ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania JF bado ina watu wema. Ndugu Kalaga Baho ni miongoni mwao.

    Siku hizi mitandaoni hata JF kumekuwa na posts na comments nyingi sana za chuki. Single Mama na waalimu wamekuwa wahanga wakuu wa hizi chuki. Pamoja na wingi wa watu wenye roho mbaya ila bado wapo wachache wema. Kuna watu wako tayari kukusaidia bila kukujua wala kutaka chochote kitu kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo

    Ndugu zangu, mimi ni kijana ninayetamani kusoma lakini hali ya kiuchumi sio shwari. Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo. Ninaombeni ufadhili nikasome, pia nikasome kozi gani kati ya hizi. 1. Medical laboratory science. Lugarawa na Rucu 2. Petroleum...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu huyu anaweza kuwa mnyama gani?

    Mwenye kujua huyu mnyana anijuze tafadhali.
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu yako anaweza kuwa adui yako wa kwanza

    Maisha yana fumbo kubwa. Yule ambaye hauna undugu naye wowote wa karibu ndiye anaweza kuwa msitiri wako wa kwanza wakati yule ambaye ni ndugu yako wa damu anaweza kugeuka kuwa adui yako asiyetaka maendeleo wala mafanikio yako. Tujifunze na tuchukue tahadhari.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

    Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !! Hajakutafuta miaka na miaka...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania Wote ni ndugu, anayeteka ndugu zako ni adui yako

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akitaka kuamsha ari ya kila mtanzania kupigania haki za Mtanzania mwenzake, alisema kuwa "WATANZANIA WOTE NI NDUGU" Sentensi hii moja, kivitendo ni majumuisho ya matendo mema msululu. 1) Ndugu yako huwezi kumwua. Hawa viongozi wa CCM wanaowaambia polisi kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania US na Israel wanatufundisha kuwa na marafiki/ndugu wanaokufaa wakati wa shida tu

    Hadi leo karibu 1/3 ya jeshi lote la navy la US limeshaizunguka Iran kwa lolote ikitokea kajaribu kuishambulia Israel. Watafiti wanasema US imetoa karibu meli zake zote Pacific na zimeenda kukaa kimkakati kwa lolote karibu na iran na israel. Huu ndio urafiki, huu ndio udugu. Kwa mujibu wa...
  8. JamiiForums Tanzania RAMBIRAMBI YA RAIS SAMIA TSH.5,000,000 KWA FAMILIA ZILIZOPOTEZA NDUGU ZAO KWA SABABU YA AJALI, JE ZITADUMJ?

    Nimeona kwenye vyombo vya habari nchini Rais akitoa rambirambi kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kwa ajali za gari ya daladala na ajali ya watoto waliozama kwenye bwawa na kufariki. Ametoa kwa kila familia kiasicha Tsh.5,000,000. Hii ni nia nzuri na yenye kuoneaha upendo na kuwajali...
  9. JamiiForums Tanzania Tuombe mwisho mwema ndugu zangu

    Nitafutie mwenye shepu kubwa hapo.. Nitafutie mwenye umbo namba 8 hapo... Unamuona mweupe na mweusi hapo? Umemuona handsome hapo? Je unaweza kumfahamu boss na mtumwa hapo? Umemuona mwenye PHD na darasa la 3 hapo?? Waweza kumuona mwenye 6 pack hapo? SHORTLY Huna uzuri wowote, huna elimu...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Said Jamal Athumani anatafutwa

    Ndugu zangu: Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Huyu ndugu anayetafutwa asili yake ni Zanzibar, Baba yake mzazi alishafariki. Lakini amekulia Dar es salaam. Ana mjomba wake maeneo ya Kinondoni. Mjomba wake by 2020 alikuwa ni Dr. Hapo maeneo ya Kinondoni. Said Jamal ATHUMANI katika maisha...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Yanga sisi tunawaletea tu wachezaji wa maana ili muwasajili

    Chukueni Fernandez Chukueni Abdulrazak Hamza Chukueni Camara Chukueni Kagoma aliyewatoroka Chukueni Mukwala Chukueni Awesu Chukueni Okajepha Chukueni Ateba Kazi mnayo sasa hivi
  12. JamiiForums Tanzania Wimbi la ndugu wa damu kuhusiana kimapenzi linaongezeka au uwazi umeongezeka?

    Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea kushika kasi kwenye jamii. Hii inahusisha ndugu wa damu, ndugu wa familia au ukoo na hata baba na...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wasabato, hizi sanamu za kazi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Niwatakie Usiku mwema "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia" Kutoka 20:4
  14. JamiiForums Tanzania Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

    Habari zenu watu wa mapenzi. Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani. Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then...
  15. JamiiForums Tanzania Ni chuo gani hapa Tanzania huwezi mshauri ndugu yako asome hata iweje?.

    Wakuu ni chuo gani uliwahi kusoma ila baada ya kuwa pale na kupita ukagundua ni heri ungegundua mapema usingelienda kusoma pale? 🤣
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI ndio aliyetoa amri ndugu zetu wa NGORONGORO wahamishwe bila ya utaratibu Maluku, waziri awajibishwe

    Moja ya viongozi wa hovyo kabisa ni huyu waziri wa TAMISEMI, kwanza sijawahi kumuelewa huyu jamaa capacity na uwezo wake. hapo alipo.? Hawa watu walipaswa kuwa wapiga madufu. Unfortunately wameingia kwenye ofisi za Umma wakidhan kwamba kila kitu ni maagizo Mkwe anakuaje waziri wako...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shime ndugu Watanzania, twendeni tukajiandikishe Kwa ajili ya uchaguzi wa 2025

    Salaam ,shalom!! Tayari zoezi la kuboresha taarifa katika daftari la wapiga kura limeanza, tujitokeze Kwa wingi maana mbeleni hutopata fursa hii adhimu. Haya mambo ya Tindo kugomea kupiga kura Kisha unawatuhumu chama kile kuiba kura Ukiwa nyuma ya keyboard, tuachane nayo. Mungu ibariki Nchi...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mgogoro wa Ngorongoro maana mbuga ni muhimu haiwezi kuhamishwa Ila ndugu zetu nao muhimu pia

    Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mauaji Asimwe: Marufuku kutaja majina ya mashahidi, ndugu zao

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba imelikubali ombi la Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) la kuzuia kutumika kwa majina na taarifa za mashahidi katika kesi ya mauaji ya moto mwenye albino, Asimwe Novath. Uamuzi huo wa Mahakama unatokana na maombi ya DPP kupitia maombi ya jinai namba 23143 ya...
  20. JamiiForums Tanzania Jamii ihamasike kupeleka misaada ya kibinadamu Ngorongoro ikiwemo chakula, maji na madawa! NGOs na watu binafsi tuanze sasa, wamasai ni ndugu zetu…

    Niende kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zetu Wamasai kwa sasa hofu imetanda; hawalali usingizi tena, hawajui nini kitatokea. Katika hali hiyo, wanalala wima kwa sababu ya hali ya sintofahamu inayowakabili. Nadhani hawalali usingizi tena. Tuhamasishane kupeleka misaada ya chakula, maji, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…