Kuweka stori iwe fupi ni kwamba ndugu huyu alijiingiza kwenye kununua mali iliyotumika pasipo mkataba wala risiti, kanasa kwenye tundu hapo juzi na kiasi kilichohitajika ili achomoke ni milioni 1.
Ana marafiki wengi lakini kwenye hili tatizo wameingia mitini ni wawili tu ndio wamechangia cha...
Tanga. Familia ya Richard Walalaze, ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Arusha aliyedaiwa kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofani, imesema haiamini kama kweli alijirusha.
Imeeleza inatia shaka tukio la kifo cha ndugu yao baada ya kuuona mwili wake katika chumba cha kuhifadhia maiti...
Mtoto James Januari (4) aliyejeruhiwa katika tukio la mauaji ya watu sita wa familia moja yaliyotokea kwenye Kijiji cha Kiganza, Halmashauri ya Wilaya Kigoma amefariki usiku wa kuamkia leo Julai 5, 2022.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa Kigoma Maweni, Dkt. Stanley Binagi amethibitisha kifo...
Baada ya wazazi wake kumkataa binti ambaye alikuwa ana mipango ya kumuoa kwa sababu wazazi wanazozijua wenyewe.
Jamaa yangu sasa anakaribia kuoa kimya kimya bila wazazi na wala ndugu zake kuwashirikisha wala hawajui chochote kama anaowa na amefanya hivi sababu wazazi wake wamekuwa kikwazo...
Mzee pole sana lakini chukua tahadhari hususani magonjwa ya corona uraiani yanatisha
Mshukuru Mungu kwa kukuondoa mahabusu kimya kimya usifanye sherehe
Tenga mda wako ujitenge na wageni wenye huruma za kinafiki ikiwezekana.
Fanya kama lowassa, Jiepushe na vurugu za siasa wala usicoment chochote...
Mtoto wa nyoka ni nyoka sio kauli inayoingia kila mahala. Maana baba wa mvuta bangi sio mvuta bangi labda mpaka nae awe mvutaji.
Kitendo cha kulaumu wazazi wa marehemu Hamza kuwa walizaa balaa kwa taifa letu sio kizuri maana hakuna mzazi anayeweza kuzaa mtoto alafu akaomba Mungu aje kuwa...
Kunae demu nimejuana naye kwa miezi 6 sasa, kiufupi ni Mwanamke wangu na mahusiano yetu yanaenda poa kabisa.
Yeye ni mtu wa Arusha but anaishi Dar kwa ndugu zake, Majuzi kati kulitokea kutokuelewana yeye na ndugu zake hali inayomfanya asiishi kwa amani.
Binafsi sitaki kuingilia ugomvi wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.