ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndoto ya JPM mwezi mmoja kabla hajafariki.

    Akitokea Kijijini Chato akapita Dodoma,akamwapisha Jaji mmoja aliyetoa hukumu kwa lugha ya kiswahili,ndani ya wiki mbili ndani ya Ikulu ya Dodoma akaota ndoto,kwa kiingereza wanasema "nightmare" kesho yake wakiwa jogging na mkewe,akamuhadhithia ile ndoto akamwambia,"Mwenzio Jana usiku nimeota...
  2. JamiiForums Tanzania Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

    "Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini". "Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate mwanaume yeyote ili mradi TU awe anapumua" - Muigizaji Johari Chanzo: EATV
  3. JamiiForums Tanzania Ndoto Yake Iko Nje Ya Uwezo Wangu.

    Mi ni mtu wa kipato cha Kati, nimewaza saidia Vijana kadhaa, Mmoja aliosoma DMI. Na alipo maliza Chuo tulipambana kumtafutia kazi. Mambo yakawa Heri akapata kazi Sasa Yuko kijana yeye alimaliza form 4 na Ana Division 3, Toka nimemfahamu kwa siku ya kwanza ktk hizi Familia Zetu za kawaida...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: CHADEMA imeua ndoto za waliotaka kugombea, mpaka 2030 sina uhakika kama tutakuwepo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, John Mrema amesema kuwa CHADEMA imeua ndoto za wanachama wengi waliotaka kugombea kwenye Uchaguzi ba kuongeza kuwa hana uhakika kuwa kama chama hicho kitakuwepo hadi kufikia mwaka 2030 "Jambo la pili ni chama chetu kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi na...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoto nyevu yenye utata, na damu halisi

    Habari za muda huu mwana JF? Natumaini siku yako iko poa kabisa. Leo kuna ndoto umempata rafiki yangu ambaye mara kadhaa huwa akinieleza kuhusu baadhi ya ndoto zake ambazo huwa zinamshinda kuzielewa. Iko hivi: Leo usiku muda wa saa 9 usiku kuelekea saa 10, ameota ndoto akifanya mapenzi na...
  6. JamiiForums Tanzania Ndoto ya CCM ni kuona kila Mtanzania anakuwa Mjinga

  7. JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii?

    Mwenye kuelewa maana ya ndoto hii na anipe tafsiri. Tulikuwa tuna kampeni za uchaguzi mkuu, Mimi nilikuwa Mfuasi wa Chama Fulani Cha upinzani lakini nilikodiwa kufanya kampeni kwenye chama kinachotetea kiti. Mgombea wa Chama kilichonikodi ni mama,naye alikuja kwenye kampeni hizo Kwa malengo...
  8. JamiiForums Tanzania Katika mstari wa leo, Maisha yakiwa ndoto ya kudra na historia, je, ni nani atauvunja ukuta ili tuweze kuona mbele?

    Bila shaka wote mko vizuri wakuu… Okay, kuna watu husema wako na full control ya maisha yao lakini in reality hakuna mtu ambae ako na full control ya maisha yake kwa maana maisha yamegawanyika katika mafungu manne, na kwenye hayo mafungu manne ni fungu moja tu ndio ambalo mtu anaweza...
  9. JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atastawi kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa

    Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atakua kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa Baada ya kutoa kauli hiyo walimwengu wameenda mbali na kusema kuwa wanaelewa anachomaanisha, wanasema kuwa anamaanisha hivi sasa yupo kwenye shamba la AK baada ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kama nafsi/roho huendelea kuishi baada ya kifo, Ndoto yangu niufahamu ukweli kuhusu ulimwengu

    Kama baada ya kifo nafsi/roho huendelea kuishi na kupata fursa ya kuonana na muumbaji wa ulimwengu, basi ndoto yangu na ombi langu kuu mbele ya muumbaji ni kupata fursa ya tour. Yaani deep time travel tour back in time miaka bilioni 15 iliyopita, nishuhudie nini kilikuwepo kabla ya Big bang...
  11. JamiiForums Tanzania Ivi ukiota mwanaume usiemjua anakubusu mdomoni kwenye ndoto ina maana gani?

    Haya swali ndio hilo Leo jumapili mnijibu basi Msije sema spiritual husband maana hamnaga hicho kitu, Mungu hajaweka hivyo
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini masikini ndio wanaoota ndoto za ajabu na makorokoro mengi?

    Sijawah kusikia tajiri kasema ameota amerudi kwa bibi kula kisamvu kilichonganywa na togwa😂😂 Wala haujarogwa, ni akili yako ina reflect tabu zako za maisha yako asilia😂😂
  13. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe tulikotoka, Wasabato Masalia na ndoto ya kwenda kumhubiri Papa Aache 666 na afuate ibada za Jumamosi

    "Wasabato Masalia"....Hawa siku hiyo waliamka Asubuhi na Mission Moja hivi"Kuihubiri Injili Ulimwenguni Pote", wakaenda kupiga kambi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar-es-salaam, wakisubiri safari yao ya kimiujiza kwenda kuhubiri neno la Bwana kule Iraq na penginepo Duniani hii...
  14. JamiiForums Tanzania SIJAJUA NAWAZA, AU NAFIKIRIA AU NI NDOTO KWAMBA KWA TANZANIA INGEKUAJE KWA MFANO'

    Kwa miaka miwili ya IBRAHIM TRAORE aliyoifanyia Bukinabe, vitu ambavyo dunia nzima inaviona, kwa wananchi wake ndio usiseme. Kwa hiki chama chetu nadhani wangevua na mashati kwa sababu wako talented kwenye nyimbo za mapambio Anakuja kiongozi mkubwa kabisa hii miaka minne haijawahi kutokea, kule...
  15. JamiiForums Tanzania Ndoto ya usiku wa leo imenitisha, msaada kwa anayejua tafsiri au maana

    Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru. Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi...
  16. JamiiForums Tanzania Kutafuta Kazi ya Ndoto: Kupenda Ulichosomea au Kuendana na Soko?

    Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au unafuata kile ambacho kinalipa? 🤔 Team "Nifanye Kazi Ninayoipenda" ❤️ Kuna watu wanaamini kabisa...
  17. JamiiForums Tanzania Chonga furniture ya ndoto yako na KIJIJI DESIGN na ulipe kidogo kidogo

    Sasa unaweza kuchonga furniture ya ndoto yako na ulipie kidogo kidogo kupitia group letu la M KOBA. Tunapatikana Arusha, Unga Ltd, Milano INN KWa maelezo zaidi au unataka kujiunga na program ya kulipa kidogo kidogo wasiliana nasi: 0652 278 840 Tunatuma: Dar, Moshi, Babati, Mirerani, Singida...
  18. JamiiForums Tanzania Hiki chakula kimeua ndoto za mabinti wengi sana

    katika vyakula vilioondoka na ndoto za mabinti wengi ni hiki. Muunganiko wake labda pamoja na mitinda nyeusi vinatosha kuondoka na ndoto za binti mmoja mmjinga. Tafakari chukua hatua. Fundisha mtoto wako wakike aache ushamba wa tumbo
  19. JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto ya kurudi shule

    Habari wakuu Kuota ndoto upo shuleni unazunguka eneo la shule pasipokuingia darasani huku unapishana na makundi ya wanafunzi wameondolewa madarasani kwa kukosa hada wamejitenga pembeni wanajisomea wakati eneo lote la shule likiwa na ulinzi mkali wa askari. Hii ndoto inamaana gani??? N:B Hali...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi ndoto zitakuwa na maana gani?

    Wakuu twende kwenye point 👉 iko hivi mara nyingi mimi huwa naota nipo shule yaani O-level, unakuta hata shule tuliyopo no ya Msingi lakini wanafunzi tuliyopo hapo ni wale niliyosoma nao sekondari na hii hutokea mara nyingi tu hata muda mwingine shule inaweza kuwa tofauti, lakini watu niliosoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…