ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

    Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza. Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza...
  2. JamiiForums Tanzania Haya mambo ya ndoa hapana aisee anakununia siku nzima afu asubuhi unatakiwa umuachie matumizi

    Mke anakununia siku nzima yaani hataki kuongea na wewe kabisa afu asubuhi niache matumizi wakati ameninunia
  3. JamiiForums Tanzania Naona ndoa siku hizi zimepungua sana

    Habari wakubwa naona siku hizi ndoa zimepungua sana hata ile michango ya harusi ilikuwa kama ni lazima wakati ni hiyari ukiangalia pia vijana wana left group na wanazidi kupunguza idadi changamoto kubwa ni ipi hasa Au ndoa imekuwa biashara Au wanawake wanawekeza kwenye ndoa ili baadae mje...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndoa ya Ali Kamwe yaota mbawa

    Alikamwe amekaa kushabikia timu yake huku akisahau wajibu wake kwa mkewe bwana alikamwe anadai kuwa mkewe alimcheat Ndoa sio kitu cha kukimbilia hovyohovyo ndoa hata miezi 3 haijaisha Au mwanetu hapigi vizuri maana ad mke kaamua kumcheat maana ake alikamwe hajui kuipiga vizuvizuri nini...
  5. JamiiForums Tanzania Wahuni si watu wazuri wamemharibia ndoa Ally Kamwe

    Aaaargh watu wana maana? Hamna kitu. Dogo anashindwa vitu vidogo tu watu hata ndoa haijafika mwaka tayari... Dogo anashinda analia tu wana wana mbembeleza. Katoa talaka 3 kaona hazitoshi Tulimwambia dogo kwanza ajaribu kukaza misuli awe sawa.na kisha aoe kilmya kimyA tu mwanamke asiwe wa mjini...
  6. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Tiras Muange na Phyllis Mutisya kimeumana, Usaliti madhabauni

    Katika ulimwengu wa muziki wa Injili ndani ya Afrika ya Mashariki, jina la Phyllis Mutisya limekuwa likihusishwa na sauti tamu ya kumwinua mtu kiroho pale madhabauni. Mwanamama ambaye amekuwa akitoa huduma yake takatifu ya uimbaji na kumsifu Mungu. Lakini hivi karibuni katika siku hizi tatu...
  7. JamiiForums Tanzania Endapo ungejua kabla ya ndoa kuwa mpenzi wako hana uwezo wa kuzalisha / kuzaa watoto, bado ungemuoa au kuolewa naye?

    Kuna kesi ya kusuluhisha tumeletewa ya mwanaume ambaye alijua hana uwezo wa kuzalisha kumuoa mkewe bila kumwambia kwamba hana uwezo wa kumpa mmba. Sasa hivi ndoa ina miaka 3, mke alienda hospitali kwa ajili ya uchunguzi akakutwa hana shida yoyote, akaanza kukazia mumewe naye aende hospitali...
  8. JamiiForums Tanzania Mjane apigwa butwaa baada ya kuona watoto wa nje ya ndoa wa mme wake wakitambulishwa na ndg!

    Ni huko ukweni kwangu jtano hii wiki iliyopita wife alienda msibani wa baba yake mdogo mimi sikwenda. Huyu marehemu alikuwa na mke mmoja wa ndoa ambae wamebahatika kuzaa watoto 2 tu kisha mwanamke akafunga uzazi. Maisha hayakuwa mabaya na si mazuri sana au si mabaya sana kiuchumi ni ya kati(...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Oa kulingana na mazingira: Vijana wengi waliowaleta mabinti wa vijijini waishi nao DAR wamejifunza kwa uchungu

    Kuna watu huwa wanachukua risk kubwa sana 😂 Binti kisu haswaa unamtoa huko kijijini unamleta town DSM,
  10. JamiiForums Tanzania Unambiwa wana ndoa hawa walienda mahakamani ili kupeana talaka lakini hakimu aliwafukuaza

    Haileweki kwa nini hakimu hakutaka hata kusikiliza upande mmoja . Wee unadhani shida ilikuwa nini
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Kabati: Rais umetibu ndoa zetu

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kilolo, Ritta Kabati, amesema utekelezaji wa sera ya Rais Samia Suluhu ya kumtua mama ndoo kichwani, umechangia kuokoa ndoa nyingi, baada ya serikali kufanikisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi.
  12. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

    Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
  13. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ile ndoa ni Kesho wakuu...

    Hi guys.. Hope mko poa na Mambo yenu yanaenda vizuri, Kwa ambao mko na changamoto Allah awafanyie wepesi insha'Allah kila kitu kitakua sawa Nimeleta Mrejesho wa Thread 'Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo' Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo Juzi watu wamesherehekea Send...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anatokwa damu kila tukifanya tendo la ndoa

    habari zenu,,, naombeni ushauri wenu wataramu wa afya,, yapata mwezi sasa tangu nianze kuishi nae rasimi kama wana ndoa. amekua akitokwa na damu ukeni kila ninapo shiriki nae tendo la ndoa mwanzozi nilidhani itakuwa ameingia period pasipo kujua na nilipo muuliza alidai nayeye anawaza kama...
  15. JamiiForums Tanzania Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kwa mwanamke huimarisha afya yake

    Mwanamke asiposhiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu anaweza kukumbana na mabadiliko ya kimwili kama vile ukavu wa uke, kupungua kwa uimara wa sakafu ya fupanyonga, na kupungua kwa ulainishaji asilia, na mabadiliko ya kihisia kama vile kuongezeka kwa mfadhaiko, hasira, wasiwasi, upweke, na...
  16. JamiiForums Tanzania Kugusana gusana kwa wanandoa sio kwa tendo la ndoa pekee

    Baadhi ya wanandoa hutomasana pale tu wanapotaka kufanya tendo la ndoa. Huo sio upendo bali ni shughuli. Upendo wa kweli huambatana na kushikana shikana mikono bila sababu na hukumbatiana kwa sababu tu. Mguse mpenzi wako - bila sababu. Mdada, mkalie kwenye mapaja huyo mubaba wako mkiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watoto wa mke mdogo, watoto wa kambo na watoto wa nje ya ndoa huwa wana visa na nongwa sana?

    Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo. Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa? Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa mamdogo? BASTARD CHILD.🚮
  18. JamiiForums Tanzania Wana ndoa wengi wanajiongelesha wenyewe barabarani shida ni nini?

    Umeshawahi kujiuliza Wimbi la watanzania wengi kuongea wenyewe barabarani linaongezeka Mbaya wengine unakuta anqchezesha mpaka mikono kama anaongoza magari kwenye traffickligjt aisee Kila anaejiongelesha mwenyewe njiani kama sio chizi basi ni mmoja wa wanandoa Nawaza nini shida kwenye ndoa...
  19. JamiiForums Tanzania Hawara pamoja na kusaidia ndoa zetu kusimama, mjipange na hukumu nzito siku ya mwisho

    RIP MWAMBA.BR WILLY CONT RIP POPOTE ULIPO Ulikuwa kaka mwema Mume mwema kwa familia yako Lakini pesa ilipochanganya ukaanza kuchanganya madesa wa mahawar Ukujua wengine wana maroho ya mauti hatimae ukaishia kuchomeka na hawara yako kwenye gari.... Ni mwaka 2019 ma best nrda alikuwa ameanza...
  20. JamiiForums Tanzania Ongezeko la talaka, ukatili na Migogoro kwenye ndoa Tanzania!

    Migogoro ya Ndoa na Ukatili wa Ndani Mialiko ya kesi za ndoa kwa huduma za ustawi (social welfare) Tafiti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, na Makundi Maalum ilionyesha kuwa hadi Aprili 2025, shughuli za ndoa zilizohusisha migogoro zilizofikishwa kwa huduma za ustawi zilifikia 97,234...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…