ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Ndoa yangu imetengenezwa mbinguni, nafurahia sana

    Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana. Usikatae ndoa, kataa wahuni wanaotaka ndoa. Na wish watoto wangu wa kiume wapate wake wenye sifa za mama yao, na...
  2. JamiiForums Tanzania Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

    Msanii Nguli, LUIZA MBUTU amedumu kwenye ndoa yapata miongo kadhaa sasa, Hana makeketofauti na wasanii wengi nchini. Tumeshuhudia ndoa za wasanii wengi kutokudumu ikiwemo Harmonize Vs Kajala, Wema Vs Jumbe, UWOYA Vs Ndikumana, Dogo janja vs Uwoya, **esma Vs petit, esma (Tena) Vs msizwa, Haji Vs...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dr. Abbasi amefunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM Mamy Baby.
  5. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Misaada na ndoa za jinsia moja

    KANISA la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jerusalem Temple, Soko Matola jijini Mbeya, limekemea ndoa za jinsia moja ambazo zimeanza kushamiri nchini. Kutokana na hali hiyo, kanisa hilo limeiomba serikali kutokukubali misaada inayotolewa kwa sharti la kuruhusu ndoa za aina hiyo ili kuendana na...
  6. JamiiForums Tanzania Jamii ibadili mtazamo wake kwa mabinti wasiopenda ndoa!

    Habari zenu, Nakumbuka niliwahi ona thread ikizungumzia kuwa mabinti wengi wanapenda harusi kuliko ndoa ndo maana wanaosuka mipango ya harusi asilimia kubwa ni wanawake. Ninavofikiri mimi ni kuwa maisha ya sasa ni tofauti na zamani. Zamani binti ukifkisha miaka 30 hujaolewa ilikuwa suala zito...
  7. JamiiForums Tanzania Kumnyenyekea mwenza wako siyo ubwege ni chachandu ya ndoa

    Mada ya leo inawagusa walio katika ndoa na wale wanaotarajia kuingia. Unapoingia kwenye ndoa kitu cha kwanza ni kufikiria jinsi ya kuilinda kwa gharama yoyote. Kuingia kwenye ndoa na kutoka baada ya muda mfupi ni kujitafutia gundu lisilo na sababu. Tunapogeukia suala la ulinzi wa ndoa yako...
  8. JamiiForums Tanzania Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

    Sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma. Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanapenda sana harusi kuliko ndoa yenyewe!

    Wanawake emu njooni hapa mtuambie kipi kinawafanya mpende sana shughuli/harusi kuliko ndoa yenyewe? Binafsi kuna wanawake kama 5 nishawashirikisha hili jambo, na nilikuwa nikiwaambia hivi langu "nataka nikuoe tufunge ndoa ila kusiwe na harusi hata ikiwepo iwe ya kifamilia tu, watu wasiwepo...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi za watu wa bara hazidumu ukilinganisha na ndoa nyingi za watu wa pwani

    Hamjambo! Sijui kwanini watu wa ndoa nyingi za watu wa bara hazidumu ukilinganisha na Ndoa nyingi za watu wa pwani sijajua shida ni nini aisee tafadhali labda watu wa bara mnaweza kunisaidia. Bara Kuna Idadi kubwa ya watu wanaochana ukilinganisha na watu pwani hii nahisi watu wa bara au...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa na mahusiano ya kimapenzi siyo mambo ya lazima kutekelezwa

    Karibuni nyote wanachama wa jukwaa hili. Kuna mambo makuu mawili ambayo ningependa kuzungumza pamoja nanyi wanachama wa jukwaa hili yahusuyo Ndoa & Mahusiano ya kimapenzi. Jambo la msingi hasa ambalo ningependa kuligusia ni kuhusu ukosefu wa fikra mpya na zilizo bora ndani ya jamii kupelekea...
  12. JamiiForums Tanzania Usuluhisho wa migogoro ya ndoa bora wapi, Baraza la Kata au Dawati la Jinsia?

    Katika pitapita zangu kwenye idara, vyombo au taasisi zenye dhamana ya upatanisho wa migogoro ya wana ndoa, kwa tathimini ya haraka haraka na baadhi ya shuhuda kama Tano (5), nimejiridhisha pasi na shaka wala tashwishi yoyote ya kwamba Bora uwe na mke ukiwa na ugomvi nae aende kushtaki Baraza la...
  13. JamiiForums Tanzania Kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa ni dhambi?

    Na kama ni dhambi, ni nani alithibitisha hilo na alitumia vigezo vipi vya kisayansi? Wapo wanao amini ni dhambi, au wengine wanakuwa na hofu ya kuachwa, au wengine wanakuwa na ile hali ya kutokujiamini kwa kujiuliza, atanionaje baada ya kuona utupu wangu n.k. Kwa upande wangu nina ushuhuda wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wale tuliyowaacha wake zetu bila kuwapa talaka au kuvunja ndoa tujadili maendeleo yetu tafadhari

    Heheee hii Dunia ni raha sana, nilipata bahati ya kuoa mwanamke kimasihara tu mwaka 2019 nikiwa hapa Dodoma niliishi nae maeneo ya mjimpya,. Basi bwana nikawa na route nyingi za kwenda Kilosa, na Turiani huko kwenye kilimo Cha mpunga. Home naacha mazaga zaga yote gunia la mpunga safeti la...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ndoa kwa wanaowaza kuoa mke mmoja au kuoa mke zaidi ya mmoja. Uzoefu ni mwalimu mzuri

    Declaration of interest: ======== mleta mada hii ana wake watatu ambao ni marafikiri na wanashirikiana na kusaidiana kwa karibu sana. ======÷== Facts 15 kuhusu ndoa ukizitumia zitakusaidia. 1. Ndoa japo ya mke mmoja, kwa mwanaume ni kujivika majukumu. Kama haupendi majukumu usioe, kama...
  16. JamiiForums Tanzania Nini ufanye mkeo anapoanza vituko ndani ya ndoa?

    Kwa moyo wa dhati, naomba tulijadili hili kiutu uzima, huende tukaokoa maisha ya mtu mmoja.
  17. JamiiForums Tanzania USHAURI: Ndoa inaelekea kunishinda sina namna, naumia sana

    Habari Wanajamvi Leo naomba niwasilishe mkasa wangu unaonisibu hivi Sasa katika Maisha Yangu....Ndoa...Ndoa..Ndoaaa.. Baada ya kusaka Life Miaka 2 Nyuma na kujihakikishia Uwezo wa Kula kuvaa, Malazi, Starehe Nikiwa na Miaka 24 tu Nikaamua kumtafuta Mwenza wa Kujenga nae Life.. Nikampata binti...
  18. JamiiForums Tanzania Michelle Obama: Ndoa haina usawa wa 50/50, lazima mmoja akubali kujitoa

    Huyu ni mke wa Rais Mstaafu Barrack Obama! Huyu ni mwanamke mweusi aliyewahi kushika nafasi kubwa zaidi kisiasa hapa duniani, THE FIRST LADY OF USA. Lakini, pia ni msomi ambaye alibahatika kusoma vyuo vikubwa duniani kama Harvard University na Princeton. Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kauli inayoleta mfadhaiko kwenye ndoa

    "Niseme tu ukweli mme wangu, yaani toka tuoane huu ni mwaka wa pili sasa, sijawahi kufurahia tendo la ndoa kabisa. Ninafanya tu kukuridhisha lakini sifurahii kitu chochote". Ha! yaani hakuna lugha nzuri ya kuwasiliana kuhusu hili kweli, nyie wana ndoa.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Dream za baadhi ya wanawake ni kufanya sherehe/harusi kubwa na si kuishi maisha ya ndoa

    Unakuta dada anafunga ,anaomba apewe mume ,Mungu anampa mume baada ya ndoa anarudi kwa ex wake ,hapo ndipo unajua shida yake ilukuwa ni SHEREHE/HARUSI nae wamwone kaolewa na si MUME wala NDOA. Hapo utajua kuna wanawake wanaopenda SHEREHE/HARUSI ila hawapendi maisha ya NDOA wala mume,kwani anaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…