ndoa

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Bachelor ukirudi ghetto ni nini kinakupa Company?

    Ambao hamjaooa huwa mnafanya nini kuondoa upweke uwapo ghetto? Tiririka tupate maujuzi nasisi.... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dawa ya hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke....

    Habari Na gfriend wangu tumetokea kupendana sana kusex sanaaa Baadae akafanikiwa pata mtoto Sasa n mwaka wa 3 Ila ile hamu ya tendoo la ndoaa sijui kaenda nayo mtoto ama lah Mkikutanaaaa yaaan inaweza chukua dk 15 kumchezea weee ndio unaona hamu inamuingia Kama kuna dawa ya hamu ya tendo la...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mko kwenye mahusiano au ndoa, na kati yenu moja anachepuka, na ikagundulika, je unapaswa kudeal na mwenzi wako au yule wa nje anae chepuka nae?

    miongoni mwa changamoto kubwa kwenye mahusiano na ndoa nyingi kwa sasa ni kukosekana kwa uaminifu baina ya wahusika.. kuchepuka na michepuko limekua jambo la kawaida na ni chanzo cha migogoro na kusambaratika kwa chumba nyingi, mahusiano na ndoa nyingi sana, huku wanaoathirika zaidi ni watoto...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo lolote Kimantiki kwa Asiyeoa au Asiyeolewa Kukushauri mambo ya Maisha yako ya Ndoa na Changamoto unazozipata?

    Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata? Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Usipige kelele ndoa ngumu fanya fammy mapping utabeba mizigo isiobebeka aka misukule ya ukoo..

    NAHII SIO KWENYE NDOA TU HATA WEWE UNAETESEKA NA MAGONJWA MAISHA MAGUMU NENDA KAANGALIE CHUNGUZA WAZAZI WAKO BABU ZAKO WALIISHI MAISHA GANI WAPI WALIWAHI KUKOSEA TUBU KWA AJILI YAOOOO KUNA FAMILIA ZINATESEKA NA LAANA ZA UKOO MABABU KWA MABABU YAAN KWA SASA LABDA WANA VIZAZI VYA SABA HAKUNA WA...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kijana wa karne hii kufuata ushauri wa "wazee" katika ndoa au mahusiano?

    Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia maanani wazee walioishi karne hiyo kuhusiana na masuala ya ndoa au mahusiano?
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ndoa za wake wengi ni chaguo la mwanaume na kwa wanawake ni mila na suna ya imani na hulka ya wingi ndani ya nafsi za kike

    Habarini nyote na Amani iwe nanyi Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na halali ya kuoa wake wengi iwe kimila au katika dini na hata historia ya mitume wengi hata baba yetu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ikitimiza Miaka 20 nitasherekea 20th anniversary japo mimi si Mkrisitu

    Jamani wenzangu tuliomo kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 njooni tupongezane ndoa sio mchezo wa Simba na Yanga ndoa inahitaji mental maturity and stable income, hususani ukiamua kua na wake wawili, ndoa ya mke moja inatesa mno, nilianza ikanishinda. Nimebakiza miaka mitatu ni timize 20th...
  9. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni kipaji kama hauwezi achana nayo

    Jichunguze tabia zako kama unajijua huwezi kutulia na ndoa yako tuliza kizazi alasivyo tutakikata!. Unaoana ili iweje ukijua utamletea mwenzako balaa!,kama hicho kipaji huna jishughulishe navitu vyengine usihangaishe makomwe yawenzako. Mnaona halafu mnasumbua wazee kila siku vikao wanakosa...
  10. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kabla ya ndoa, kwanini mnatumia muda mrefu kuchunguzana?

    Mtu mnakaa miaka mpaka sita mara miezi saba!!.. kwanini..? hamuoni kama mnapoteza muda,mnachunguzana nini kwani kuna mtu ametokea sayari tofauti na hii..? au umeambiwa unaoana na alien..? Mnachunguzana tabia kwani kuna tabia gani usiyoijua hapa duniani..? kwani kuna tabia inayotoka nje ya hii...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa mchungaji ananitia majaribuni, ama kwa hakika vijana tukatae ndoa. Ndoa ni utapeli

    Hawa wanawake sijui wana shida gani!? Wakiwa hawajaolewa wanahangaika kwa manabii na waganga ili wapate ndoa. Ila wakishaolewa kutwa kuhangaika kurukaruka kutaka kugawa utamu wa ndoa kwa sisi mabachela. Imagine mke wa mchungaji, status zake ni makongamano na semina za kibiblia na neno la...
  12. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mambo wasiyoyapenda wanaume ndani ya ndoa

    1. MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima. 2. MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au anaduwaa; ujue hana jibu au anajisikia vibaya kuhusu jibu ambalo...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kitakachomfanya mwanamke malaya atulie kwenye ndoa yake ni dhiki pekee. Siku akiwa na uwezo wa kujinunulia angalau chupi ndoa itaanza kuzama

    Hello! Kama kawaida siachi kuwasanua wanaume wenzangu. Inaumiza sana kuoa malaya. Usithubutu kuoa malaya. Jana nilileta Uzi uutafute upate kumjua mwanamke malaya na ujinasue usije kuingia kwenye kimbwini ukamwoa. Kuna wanaume wanalaumu eeehh nimemfungulia duka sasa limekua anaanza jeuri. My...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa na familia

    Sehemu YA kwanza *(Uandishi wangu si mzuri sana) Jina langu ni Vintage1q. Nimezaliwa mwishoni mwa miaka YA themanini na kukulia ughaibuni kwa takribani miaka 12. Nimezaliwa katika familia YA hali YA chini kabisa na mimi nikiwa ndo mtoto wa kwanza wa kiume. Kukulia na kuishi ughaibuni kwa miaka...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wazazi Masikini ni chanzo cha migogoro mingi kwenye ndoa za watoto wao.

    Umaskini ni fedheha. Umaskini ni jambo la kupambana nalo kufa na kupona. Fanya ufanyavyo usiwe maskini. Umaskini huambatana na mambo mengi sana ya hovyo. Mtu mwenye njaa ana sura mbaya na roho mbaya. Sijui kwa enzi za mababu zetu ila maskini wa leo hii ni ngumu mno kuiona pepo. HAIWEZEKANI...
  16. Girland

    JamiiForums Tanzania Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

    Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane! Umewahi kuona mgombea urais asiye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hafla ya ndoa ya kislamu ya watu 100 kwa pamoja 10/8/2024

    https://youtu.be/wwNSR3I_daQ?t=157 Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al- Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 100 ambao wapo tayari kuoa.
  18. cacutee

    JamiiForums Tanzania Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

    Niko hapa kituo flan cha daladala Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana hadi anaongea kama mtu anayekaribia kutoa machozi. Kaka huyu mrefu maji ya kunde nzuri, mwenye...
  19. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwa mwezi napewa haizidi mara 5 tu. Je, hii ndoa au ndoano?

    Yaani nikipewa jumatatu, jumanne, jumatano na alhamisi anakuwa amechoka, na tena inakuwa ni kimoja. Sasa unajua mimi bado ni kijana lakini kuna wakati hili suala linanifanya nakuwa na hasira kwani ni mpaka apende yeye. Nafikiria kumwacha ila nawaza watoto watakuja kuwa machokoraa. Nawaza kuwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

    Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote. Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali. Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na...
Back
Top Bottom