ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanesco sasa mnaleta matangazo pika kwa umeme unit ndogo mumeshindwa kupunguza bei za unit na kuboresha umeme.

    Sio mpenzi sana wa TV ,Leo tarehe 2 nipo nyumbani nikaona niangalie habari ITV. Sasa naona tangazo la Tanesco linaitwa pika kwa umeme,Yani wanajisifu majiko yana tumia unit ndogo yana uzwa tanesco. Ina maana Tanesco wameshindwa kutatua shida za umeme kufanya umeme kununulika kwa unit ndogo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wadada tu: Kwenye mahusiano, mnapendelea kubwa au ndogo? Na kwanini?

    Kwa wanaume, wao wanapenda inayobana. Na sababu ni kupata msuguano wa kutosha. Msuguano ukiwa mkubwa na raha inakuwa kubwa. Mambo ya umbo na.8, rangi ya mtume, makalio makubwa na kissable lips ni kama tomato sauce tu kwenye chips. Yaani haya huwa yanavutia macho na hivyo kuongeza hamasa na hamu...
  3. JamiiForums Tanzania Kutoka Ikulu ndogo ya Chato mpaka Ikulu ndogo ya Tunguu

    Siku hizi Rais Samia anaenda Ikulu ya Chamwino iliyopi Dodoma mara moja kama kupokea wageni na kurudi zake siku hiyohiyo Ikulu ndogo Tunguu iliyopo Zanzibar. Zamani sio sana tulikuwa na Ikulu ndogo ya Chato, bwana yule angeweza kukaa kule hata zaidi ya mwezi na hata nyakati fulani alimuapisha...
  4. JamiiForums Tanzania Ukitaka kufahamu kuwa wazee wa maandamano wana akili ndogo kasikilize " space " na "live " zao wakipanga mipango ya maandamano.

    Jana nilisikia space ya Maria , insta live ya Nuru vazi na za TikTok nasikilizaga. Nikichogundua kuwa wako very disorganized yaani hakuna kiongozi watu wanaongea hovyo mpaka wengine wanagombana kabisa. Kuna kundi Wanataka maandamano ya Amani mabango bila fujo huku wengine wakitaka wasipangiwe...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  6. JamiiForums Tanzania Nguvu kubwa haiondolewi na nguvu ndogo; hiyo ndio maana halisi ya Dola

    Hamjambo! 1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi. 2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles Darwin au Bwana Lameck. Kwa Wahenga wanasema Mwenye nguvu mpishe. 3. Nguvu ndogo haiwezi kuondoa nguvu...
  7. JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV4 kilitime, engine ndogo iko sokoni

    Kwa cash au mkopo karibu Bei/Price TSH 34.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA RAV4 Year: 2000 Engine: 1,790Cc Mileage: 50,000+ Transmission: AUTO Rear Spoiler Alloy Wheels 2-SRS Airbags 100% Duty Paid Free Registration Swap Deals Allowed
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya viongozi wa dini Elimu zao ni ndogo?

    Awamu hii nimejiona ufinyu wa akili za baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu, ufahamu na uelewa wao ni tatizo kubwa kwa watu ambao wanawaongoza; kwamba RAISI akiwa Muislamu, akifanya makosa asielezwe kwa kigezo cha dini? WAKRISTO hawajaanza kukosoa leo, TUNDU LISU alipigwa risasi kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Kupuuza maoni ya Wananchi Mtandaoni: Hatua ndogo inayoweza kuigharimu Taifa kubwa

    Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyochapishwa Julai 2025 inaonyesha kuwa idadi ya watumiaji wa intaneti nchini imefikia milioni 54 kufikia robo ya nne ya Mwaka wa Fedha 2024/2025, hilo ni ongezeko kubwa kutoka milioni 29, Mwaka 2020. Katika kipindi cha miaka minne hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Car Service Episode 3/10: Power Steering Fluid na Differential Fluid kuzibadirisha ni bei ndogo ila ni muhimu sana!

    Power Steering Fluid na Differential Fluid zipo kwenye kundi la fluids ambazo uwa zinapotezewa sana wakati wa kufanya service, ilihali gharama zake ni ndogo kuzidi ata faini moja ya trafiki. POWER STEERING FLUID Power steering fluid inasaidis pampu ya steering kufanya kazi vizuri, kwa kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Tesla ni kama iPhone. Wanawaibia wateja wao kwa updates ndogo ndogo kila toleo jipya na kuongeza bei!

    Inaonekana Wamarekani na kuwaibia wateja ni kitu cha kawaida. Tesla wanataka kuzindua new Model Y ili week, wenyewe wanaiita Striped Model Y kwamba imeondolewa baadhi ya features na kuuzwa bei nafuu, ila sio nafuu kuliko Model 3. Hawa jamaa naona kabisa wanaleta utapeli. Kuanzia updates ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani nyingine kubwa imewahi kutawaliwa na nchi ndogo hapa Afrika?

    Ukiacha li nchi hili tunalolijua ambalo lina watu milioni sabini lakini linatawaliwa na kanchi kenye watu milioni 2 nanusu! Nchi hilo ambalo limejaa wajinga wengi, yani tofauti ya msomi na asiesoma tofauti yao ni makaratasi tu. Kubwa jinga ambalo kwake gharama za matibabu na nishati ni ghali...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
  14. JamiiForums Tanzania Angola ni nchi ya tatu kuzalisha crude oil kwa Africa ila wana refinery moja na nyingine ndogo sana

    Africa ni bara lisiloishiwa na maajabu nchi kama Angola ni ya tatu kwa kuzalisha lakini cha ajabu wana-cude oil refinery moja na nyingine ndogo sana kwa maana hiyo crude oil inayochimbwa Angola kwa asilimia kubwa haishafishwi au kuongezewa thaman ndani ya nchi Angola wakihitaji diesel, petrol...
  15. JamiiForums Tanzania Yajue haya kuhusu watanzania kabla hujawatetea na kuwapigania

    Sabato Njema! Najua Watanzania wengi hawapendi ukweli na hili likiwa mojawapo. Kabla hujawatetea Watanzania ni vizuri kuwajua vizuri kuwa ni watu wa aina gani. Kisaikolojia, kitamaduni, na kisosholojia; 1. Watanzania wengi ni wanafiki. Sio wakweli. Waongo waongo. Rahisi kukugeuka na...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Kutoa shahawa mwisho wa haja ndogo

    Habari Wana JF Naomba anaefahamu hilitatizo linasababishwa na nn aniambie Kwani kunawakati nikienda haja ndogo kujisaidia wakati namaliza zinatoka shahawa naomba msaada
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Uzi wa home appliances ndogo ndogo kama pasi, Cookers,a ir fryer, rice cookers, na vingine

    Tupo kariakoo ndanda na muhonda Tunauza kwa bei nafuu sana, Kama upo Dar utaletewa mzigo wako ndipo ulipie Whatsapp 0614228735 Kama unahitaji tv brands yoyote zipo Kama unahitaji subwoofer, Sound bar, speaker na mdundo wa aina yoyote ile bonyeza pia zipo Friji na friza ni pia zipo
  18. JamiiForums Tanzania Cloud ni Silaha Mpya ya Biashara Ndogo Ndogo

    Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi. Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️ — - 1. Cloud sio kwa makampuni makubwa tu Wengi wanafikiri Cloud ni kwa Google, Amazon na kampuni kubwa. Lakini ukweli ni kwamba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Pump ndogo za kupulizia dawa mabandani na mashambani bei 10,000/=tu lita 4

    ✅ CHUPA ZA KUPULIZIA DAWA MABANDANI BEI 10,000/=Tsh Lita 4.5. (Offer) Tunauza sprayer bora na imara kwa ajili ya: ✔ Kupulizia dawa za kuua wadudu na kuzuia magonjwa ✔ Kunyunyizia maji mabandani ✔ Kutumika kwenye bustani na shambani pia Call 0656 446 991 0774 608 608 Dar es salaam tegeta kwa...
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Hazina ndogo dar es salaam

    Habari za muda huu ,kwa yoyote anayejua ofisi ndogo ya hazina mkoa wa dar es salaam aniambie hipo maeneo gan
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…