ndo

NDO Limited was an Internet service provider (ISP) in the United Kingdom. Originally established in 1995, originating from NetDirect which was one of the first ISPs in the UK.

View More On Wikipedia.org
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Barua ipo wazi kabisa kuwa ni Fake lakini bado watu wanaiamini jamani someni content ndo mtajua kuwa ni tango pori

    Watanzania tuache tabia ya kusoma vichwa vya habari tu tuwe tunasoma kilichomo ndani huu uvivu wa kutokusoma in detail ndo kunasababisha uwepo wa upotoshaji mkubwa kama huu unaoendelea mitandaoni kwa sasa. Ukiisoma barua kwa ndani unaona kabisa inajikanyagakanyaga sana haipo straight forward...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Aisee mwanamke akisha amua ndo kwishnei hiyo

    Binafsi nilipo kuwa chuoni nilitokewa kupendwa na mrembo.. Actually she was a genuine lover. Ni ile aina ya pisi ambazo kila nyakati ya siku lazima ikujulie hali, yaani I was engulfed in her love kama kifaranga wa kuku. Ila I took her love for weakness, I played her, I thought she was dead...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nafsi imesahaulika. (a rant).

    Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu... Yaani the father, son and the holy spirit. Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul.. Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu ambacho kimejulikana for millenials.. Body and mind huwa ni kama kitu kimoja maana zote zina operate...
  4. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Nchi Inahitaji mambo makuu manne, yaani ardhi, uongozi bora, siasa Safi na watu

    Ewe mama Peter uliye square Energy is contagious Shakira anasema,Ni kweli mtu hutiwa moyo hata kuungishwa kwa kile anachokifanya kwa maslahi binafsi hata hayo ya kulijenga Taifa kama tu hakuna baya liharibulo taswira ya nchi. Nchi Inahitaji mambo makuu manne, yaani adhi(1500miles times 1500...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hii ndo maana halisi ya "Rule of Law" tuheshimu Sheria za Nchi hakuna msalia mtume kwenye kusimamia maadili ya Taifa

    Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭 Sheria zipo na hazimuogopi mtu. Mtu mmoja...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Leo ndio leo! Je, Tundu Lissu ana kesi ya kujibu? Niliwahi shuhudia Miraji akimkwida Kikwete!

    Nina mengi ya kuandika kabla ya saa 3 asubuh ya Leo ili andiko langu liingie kwenye rekodi. Mtoto wa raisi ana nguvu Gani kwa kesi ya Lissu? Je Lissu kuwa huru Kuna madhala Gani kwake? Mbona ridhiwani kikwete hakuwai kuwa mwiba kwa Dr slaa alivyokuwa akimtaja majukwaani live dhidi UTAWALA wa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Leo ndo nimejua ni kina nani wanazuia Katiba Mpya hadi Nchimbi akasema hadharani kwamba komaeni mpate Katiba Mpya

    Leo nimemsikia Ally hapi akisema hatarajii katiba mpya iwe tayari kabla ya 2030. Ikiwa hawa ndio viongozi wa jumuiya za ccm na ndo wafanya maamuzi ndani ya chama kumbe nchimbi alimaanisha hawa
  8. Mr Alpha

    JamiiForums Tanzania Fursa haitangazwi na ikitangazwa ujuwe ww ndo fursa. utapigwa hela

    Forex trader wanatangaza Lifestyle huku wanaficha Bidhaa wanayouza (Courses).......Waseme ukweli hela wanapata kwenye Course na sio Ku-trade
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbona wanakobadili vyama kwenye uchaguzi ndo tunaenda kuomba?

    Kuna kitu najiuliza mpaka sasa sijapata jibu. Mbona ulaya na Marekani wanakobadili vyama vya kuongoza serikali kwenye chaguzi ndo wanauchumi imara na ndo tunakwenda kuomba? Afrika hatujang'amua kwamba kushikiria chama kimoja miaka hamsini mia ni mkwamo wa maendeleo?
  10. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nimeshavuka hofu

    Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote.. Nimesha vuka fear, ni naweza kuhandle presha na maneno ya watu, hakuna anyeweza kuni challenge na kunitoa mchezoni. Siongei haya...
  11. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Halotel ndo Kiboko ya OTP hapa Tanzania

    Habari wanajamvi, Ndio. Hasa kama unafanya kazi za mtandaoni (remote work), Halotel inasaidia sana. Asubuhi hii perplexity.ai ilinisumbua, nikajaribu mitandao yote Halotel ndo ikakubali. Iliwahi kunitokea nilipokuwa naaply Outlier tasking platform. Ndo ilinibeba (Mkenya mmoja ndo kaniibia siri...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

    Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa...
  13. papag

    JamiiForums Tanzania Mwenye mawasiliano mazuri wanaweza kwenda mbali kuliko wenye diploma

    ndo file mukulu
  14. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

    Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana) Binafsi napenda kuwa the center of attention. Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
  15. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Heche kuendelea kuwepo ofisini licha ya kashifa za ubadhirifu wa mali za chama ni maana halisi ya Siasa biashara

    Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama. Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Huu ndo uwe Msingi mkuu wa Maridhiano

    Wadau, nimeona maoni ya wadau mbalimbali kuhusu kile kinachoitwa Maridhiano, wengine wakipinga, wengine wakiyaunga mkono na kila kundi likitoa sababu zake. Nimeona CHADEMA wametoa Masharti ya awali (pre conditions) kama 3 za Maridhiano 1. Mwenyekiti Lissu Aachiwe huru pamoja na wafungwa wote...
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Karbu sana mabula sisi ndo yanga

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Karbu sana mabula Karbu sana bro LONDON BOY
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ndo uwajibikaji! Hii ni India

    Siku chache zilizopita huko nchini India kulikuwepo na maandamano makubwa ya wanafunzi kupinga uvujaji wa mitihani ya wanafunzi wanaosomea udaktari. Yalikuwa ni maandamano makubwa sana yaliyofanywa na Cockroach Janta Party au kwa kifupi CJP. Kwa taarifa zaidi kuhusu hiyo CJP unaweza kuingia...
  19. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Furahi na wenzangu, ndo maisha - sitaki kujenga chuki (Kalikawe) ... sahihi, chuki na hasira bila msingi zitakutafuna

    https://youtu.be/-f-uON139bw?si=2E6ydXbWK3vumHvA
Back
Top Bottom