Kauli ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuwataka viongozi wa kuchaguliwa kujipima kabla ya kugombea tena nafasi hizo katika chaguzi zijazo ili kuepuka aibu ya kushindwa, imewaibua viongozi wa siasa.
Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Kongwa (CCM), alisema yeye hatagombea tena nafasi hiyo...