4. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ngao ya Jamii 2024.

  5. U

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga na Sio azam

    Habarini wanajamvini, nimechanganyikiwa na kutoelewa ni utaratibu Gani umetumika katika kupangwa mechi ya Ngao ya jamii. Nasikia kuwa mechi ya Ngao ya jamii itakuwa ni yanga dhidi ya Simba na sio Azam na hapo ndo ninapopagawa. Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tuzo za ligi kuu kutolewa siku ya ngao ya jamii

    Shirikisho la soka nchini TFF limetangaza kuwa tuzo za TFF zitakuwa zinatolewa kwenye ngao ya janii
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Queens mabingwa wa Ngao ya Jamii

    SIMBA QUEENS YABEBA UBINGWA WA NGAO YA JAMII 2023 Timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake 2023 kwa kuifunga JKT Queens kwa njia ya penati 5-4 baada ya matokeo ya goli 1-1 katika muda wa kawaida. Baada ya mchezo huo wa...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii | Simba Queens 5-4 Yanga Princess | Azam Complex

    Kikosi cha Simba Queens Kikosi cha Yanga Princess Simba Queens yaingia fainali kwa kuipiga Yanga Princess Kikosi cha timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake 2023 kwa kuifunga Yanga Princess kwa penati 5-4 katika Nusu Fainali iliyopigwa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sina shida na Ubingwa wetu wa Ngao ya Jamii ila kwenye suala la Kipa mmetuangusha!

    Tuliaminishwa Kipa Jefferson Luis ni bonge la Kipa mara ghafla akalazimishwa ajifanye kaumia ili aachwe na achukue hela yake ya bure ya Tsh. 150 milioni na wapigaji wachukue Tsh. 250 milioni na ikaishia hapo. Simba Day tukatambulishwa Kipa Abel ambaye alishafungwa na Simba SC goli 6 au 7...
  10. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Ninataka nijue status za wana JF hawa baada ya mechi ya Ngao ya Jamii

    cc: Mpwayungu Village, Bantu Lady, zipompa
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Ngao ya jamii na furaha bandia

    Simba tumeshinda pambano la Ngao ya jamii kwa kucheza mechi mbili dk 180 bila timu yetu kufunga hata BAO moja kimiani. Tunajiuliza ni nini hiki, Ubovu wa kocha, wachezaji au ubora wa timu nyingine? Tunajua kuwa tumeupata huu Ushindi kwa kelele nyingi juu ya waamuzi kutoka ndani na nje ya uwanja...
  12. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

    Ni siku nyingine tena, siku nzuri kwa wapenda burudani za mpira wa miguu. Kilele cha Ngao ya Jamii kutokea Mkwakwani Tanga. Watani wa jadi watashuka dimbani majira ya saa 1 usiku kukipiga katika Finali ya Ngao ya Jamii. Mchezo wa awali utakuwa ni majira ya saa tisa alasiri leo kati ya Azam FC...
Back
Top Bottom