ngao ya jamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Match ya mshindi wa tatu ngao ya jamii simba tayari kashajaza uwanja huko

    Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

    Mchezo wa Ngao ya Jamii kutafuta mshindi wa tatu mchezo unachezwa uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Coastal Union dhidi ya Simba SC. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi kubwa sana. Dakika 5, Simba wanaumiliki mpira sana na kufanya mashambulizi kwenye lango la Coastal. Dakika 8, Mutala anakosa goli...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Endapo Yanga itaifunga Azam kesho ndani ya dakika 90 nitaamini kuwa Yanga wanashinda kwa uwezo wao na yanayosemwa ni majungu tu

    Kesho ni fainali baina ya Yanga vs Azam, mchezo utakuwa mgumu lakini mwepesi sana kwa Azam, kinachonipa matumaini ni kuwa wachezaji watano wa Yanga wanaowategemea yaani Aucho, Aziz Ki, Max Nzengeli, Pacome na Mudathiri au Duke ni wachezaji wa kawaida sana mbele ya viungo wa Azam, lakini kubwa...
  4. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Tanzania Viingilio fainali ya Ngao ya Jamii

    ... 💰💸 Viingilio fainali ya Ngao ya jamii : ◉ 30,000 ›› VIP (A) ◉ 10,000 ›› VIP (B) ◉ 10,000 ›› VIP (C) ◉ Mzunguko ›› 5,000. ℹ️ Mechi itachezwa Jumapili baina ya timu mbili kubwa zilizoko katika mashindano makubwa barani Africa CAFCL Azam FC dhidi ya Yanga SC. Kumbuka ukilipia kiingilio...
  5. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Ngao ya jamii: Klabu Bingwa imejitenga na Shirikisho

    Michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika na ile ya Shirikisho ni michuano miwili tofauti. Klabu Bingwa ni michuano mikubwa zaidi. Tanzania itawakilishwa na Yanga na Azam kwenye michuano hiyo mwaka huu. Kwa upande wa Shirikisho, tutawakilishwa na Simba na Coastal Union. Ilivyo bahati, Azam...
  6. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Yanga Vs Simba ngao ya Jamii, Mechi iliyochezeshwa Kwa kiwango cha chini cha Uamzi.

    Ni vema Sasa kukawa na tuzo ya seti mbovu ya Waamuzi. Heri Sasii Mohamed Mkono Kassimu Mpanga Wanasitahili kupewa zawadi hii maana jana wameharibu Radha ya Mechi Kwa maamuzi yasiyozingatia weledi. Mechi ilistahili kuwa na penati kuanzia 2 na kuendelea, Mechi haikustahili kuisha Kwa 1-0. Soma...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mistake kubwa ya Yanga leo ni kumuanzisha Abuya. Duke ni small games player hana hiyo quality. In short hajui

    Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this. he is a bad player who works hard 🚮 Abuya has small football brains. If you noticed...
  8. LAPSE RATE

    JamiiForums Tanzania Simba kanyimwa penalty halali

    Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty. Azam media pia walijitahidi kuficha picha za marejeo (video replay). Tukio hili sijalipenda Mimi...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nimeukubali usajili wa Mo Dewji. Mgunda Unampa timu leo asubuhi Jioni anakupa matokeo. Record Fadlu haitaji muda.

    Timu iko Full Nondo. Ila wachezaji kufunga itategemea uwezo binafsi. Mechi mbili na Record zake akiwa kocha zinanifanya nimnyime timu fadlu David. Hana plan kamili ya kukaba au Kufunga tofauti na Mgunda. Sijaona akichora mchoro wowote wa goli. Mechi iliyopita Simba inafuga kwa uwezo binafsi...
  10. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Ngao ya jamii Simba moja.

    Kweli mpira unabingiria, dakika 90 Simba moja alale nalo.
  11. chongoe

    JamiiForums Tanzania Simba 3 yanga 1, ikienda kinyume nipigwe ban

    Ikienda kinyume nipigwe ban Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024
  12. Labani og

    JamiiForums Tanzania Yanga akifungwa na Simba nipigwe ban ya wiki

    Japo Mimi ni mchambuzi na sina timu kama kawaida yetu ila leo naomba ku-declare my interest kwa kuipa ushindi Yanga Kwa kosi zito walilonalo wananchi. Ni zito kucheza na Simba, naona Simba wataelemewa from the beginning hivyo kupigwa mvua ya goli. [emoji23][emoji23]Yanga kifupi inapangika tu...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

    Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal? Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa Amaan. Kutokana na ushindi huo, Azam FC itacheza fainali ya Ngao kwa kukipiga na timu itakayoshinda...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

    Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana. Dakika 4, Yanga wamekosa nafasi ya wazi baada ya Prince Dube kupiga mpira ukagonga nguzo ya goli...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba anajiamini sana na ushindi wa derby

    Mwambieni Ongbak akipoteza derby watu watachange 😂. Tanzania itakuwa chungu hii. Derby anasema mechi ya kawaida. watu wameweka kila goli 100 million. Vijana wa Msimbazi wa mwambie Ongbak ukweli mapema.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ngao ya jamii haina hamasa kwasababu mapato yote yanaenda TFF na taasisi zingine kwa lengo la kuisaidia jamii lakini zinaishia mifukoni mwa wachache

    Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? " kuanzia mwaka jana ngao ya jamii iliongezwe timu ziwe badala ya mbili, ni kufosi Yanga na Simba zikutane...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simba Vs Yanga Ngao ya Jamii 08/08/24 anakufa mtu

    Hili ni Pambano jepesi kwa Yanga. Ushindi upo wazi kabisa wala hauna ukakasi. Wa magoli mangapi ndo hatujajua. Lakini zilikuwa ziwe 3 Yanga 0 Simba. Naona mpambano bado ni mkali. Nitaendelea kuwaletea updates hapa kuanzia muda huu. Makomandoo kwa hii siku ya leo 07/08 wapo Uwanjani kurekebisha...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Gamondi ameonyesha kuiogopa Simba

    Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa simba mkiwaona kina Ayubu vipi kiingereza kinapandaa ama british inawahusu?

    Kama.kuna mwalimu wa kiingereza atoe somo hukuu maana kesho kuna watu wanalia. Vyema wajue hata kuwatukana waachezaji wao kizunguuu
  20. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Yanga hata kama wakifungwa tarehe 8 always viongozi na mashabiki watakua positive ila tatizo ni upande wa Simba

    Habari! Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya. Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle...
Back
Top Bottom