Wananchi wa vijiji vya Likonde, Hiyari, Mkwajuni, Mwembetoga, Kyoba, Msijute, Mbuo na Mayanga, mkoani Mtwara, wameeleza kuridhishwa kwao na mchango mkubwa unaotolewa na Kiwanda cha Saruji cha Dangote katika kuboresha huduma za kijamii kwenye maeneo yao, hususan kwenye sekta za elimu, afya, maji...