"Kila ninapoingia hapa, siwezi kujizuia kumkumbuka namna alivyotembea, alivyotawala mpira. Lilikuwa jambo la kipekee kabisa; tofauti na lolote nililowahi kuona."
Hayo ni maneno ya mmoja wa makocha wa kwanza waliogundua kipaji cha mchezaji Mmisri, Mohamed Salah, akiwasimulia waandishi huku...