ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini tunachaguana wenyewe kwa kupendana lakini ndoa zetu hazidumu?

    Jpili iliyoisha nilihudhuria sherehe ya ndoa ya kutimiza miaka44,ktk ufunguz wa sherehe waliweka clip iliyorekod wanandoa wakisimulia namna ya ndoa yao ilivyoanza na nadhan walitumia njia ya kurekod labda kwa vile walishindwa kuhadithia moja kwa moja mbele ya hadhira. Ktk simuliz yao Mzee...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kitanzania wana tabia zipi kwenye ndoa?

    Mimi ni Mkenya na niko na jamaa wameoa mabinti toka Tanzania. Nimependezwa sana na ukarimu na unyenyekevu wao. Wanawake wengi huku Kenya ni Magaidi, kiburi, wanapenda kushindana na wanaume kwa ndoa na wanajifanya wazungu kuliko hata wazungu wenyewe, ukijaribu kujadiliana nao wanaforce accent...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika sababu wanawake wamesahau kuwa mwanaume ameumbwa kuheshimiwa

    Heshima ya kila namna anahitaji mwanaume. Kuanzia kupikiwa na kuandaliwa chakula mpaka kupewa unyumba. Mwanaume anataka heshima. Sio dharau na kiburi kwa namna yoyote. Ndio maana mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika.
  4. JamiiForums Tanzania Ndoa za bomani: sheria ya kumwomba mke mtarajiwa atoe idhini ndoa imruhusu mwaaume kuongeza mke au isimruhusu irekebishwe

    kuna wanaokimbilia ndoa za bomani wakidhani watakuja kuongeza mke lakini hali huwa tofaui Kile cheti kina sehemu ya ku-tick au kuchagua kuwa ndoa yenu ni ya aina gani. Kuna ya mke mmoja na wake wengi lakini mwanamke inabidi atoe ruhusa kwa ridhaa yake kuruhusu ndoa awepo pekeyake ama kumruhusu...
  5. JamiiForums Tanzania Kuwasifia Nandy & Billnas kupeana mimba nje ya ndoa ni ukosefu wa maadili

    Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda muhimu za kitaifa. Picha na video chafu zimekuwa na thamani kuliko mambo mengi yenye tija mitandaoni...
  6. JamiiForums Tanzania Siku ya usiku wa mateso

    Nisiwachoshe na masalamu.....ilikua ni siku ya jumanne ambayo ilitakiwa tusafili kifamilia kwenda huko kukutana na wanafamilia wengine(ukoo). Basi hapa nyumba naishi na ant wa mke wangu huyu ni binti kachanua hatari kanona haswa halafu ndio vile kapo kwenye umri wa miaka 20. Na kapo Moto balaa...
  7. JamiiForums Tanzania Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

    Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani. Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
  8. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa wanawake wanaingia katika mahusiano na ndoa kutafuta unafuu wa maisha

    Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha. Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani ingewafanya binadamu na wanyama wengine kujamiina endapo tendo la ndoa lisingekuwa na ladha iliyomo sasa?

    Kulingana na ukweli kuwa iko starehe katika kufanya tendo la ndoa na ni starehe hiyo huwafanya binadamu na viumbe wengine kukimbizana usiku & mchana kusaka mbususu Je ni mbinu gani angeitumia muumba kuwafanya binadamu & viumbe wengine kungonoka endapo kusingekuwa na starehe yoyote kama ilivyo sasa
  10. JamiiForums Tanzania Mnafanya kosa kubwa kufanya hivi katika ndoa na kwingineko. Hii haikuwa imepangwa kuwa hivi. Tuna force tu na haya ndo matokeo yake

    Style ambayo tuliumbiwa kufanya mapenzi ni missionary position tu. a.k.a kifo cha mende. Hii ndo ukiangalia maumbile yetu ndo yalitengenezwa kwa ajili ya style hiyo. We angalia tu....imagine mwenyewe. Na wanawake wengi wanafurahia hii kuliko nyingine yoyote. Uliza wakuambie. Hizo za doggie...
  11. JamiiForums Tanzania Kungekuwa na sheria ya "kila mwanamke aolewe na mwanaume aliyemkata utepe"

    Wapendwa naleta uzi huu mbele yenu kwa sababu mimi ni miongoni mwa wanaume wachache kama siyo wengi, waliyowahi kupata fursa ya kukata utepe! Binafsi nimewahi pata bahati ya kukata utepe/kubikiri wasichana 7 mwaishani mwangu. Kwa sasa nikiwa na umri wa 40+ nilishastaafu kufanya hayo mambo na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayoendana wakioana na ndoa ikadumu

    Sina maana ya ukabila ila elimu ndogo kwenye mambo ya mahusiano unapaswa kuzingatia. kuna baadhi ya makabila yakioana ndoa huwa n a furaha na kudumu zaidi. Hii inatokana na utamaduni na dini/imani wengi wa kabila fulani kuwa na vitu ambayo vinafanya mtu wa kabila lingine kufurahishwa nao...
  13. JamiiForums Tanzania Vile tunanuniwa tukikosa hela ya 'Diapers'

  14. JamiiForums Tanzania Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

    Tumechoka kusikia kila siku mume kauwa mke, ukifuatilia source za haya mauwaji ni wivu wa kimapenzi fumanizi na kazilika. Watiini waume zenu si uliapa mwenyewe kuwa utamtii sasa ukaidi wa nini? Mmekuwa wabishi mnakoromena na waume zenu kisa mnadai sisi na nyie ni sawa hakuna kitu kama hicho...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima/umuhimu wa kufuatilia mienendo ya mke unaeishi nae mbali!?

    Salaaam kwenu wadau Kama mada inavyojieleza Uko na mke mmefunga ndoa na mna watoto Kutokana na sababu za kikazi ,inafikia hatua mnaishia mikoa tofauti, mke mkoa Z mume mkoa B. Mke yuko na watoto na mume Yeye anaishi mwenyewe. Siku za nyuma mawasiliano yanakua mazuri ,ila baada ya miaka kupita...
  16. JamiiForums Tanzania MSAADA: Kila siku naota ndoto nafanya mapenzi na wadada mbalimbali licha ya kuwa nimeoa

    Kila siku naota ndoto nafanya mapenzi na wadada mbalimbali naowafahamu, licha yq kuwa nimeoa mke mzuri tu na nafanya nae mapenzi mara 4 kwa wiki. Je, hii shida nini chanzo chake na matibabu yake ni yapi. Naomba kuwasilisha kwenu na mnisaidie.
  17. JamiiForums Tanzania Hizi kesi za wanaume wa leo ni AIBU sana na hatari kwa jamii na fedhea katika ndoa

    Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako mke...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi kesi za wanaume wa leo ni aibu sana na hatari kwa jamii na fedhea katika ndoa

    Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada, Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako...
  19. JamiiForums Tanzania Idadi ya watoto ndani ya ndoa: Nani huamua?

    Habari. Miaka ya wazazi wetu mwanamke akiolewa ni kuzaa mpaka kizazi kiishe. Huku watoto wakipishana miaka miwili. Ndiyo maana si ajabu kuona familia zenye watoto nane, tisa mpaka kumi. Lakini Karne hii mambo ni tofauti. Wanawake hawataki kuzaa watoto wengi. Utasikia wawili wanatosha. Akienda...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaokimbilia Ndoa za Bomani ili kuoa zaidi ya mke moja, uhalisia ni tofauti, sheria zitakubana sana hautaweza kuongeza mke mpaka mkeo akubali

    Kwa watu hasa wakristo ambao ndoa ya dini zao huwaminya kubanana na wake zao mpaka kifo na wanatafuta mbadala wa kufunga ndoa kwa mataraajio ya kuongeza mke hapo mbeleni, huwa wanadhani ndoa ya serikali / bomani ndio mbadala. Uhalisia ni kwamba, ndoa ya bomani zipo za aina mbili, ya kwanza ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…