ndevu

Mthembeni Ndevu (born 15 September 1992), better known by his stage name Emtee, is a South African rapper. He is best known for his debut hit single, "Roll Up". Emtee was signed to Ambitiouz Entertainment, a South African independent record label. His debut album Avery was certified platinum by RISA on 1 July 2016.Avery included his breakthrough hit "Roll Up" and the follow-up hit single "Pearl Thusi". Emtee released his third album Manando in September 2015, the title referring to his late brother. His third album DIY 2 was released in 2018 and marked his final release with Ambitiouz Entertainment, following his departure from the label in August 2019. He then launched his own label in September the same year.

View More On Wikipedia.org
  1. Mitandao ya kijamii isikufanye uwachukie wanaohitaji upendo wako wa kweli

    Usipokuwa makini na mitandao ya kijamii, unaweza muonea wivu mtu unaepaswa kumuonea huruma.
  2. Afghanistan: Taliban imesema ni marufuku mfanyakazi wa Serikali kutokuwa na Ndevu. Kama huna Ndevu usikanyage kazini

    Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini. Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi...
  3. Dar: Trafiki wa Tegeta kwa ndevu wanatunyanyasa

    Kumekuwapo na unyanyasaji mkubwa na usumbufu unaofanywa na askari pamoja na mgambo eneo la Tegeta kwa ndevu barabara ya bagamoyo. Askari hawa huvamia bodaboda kwa nguvu na kuchomoa funguo ukiwa katikati ya barabara suala linaloweza sababisha ajali. Wakishakukamata kipaumbele chao cha kwanza...
  4. Wanaume wananitoroka kwa sababu ya ndevu

    Mara nyingi ,Faith Macharia hukutana na wakati mgumu anapokutana na watu njiani, wengi hugeuka kumtazama tena. Hii hutokea kwa sababu ya jambo ambalo hawezi kuligeuza, kwamba yeye ni mwanamke ila na ana ndevu kama mwanaume. Ni jambo ambalo yeye mwenyewe lilimpa kiwewe mwanzoni na ilichukua...
  5. Diamond Platnumz amuiga Rick Ross kufuga ndevu

    Huyu bwana wa kuiga iga hakimpiti kitu 😂 ati na yeye ameamua kudunduliza vindevu vyake ili awe kama Rick Ross ( rich forever). Basi kwa vile anafuga vindevu mda si mrefu ataanza kujitangaza amekua tajiri zaidi ya Bill Gates 👀 Picha ya chini ni Diamond Platnumz akiwa na muonekano mpya wa kirich...
  6. Waliomwambia Rais "Hatuchangiii" wagoma kuondoka Tegeta kwa Ndevu

    Wana Jf Ukisikia watu jeuri ni hawa vijana wajasiliamali Aka Machinga tegeta, ambao rahis wa awamu ya tano aliwahi kusimama dakika kumi na tano kuomba kura kwa kurudia Rudia akimwombea Gwajiboy jimbo la kinondoni. Wakiwa na huruka ule ule, Mama akiwa njiani kwenda kunadi sera ya utalii nchini...
  7. Part 1:- Kwanini baadhi ya wanaume hushindwa kuota ndevu

    KWA NINI BAADHI YA WANAUME WANASHINDWA KUOTA NDEVU? Kulingana na tafiti mbalimbali, baadhi ya wanaume hupoteza mawiki kadhaa wakijaribu namna tofautitofauti za kuotesha ndevu katika sura zao, lakini zaidi wakipatacho ni vindevu kidogo tu na labda zikaota kimakundi makundi na zisizo na afya...
  8. Afghanistan: Vinyozi wapigwa marufuku kuwanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume

    Wapiganaji wa Taliban wamepiga marufuku , vinyozi katika mkoa wa Helmand nchini humo kutowanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume, wakisema hatua hiyo inakiuka sheria ya Kiislamu. ‘’Mtu yoyote anayekiuka sheria hiyo ataadhibiwa’’ , Askari wa Taliban wamesema. Baadhi ya vinyozi katika mji wa Kabul...
  9. Ndevu zimegoma kuota

    Hello guys! Hii kitu kwangu imeshakuwa serious sasa. Muonekano wangu na umri naona kama haviendani. Hv kipi kinasababisha wengine ndevu kuchelewa kuota? Hakuna jinsi naweza fanya ziote? Asili ya nyumbani wote wana ndevu. Mtu nakaribia 30 lakini bado naonekana mtoto sana. Bt si kwamba...
  10. Namna ya kuota ndevu haraka

    Wakuu msaada ni home remedies gani naweza tumia ili kuota ndevu haraka. Mwenye kujua anisaidie please.
  11. Anaejua dawa ya kuongeza ndevu na mvi anishtue

    Wananzengo salama? Nahitaji dawa ya kuongeza ndevu pamoja na mvi za kichwani na kwenye ndevu Nina mvi chache kwenye ndevu na nyingine kichwani so nahitaji ndevu zote ziwe nyweupe na kichwani pia Kama kuna dawa unaifahamu nambie inaitwaje.
  12. Cosota Wanaweza nipatia kibari cha Msemo wangu huu "kufuga ndevu nikupenda wembe sh 100"

    Je huu msemo wangu au ushairi pale cosota wanaweza nipatia haki miliki "kufuga ndevu nikupenda wembe sh .100"
  13. Nifanye nini nisiote ndevu?

    Habari wakuu Mimi binafsi swala la ndevu naliona kama kero, nilikuwa nauliza ni namna gani mtu anaweza kufanya ili asiewe na ndevu . Kuna muda ndevu zinanipotezea muda, zinaharibu mwonekano kabisa ,nataman kidevu kiwe cheupe ,ndevu ni kero tupu ... Mwenye namna yeyote wakuu msaaada
  14. Swali: Je kuna dawa ya kuzuia ndevu kupata

    Natumai mpo poa!; na wenyeshida poleni sana. Leo nimekutana na mmasai mmoja ananiambia anadawa ya mitishamba ya kuzuia ndevu kuota. Anadai unapaka mfano kwa kufuata kuliacha labda umbo la O vile unataka au zote zisiote .Pia nywele za kwapani hata ikulu. Nikashituka mmm! hivi kweli hichi kitu...
  15. Naomba kufahamu dawa ya kuzuia NDEVU kuota haraka

    Bandugu nina wahi sana kuota ndevu na masharubu(timba) yaani nikinyoa hazipi siku tano yashajaa tena haswa haswa hizi timba ndiyo kero kabisa. Nikisema nikae mwezi bila kunyoa unaweza sema muisrael. Kwa yeyote anaye fahamu dawa ya kuzuia ndevu kuota kwa haraka ama kuzuia zisiote kabisa...
  16. Mafuta ya kutunza, kukuza ndevu kwa bei poa

    Kwa muonekano mzuri wa ndevu zako tumia mafuta haya hujaza ndevu,huzipa ndevu mng’aro ,kuzuia muwasho,,kuzuia vipele na kuafanya ndevu zichanike kirahisi.. Suffer from a dry and brittle beard ? , we crafted a simple beard care routine to get your beard moisturized, soft,shining and promotes...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…