Katika historia ya ndondi, mechi ndefu zaidi ilikwenda raundi 110, iliyochukua zaidi ya masaa 7. Andy Bowen na Jack Burke, miamba miwili ya ndondi
Wawili hap , walipigania taji la ubingwa mnamo Aprili 6, 1893, huko New Orleans. Kuanzia katikati ya usiku , mapigano yaliendelea hadi asubuhi...