ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

    1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
  2. JamiiForums Tanzania Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

    Eti ni udhaifu 🤷🏾 Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa? Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye mahusiano yako? Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

    Habarini, Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wanapaswa kuelewa kwamba si wanawake wote wanatafuta mapenzi au ndoa

    Kwa kweli; Ni mara nyingi wanaume ndio wanahangaika kutafuta wake na wapenzi. Hata hivyo, kuna kundi la wanawake ambao hawavutiwi sana na mapenzi au uhusiano wa dhati, bali wanatafuta msaada wa kifedha. Wanawake hawa mara nyingi wanatafuta mtu wa kulipia gharama zao, mfadhili wa maisha yao...
  5. JamiiForums Tanzania Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

    Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe ndoa ya Azizi K ilifunguliwa hadi space huko X kujadiliwa na watu baki tu!

    Hii mitandao ya kijamii pamoja na manufaa mengi lakini pia imefanya kundi kubwa la watu duniani kuwa wajinga na kuenenda kama mazombi.
  7. JamiiForums Tanzania Kivumbi cha ndoa nyingi za miaka ya sasa

    Ndoa nyingi za siku hizi zinapatikana kwa njia hii... Baada ya kutendwa na kuachwa na mpenzi wake aliyempenda kwa dhati, sasa anaamua kutafuta mtu yeyote wa kupoza maumivu ya kuachwa. Penzi jipya la kupoza maumivu linaanza taratibu mwishowe linakolea kwa kasi, kila mmoja anasahau stress zake za...
  8. JamiiForums Tanzania JAMAN wenye picha za ndoa ya MH Aziz ki Bwana harusi

    Rejea somo HAPO juu Waliohudhuria TUNAOMBA picha za harusi ya Aziz ki vs mobeto h
  9. JamiiForums Tanzania Kupotea Kwa Thamani ya Familia au Ndoa

    Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea. Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa. 1. Tamaa Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani katika jamii yetu mtu anapoamua kuanzisha familia au kuingia katika Ndoa anaingia kimkakati, Tayari...
  10. JamiiForums Tanzania Waliotajirika na pesa za talaka na kuvunjika kwa ndoa

    Ikiwa tayari umechuma mali zako kabla ya ndoa, ni muhimu kuzungumza na wanasheria kuhusu premarital assets zako. Tujikumbushe watu maarufu waliopoteza na kupata mali na utajiri baada ya talaka. WANAWAKE MacKenzie Scott (Jeff Bezos) - Talaka yenye fidia kubwa zaidi duniani: MacKenzie Scott...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanaofanikiwa Kupata ndoa ni wale Wanaokabia Juu

    WANAWAKE WENGI WANAOFANIKIWA KUPATA NDOA NI WALE WANAOKABIA JUU Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna Mbinu mbili za kupambana. Kuna wale wanaotumia Mbinu ya KUPAKI BASI na MBINU YA KUKABIA JUU 1. MBINU YA KUPAKI BASI Hawa ni wale kwenye mahusiano ambao wanasubiri Mpaka mwanaume afuate...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa na mahusiano

    Zamani mahusiano au ndoa ilikuwa ni watu wawili kutengeneza kesho yao, na watoto wao lakini leo imebadilka ndoa imekuwa sehemu ya mwanamke kujitafta kiuchumi, akijipata anaondoka bila kujali anakiacha katika hali gani Yaani mwanamke sasa hivi anataka uhuru wa kiuchumi atatumia kila mbinu...
  13. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini siku hizi ni nadra sana kunyimana mapenzi isipokuwa ndani ya ndoa tu ndio unaweza kunyimwa live unajiona?

    Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa hata mwenye ndoa mwenyewe ananyimwa na anaweza kupewa kwa mbinde sana au kwa ratiba na masharti...
  14. JamiiForums Tanzania Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

    Wakuu Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025) Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini kataa ndoa wengi ni vijana wa kikristo

    Ngoja tu nianze kwa kusema, This is all "Allegedly". Observation yangu ni kwamba vijana wengi wa kataa ndoa asilimia kubwa ni vijana wa kikristo, au wana background ya kikristo au ni atheists. Yes kila mtu ana experience zake but kwa mm, watu ambao nime interact nao(kweny mada za ndoa na...
  16. JamiiForums Tanzania Aziz Ki ni 18+, ndoa ni yake sio mzazi.

    Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?. Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe? Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ndoa za vijana wa kiume na wenza wenye Umri mkubwa kuwazidi!.

    Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’? Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
  18. JamiiForums Tanzania Changamoto nazopitia kwenye ndoa

    Habari za leo wakuu, Nianze kwa kusema hivi wanawake wasilaumu kwanini1 wanaachiwa watoto, wanatengeneza mazingira hayo wao wenyewe. Mimi umebaki tu upendo kwa mtoto wangu wa nampenda sana bila hivo nilikuwa naachana na huyu mtu kwanza hasikii hajui mume wake nataka nini ktk maisha yangu japo...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa za Watu Mashuhuri ni mithili ya Kuabudu Sanamu la Ng'ombe: Kina Aziz K, Mobeto na wengine wanatudidimiza Kinafsi na Kiimani?

    Huwezi kukataa kuwa jamii yetu inazidi kushikwa mateka na utamaduni wa kuabudu watu mashuhuri. Ndoa ya Aziz K na Hamisa Mobetto imethibitisha tena jinsi watu maarufu wanavyoweza kuteka fikra za umma na kuufanya mjadala wao kuwa ajenda kuu ya kitaifa. Lakini hii si mara ya kwanza. Mwaka 2018...
  20. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

    Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya 1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize, Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe. Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike. Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…